magari

  1. Magari ya kukodi/Car rental

    Kodi gari lenye uhakika na Rhond's company limited linalofaa kwa mahitaji yako yote ya kusafiri. 📅 Yanapatikana sasa – weka oda mapema uhakikishe tarehe zako! ✅ Bei nafuu ✅ Magari masafi na yanayotunzwa Piga simu/WhatsApp +255 655 633 302
  2. Magari ya kukodi

    Kodi gari lenye uhakika na Rhond's company limited linalofaa kwa mahitaji yako yote ya kusafiri. 📅 Yanapatikana sasa – weka oda mapema uhakikishe tarehe zako! ✅ Bei nafuu ✅ Magari masafi na yanayotunzwa Piga simu/WhatsApp +255 655 633 302
  3. Usiogope Unaweza kuanzisha Kituo cha Kujaza gesi (CNG) kwenye magari na bajaji

    Matumizi ya Gesi Asilia Iliyoshindiliwa (CNG) yameanza kushika kasi Tanzania kutokana na gharama zake nafuu ikilinganishwa na mafuta ya petroli na dizeli. Tanzania ina akiba kubwa ya gesi asilia, hasa katika maeneo kama Mnazi Bay (Mtwara) na Songo Songo (Lindi), ambayo yanaweza kusaidia kuongeza...
  4. Ufafanuzi wa leseni za Magari ya Barabarani

    Wakuu. Nimekuja kwenu hapa wale wenye ujuzi wa leseni za magari nina maswali naomba majibu kupatiwa majibu, najua natakiwa kwenda kuwauliza askari wa barabarani au TRA Tanzania ila sasa naomba majibu yenu hapa kwanza Swali namba 1: Leseni ya kuendesha pikipiki zipo makundi kuna Class A, A1, A2...
  5. Mnada wa magari yaliyotumika nchini

    Utangulizi: Kumekuwa na changamoto hasa mtu anapotaka kuuza au kununua gari moja kwa moja bila kupitia kwa madalali (middlemen) suala linalosababisha usumbufu kwa muuzaji/mnunuzi kama vile; gari kuchelewa kuuzika kutokana na dalali kuongeza bei huku muuzaji akipewa bei ndogo na/au mnunuzi...
  6. Wazo la Mnada wa Magari Yaliyotumika Nchini

    Utangulizi: Kumekuwa na changamoto hasa mtu anapotaka kuuza au kununua gari moja kwa moja bila kupitia kwa madalali (middlemen) suala linalosababisha usumbufu kwa muuzaji/mnunuzi kama vile; gari kuchelewa kuuzika kutokana na dalali kuongeza bei huku muuzaji akipewa bei ndogo na/au mnunuzi...
  7. Weka Picha za Magari ya Leyland Tanzania

    Leyland ilikuwa ni brand kubwa sana ya magari mazito ya kiingereza kuliko Scania, Benz, na Fiat enzi hizo. Yale magari ya Leyland CD (Clydesdale) na Leyland (Albion) yalikuwa hayashindwi mlima au matope kwenye sehemu yoyote Tanzania wakati barabara zetu zikiwa mbovu sana. Hayakuwa na spidi...
  8. R

    Wataalam wa Diagnosis kwenye Magari. Msaada tutani

    Hallo wana JF. Najua hapa wamejaa wataalam wa Magari pia. Mkoko wangu Toyota Allex 2004 Model, ilianza kuwaka taa(Check engine) siku Moja baada ya Kufunga Android radio. Kama kawaida. Nikalazimika kuwaona madokta. Wakaifanyia Diagnosis ika display fault code P0171. Code ambayo mara nyingi...
  9. Wanaume wakweli hununuliana bia,kupeana mabinti,connection za kazi na kukopeshana hela sio kuhongana magari

    Kwa sie watu wa pwani ukiona mwanaume mwenzio anakupa asset au kitu cha thamani juana yeyekuna siku atakuja kukuomba kitu. Yaani mwanaume mwenzio akupe gari ya mamilioni???utaolewa
  10. Tujikumbushe vipimo vya magurudumu ya magari

    Understanding How to Read a Tire is crucial when selecting the right one for your vehicle. Let’s break down tire markings like 205/55R16 91V: 1. Tire Width (205): Indicates the tire’s width in millimeters. In this example, the tire is 205 mm wide. Wider tires usually offer better grip. 2. Aspect...
  11. Dar ina allergy na magari ya zamani?

    Ukienda mikoa mingi ni kawaida sana kukuta gari hizi ndogondogo (baby walkers) za namba A au B zinadunda tu kitaani tena zikiwa katika hali nzuri kabisa. Lakini kwa dar ukikuta gari namba A au B nyingi unakuta zimechoka kwelikweli. Shida nini?
  12. Mizani yote ya kupima magari asilimia kubwa sensor zinazimwa makusudi

    Kuna suala linawaumiza kichwa sana madereva walio wengi wanaondesha vyombo vya moto vyenye uzito kuanzia tani 3.5 au zaidi, Labda nianze kwa kusema mizani mingi sana Tanzania iliwekwa sensa na foleni ktk mizani kwa kiasi kikubwa ilipungua, ila baada ya kifo cha mpendwa wetu Hayati Magufuli...
  13. Kuna Haja ya Kuwekeza Katika Kiwanda cha Kutengeneza Mabasi na Daladala

    Barua ya Wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu, na Mwenyekiti wa CCM Taifa Kwako, Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa, Mpendwa Kiongozi wetu, Nakupa salamu za...
  14. Kwa nini Lema anakanusha tuhuma nyingi sana lakini hajawahi kukanusha tuhuma za wizi wa magari!?

    Godbless Lema wiki hii ametamba kwamba anaweza kuitisha press conference hata usiku wa manane kukanusha na kuelezea mambo mbalimbali. Katika mambo ambayo Lemma katuhumiwa muda mrefu ni wizi wa magari. Namsihi na hili pia aliongelee
  15. TANROADS yasema imeimarisha udhibiti wa uzito wa magari kulinda miundombinu ya barabara na kufanya barabara kudumu muda mrefu

    Meneja wa Mizani wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Leonard Mombia ameeleza umuhimu wa kutumia mizani katika kudhibiti uzito wa magari kama njia ya kulinda barabara na miundombinu mingine nchini. Akizungumza kutoka Makao Makuu ya TANROADS, Mha. Mombia amesisitiza kuwa, udhibiti...
  16. Tusio na Magari tukutane hapa

    Mimi Kama raisi wa ma jobless pro max, nime ona niitishe kikao cha dharura. Lengo la kuitisha kikao ni kujua idadi ya ma jobles tusio na magari, humu jf maana kila uzi ninao tembelea idadi kubwa ya member ni mataita. Tuki ijua idadi yetu, tuna weza tukawa tuna waomba lift hawa ma don😆😂. I...
  17. Serikali anzisheni agency ya ukaguzi wa magari hizi ajali zimetuzidi nguvu.

    Lori lingine nimefyeka watu 10 Tanga. Recently nilishauri serikali kuanzisha agency ya ukaguzi wa magari. Moja ya sekta ambazo kama nchi tumekwama. Machine zinazotembea barabarani ni kama majeneza. Yameoza hayafanyiwi service. Nashauri tena serikali anzisheni agancy serious ya kukagua magari...
  18. Kwanini magari ya jeshi huwa hayafati sheria barabarani?

    Naombeni mnijuze, kwanini magari ya jeshi mara nyingi huwa hayafati sheria za barabarani na hawashugulikiwi?
  19. Kwanini watengeneza magari waliacha kutengeneza bodi zenge bati gumu kama zamani

    Miaka ya nyuma gari zilitengenezwa kwa bodi ngumu za material ya bati,hali ambayo gari ikipata ajali linabonyea na kuacha athari kidogo kwa wahanga wa ajali. Tofauti na hivi sasa mtu ananunua gari milioni 500 lakini bodi ni kama aina fulani ya plastiki gumu. Ikitokea ajali gari inakwisha kila...
  20. Watu mashuhuri mnaopenda show off za magari mamlaka zinawatamani sana.

    Unapopenda show off kuonyesha ndinga kali mitandaoni hakikisha kwenye mfumo wa mamlaka ndinga Yako haina vipengele yaani physical na rekodi Zinafanana other wise unawapa watu kazi za kufanya na wanachukia mnavyojificha kwenye kivuli cha chawa wa mama. More Focus ni kwa wale mnaofanya import...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…