magari

  1. M

    JamiiForums Tanzania Je, Mafundi Wetu Ndio Wanaangamiza Magari Mapya? Tuchambue Ukweli

    Magari mapya yanayoingia nchini, hasa yenye plate mpya kama D au E, yamekuwa yakikumbwa na matatizo makubwa ndani ya muda mfupi tu baada ya kuanza kutumika. Hali hii imeibua maswali mengi kuhusu chanzo cha matatizo hayo. Uchambuzi unaonesha kuwa, licha ya uwezekano wa kuwepo kwa magari mabovu...
  2. JamiiForums Tanzania Lack of Proper Diagnosis Tools – Sababu Kubwa ya Magari Mapya Kuungua au Kuharibika Mapema

    Moja kati ya sababu kuu zinazochangia magari mapya – hata yale yenye namba mpya kama plate E – kuharibika mapema, ni ukosefu wa vifaa sahihi vya utambuzi wa matatizo (diagnosis tools) kwenye karakana nyingi hapa nchini. Katika miaka ya karibuni, magari mengi yamekuwa ya kisasa zaidi, yakiwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Range Rover, Land Rover, Land Rover Discovery, magari ambayo kwa sasa Mwingereza amechemsha

    Range Rover ©Vauxford, CC BY-SA 4.0, Wikimedia Commons The Range Rover is often considered the top luxury SUV, but its reliability can be a nightmare. Although some owners quickly praise how well it drives off-road and how much they love the cushy interior, others are plagued with constant...
  4. JamiiForums Tanzania Aina za gia za magari mbalimbali (car transmission)

  5. JamiiForums Tanzania Baadhi ya waagizaji wa magari baada ya kupokea magari yao

    Some people wamenyooka sana anajua kabisa ana import used car so kukuta gari ina scratch, dents au hakuna jeki, wheelspanner, hata spare tire kwao ni minor issues anaelewa. Kuna baadhi ya watu huo ni ugomvi imagine mtu anaweza kususa gari kisa hamna wheelspaner hakuna kitu utamueleza akaelewa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tupeni utofauti wa Toyota Rush na Terios kid

    Leo nimeitwa mama na wananchi wa JamiiForus Wale maEXPERT wa magari ebu tupeni utofauti wa Toyota Rush na Terios kid
  7. JamiiForums Tanzania Mafundi wa umeme wa magari wanasomea wapi?

    Wakuu hivi kuna vyuo vya hii kitu au ndo full janjajanja za mjini? Inasomewa vyuo gani hapa nchini? Kozi inaitwaje? Nahitaji hii kitu one day aisee.
  8. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Manispaa Afanya Ziara ya Kushtukiza Kukagua Vituo Visivyo Rasmi vya Daladala na Uwekaji Holela wa Magari

    Mkurugenzi wa baraza la manispaa mjini Bi Hasna Attai Massoud Leo mapema amefanya ziara ya kushtukiza ya ukaguzi wa vituo vya dala dala visivyo rasmi ambavyo vilivyo pigwa maraufuku ndani ya manispaa ya mjini pamoja na uwekaji mbaya wa magari. Katika ziara hiyo Bi Hasna amesema kuwa hali...
  9. JamiiForums Tanzania Mkojani na Dotto magari hawakupaswa kupewa fomu

    Kulinda hadhi ya chama hawa watu wawili hawakupaswa hata kusogelea ofisi ya chama Ningekuwa muhusika nisingewapa hata fomu,ningewafukuza kama mbwa mwizi
  10. JamiiForums Tanzania Ambao hawakuona Tehran ikichakazwa na Israel Video hii hapa, kumbe magari ni Kama Makaratasi yanapepea hewani ''Kaboom''

    https://video.a7.org/media/a7radio/misc/video/25/jul/video5996852085654558388.mp4 Am sure Iran kipigwa sana hadi kulia lia eti walipwe fidia. Ndio Maana Israel walikuwa wanatoa kabisa kwa Raia wasikae karibu na maeneo ya Utawala wa Ayatollah
  11. JamiiForums Tanzania Mwenye kufahamu mahali viwanda 13 vilipo vya kutengeneza magari atuambie,ninaona tunatapeliwa

    Bango hili hapo! Ninaona tunatapelewa na kundi la watu wachache
  12. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta Fundi wa Umeme wa Magari Mbeya

    Kwa wenyeji wa Mbeya, tafadhali naomba kujua fundi mzuri wa umeme wa Magari ili anifanyie matengenezo. Natanguliza shukrani.
  13. JamiiForums Tanzania Car rental/Tunakodisha Magari

    Rhond's com limited Unahitaji gari la kukodisha? Kwa kazi, safari au matembezi — tuko tayari kukuhudumia! ✅ Magari safi na yaliyohudumiwa vizuri ✅ Madereva waaminifu na wenye taaluma ✅ Huduma nchi nzima 📞 Piga/WhatsApp: +255 655 633 302
  14. JamiiForums Tanzania Kwa Wamiliki wa Maduka ya Spare za Magari, Mafundi, Wamiliki wa Gereji, Wapenda Habari za Magari Hii ni Yetu Sote

    Ndugu Wajumbe, Miezi kadhaa nyuma nilileta Nyuzi fulani juu la Kiu yangu ya kukamilisha jambo hili ambalo kwa asilimia 90 limekamilika, na leo ninaleta habari njema na fursa ya kipekee kwenu nyote mnaohusika na sekta ya magari nchini! Tunayo furaha kubwa kuwatambulisha rasmi App ya Auto...
  15. JamiiForums Tanzania Meli kutoka China iliyokua na magari zaidi ya 3,000 kuelekea Mexico imezama!

    Meli inayoenda kwa jina la "Morning Midas" ikiwa imebeba bidhaa za mafuta pamoja na magari zaidi ya 3,000 kutoka China imezama baada ya kushika moto. Baada ya kushika moto, crew members 22 waliomo walishindwa kuzima wakaona isiwe tabu waka abandon. Hadi sasa chanzo cha moto hakijabainishwa...
  16. JamiiForums Tanzania For Car Rental Services | Kwa Huduma ya ukodaji wa Magari karibu tukuhudumie.

    Kwa wale wenye Harusi , msiba , pamoja na Mambo mengine ambao mnahitaji kukodi Magari mnakaribishwa Bei hizi hapa wakuu Mercedes Benz G Wagon - Tsh 2.3M All Sedan Benz - 450k Benz Above YOM: 2014 - Tsh 600k Audi | BMW Mostly - Tsh 800k Ineos Grenadier - Tsh 1.8M Toyota V8 | 200 Series -...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali itafute njia sahihi ya Magari ya Mizigo yaliyopo eneo la DUCE

    Pale eneo la Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu (DUCE) na karibu pia na ulipo Uwanja wa Benjamin Mkapa kuna magari makubwa yanaziba barabara na mbaya zaidi magari hayo yanageuzia kwenye geti la uwanja huo. Watu waonaotumia barabara ile kuelekea Mbagala na kwingineko wamekuwa na changamoto kubwa...
  18. JamiiForums Tanzania BIASHARA YA COASTER ZA KUKODI SPECIAL HIRE

    Wakuu habari ya Jumapili; Nina mategemeo ya kupata kiasi fulani hivi cha pesa kinachoweza kununua basi dogo kama coaster/civilian/Rosa, naomba ushauri kwa wenye uzoefu wa hii biashara kuanzia soko, usimamizi, gharama za uendeshaji n.k nione ni jinsi gani ntaweza kujipanga na changamoto...
  19. JamiiForums Tanzania Tunauza magari kwa mkopo nafuu

    🔹 Magari mapya na yaliyotumika kutoka ndani na nje ya nchi 🔹 Marejesho nafuu hadi miezi 24 🔹 Mkopo wa hadi 65% ya gharama ya gari 🔹 Mkopo unaidhinishwa ndani ya saa 72 🔹 Riba ni ya kiwango cha chini kabisa 🔹 Huduma ni Haraka, Rahisi na hadi mlangoni kwako! Usikose fursa hii ya kipekee miliki...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenzetu wenye magari ya milioni 200+ wanaoingiza pesa halali wanafanya shughuli zipi?

    Wabongo wenzetu nikiamaanisha watanzania wenye asili ya kiafriaka ❌Wanasiasa - Wengi wananenepa kwa kodi zetu ❌Wachungaji wa kilokole wengi wahuni wanatajirika kwa sadaka ❌wasio na shughuli zinazojulikana, wengi matapeli na dili nyeusi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…