magari

  1. JamiiForums Tanzania CHINA yawa nchi ya kwanza kufanya uzalishaji wa magari ya umeme 10mln kwa mwaka

    Nchi ya China imekuwa nchi ya kwanza duniani kufanya uzalishaji wa magari ya umeme 10mln kwa mwaka.
  2. G

    JamiiForums Tanzania CCTV video: Wizi wa vitu ndani ya magari, usijenge mazoea ya kuacha vitu ghali kwenye gari,

    kukumbushana sio mbaya, tahadhari muhimu kuliko kusubiri yakukute Muda mwngi katumia kusubiri watu wapite, 2:00 kapiga tukio
  3. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Model za magari ya TOYOTA na maana zake.

    Hizi ni baadhi ya Model chache za magari ya TOYOTA na maana zake. Baadhi ya Model za Toyota na tafsiri zake. CAMRY - japanese for crown(taji) LAND CRUISER - uwezo wa kwenda popote RAV4 -Recreational active vehicle with 4WD gari ya burudani inayotumika yenye magurudumu manne yanayoendesha...
  4. JamiiForums Tanzania Anaehusika na kuset kodi za magari used TRA aangalie vizuri ushuru wa Nissan Leaf 2019 EV nataka ivuta Februari!

    Najua kwa namna moja au nyingine muhusika atapata huu ujumbe, na sio tu kwa hii chuma na kwa vyuma vingine. Kwa mfano Nissan Leaf 2019 naona kwenye kikokotoo chenu mme-estimate kwamba CIF yake ni $16,600 kitu ambacho sio kweli, market price sahivi ya hii gari kwa huo mwaka ni CIF ya $8,000...
  5. JamiiForums Tanzania Wakati Tanzania yenye utajiri wa gesi ikiagiza mafuta kwa mabilioni ya Fedha za Kigeni, Nigeria yaamuru magari yawekwe mfumo wa gesi

    Kila siku nasema. Tatizo letu Tanzania sio uwepo wa rasilimali bali ni kuwa na watu wenye akili sahihi za kutupeleka kuwa nchi ya ahadi. Wakati Tanzania yenye utajiri wa gesi kiasi cha ujazo wa trilioni 57 ikiendelea kuagiza mafuta kutoka nje tena kwa fedha za kigeni ili kutumia kwenye magari...
  6. JamiiForums Tanzania Magari kuchezewa Kilometa hata Japan wanachezea la msingi ni kuwa makini sana

    Ishu ya kuuziwa gari na fake kilometers ni jambo la kawaida sana kwa mtu ambae hata kuwa na umakini wa "umakini" tumezoea magari Used kuchezewa kilometa kwenye yard za bongo, lakini kumbe hata Japan wanacheza nayo vile vile. Nina mfano hapa chini wa INSPECTION CERTIFICATE na EXPORT CERTIFICATE...
  7. JamiiForums Tanzania Wataalam wa magari nisaidieni, hii ni gari aina gani?

  8. JamiiForums Tanzania Chukua Tahadhari unapopishana na Magari yanayobeba kemikali za sumu ikiwemo ya Sianidi inayotumika kuchenjulia dhahabu

    Wananchi na watumiaji wa vyombo vya moto wamehimizwa kuwa makini wanapoyapita magari hayo ili kuepuka kuyagonga. Pia wametakiwa kutolisogelea gari lililobeba kemikali ya sianidi (Sodium Cyanide) pindi linapopata ajali badala yake wachukue tahadhari kwa kukaa umbali wa mita 100 ili kutopata...
  9. JamiiForums Tanzania Wingi wa uagizaji wa magari unatoa tafsiri gani kwa uchumi wa Tanzania?

    Sorry kwa quality ndogo ya video hiyo picha mjongeo iliyoambatanishwa hapo chini sio Japan hapo ni Bandari ya Dar es salaam Tanzania
  10. JamiiForums Tanzania Matajiri wa mabasi wekezeni coaster zenu Barabara ya Arusha Dodoma maana magari machache Njia hii

    Leo nawasanua mabosi wa mabasi acheni kukomaa na Njia za dar-moro, chalinze-moshi na Dodoma-Moro pekeake Kuna hili chimbo la Dodoma Arusha gari ni chache aisee halafu abiria ni kibwena yaani kama wenzenu walikataa kuwashtua mi ndo nawasanua hivyo Kiukweli hii barabara iko busy sana ila...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Jamaa wa Matangazo walivyonizingua na mwanamke wangu barabarani

    Jamani kwema? Nisiwachoshe. Wiki ilopita nilikuwa kitaa na Binti mmoja ni Binti ambaye kiukweli nimekuwa nampigia hesabu za kumtongoza toka kitambo. Sasa nikaanza zile hatua za mwanzo zikiwemo kumuweka karibu namm Ili nimuingize kwenye line nijiweke nijipunzishe maisha yaendelee. Sasa wiki...
  12. JamiiForums Tanzania Kama unahitaji Magari au una tenda kwa ajili ya kubeba mizigo naomba tuwasiliane .

    Habari ya uzima. Kwa MTU yeyote au Kampuni inayohitaji huduma ya usafirishaji mizigo , Local cargo au transit cargo , naomba tuwasiliane . Tunayo Magari Aina ya flatbed pamoja Tipper Haya magari yote maximum yana uwezo wa kubeba 30-32Tons. Waweza kutupigia kwa +25565812488 call and WhatsApp...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wauzaji wa vifaa vya magari used kutoka Dubai

    Husika na mada tajwa hapo juu , naomba muuzaji wa spear za magari used au mpya kama ipo spear hii naomba uniambie bei yako hapa nahitaji rejeta full pamoja na caulling yake na reserve tank ya coolant ni shilingi ngapi ukiwa mpya au used ya Japan au Dubai ,gari aina ya Toyota Brevis 1JZ FSE
  14. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mbarawa Punguza punguza parking fee za magari vituo vya SGR

    Hivi Waziri Mbarawa na Kadogosa hivi kweli wakati mnapanga parking fee ya shilingi 2000 per hour, then 20,000 per one day mli take into consideration ya hali halisi ya maisha ya Mtanzania? Labda nikwambieni tu kwa mtanzania wa kawaida (Middle Class citizen) ambao ndo wengi na vigari vyao vya...
  15. JamiiForums Tanzania Wataalam naomba ushauri kuhusu magari haya kabla sijafanya maamuzi makini

    Wadau naomba ushauri nami nimiliki ndinga yangu ya kwanza kati ya hizi, Honda crossroad, Toyota Voltz Mitsubish outlander au Suzuki Escudo ile ina muonekano kama wa Rav 4 fulani hivi. Ushauri in terms of fuel consumption, durability na urahisi wa kuliuza tena huko mbeleni.
  16. JamiiForums Tanzania Show off ya magari makali: Wengi hawakumuelewa Lugumi

    Maslahi binafsi: Mimi ni mnazi wa magari.. Hivyo binafsi nampongeza Lugumi kuwa na collection ya maana kwa level zetu za kibongo.. Pili sio mtu wa show off za mitandaoni.. Lugumi anaweza asiwe tajiri sana lakini ameweza pengine kuziishi ndoto zake Utajiri una level zake Utajiri ngazi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Watu wanasukuma Magari ya bei mbaya sana hapa DSM inaonekana nchi imeshafnguliwa tayari.

    Nchi imefunguliwa kimya kimya inavyoonekana maana watu wanasukuma vyuma vya bei mbaya sana . Kiukweli hapa DSM watu wanasukuma magari ya bei mbaya hatari.
  18. JamiiForums Tanzania Bashungwa: Barabara za mwendokasi ambazo hazijaanza kutumika, zitumike kwa magari binafsi ili kupunguza foleni

    Waziri wa Ujenzi wa Tanzania Innocent Bashungwa ametoa ushauri wa Mamlaka husika kuruhusu barabara zinazotumiwa na Mabasi ya ‘Mwendokasi’ ziwe zinatumika na magari binafsi hususani wakati wa asubuhi kwenye kuwahi kazini na jioni wakati wa kurudi nyumbani na kusema hiyo itapunguza foleni hasa...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde Azindua Magari 25 ya Tume ya Madini

    WAZIRI MAVUNDE AZINDUA MAGARI 25 YA TUME YA MADINI Ikiwa ni mkakati wa kuimarisha usimamizi katika Sekta ya Madini hasa kwenye ukusanyaji wa maduhuli, Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde amezindua magari mapya 25 kwa ajili ya kusambazwa kwenye Ofisi za Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa sambamba...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Masauni akabidhi magari 77 kwa Jeshi la Polisi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amelikabidhi Jeshi la Polisi magari 77 kwa ajili kurahisha utekelezaji wa majukumu yake ya kusimamia usalama wa raia na mali zao ikiwa ni mwendelezo jitihada za Serikali kulifanya Jeshi hilo kuwa la kisasa lenye vifaa, na weledi wa kuzuia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…