mafwele

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    Jeshi la Polisi fungueni "comment section" tumsifie Mafwele

    Wakuu, Nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa Jeshi la Polisi kwenye mitandao yao ya kijamii. Naomba kujikita katika post yao ya jana tarehe 2 Machi 2026 ikimhusu Faustine Mafwele kama kiongozi (Mkuu wa Upelelezi wa makosa ya Jinai Polisi Kanda maalum Dar es Salaam)🌚🌚 Sote tunajua kuwa mtu huyu...
  2. Pascal Mayalla

    The voices from within japo simtetei Mafwele, ila sio kila kinachosemwa juu yake ni kweli, vitu vingine si yeye ila ni wanamsingizia tu kuwa ni yeye!

    Wanabodi, Hili jina la mtu anayeitwa Mafwele, sasa linatumika vibaya, kulitumia kuwatishia watu kwa kumsingizia kila kunapotokea tukio la utekaji au mtu kupotezwa, the most recent ni kauli za mtl anayejitambulisha kama Kaka yake Polepole, anayejinasibu kama mwanajeshi wa JWTZ mwenye cheo cha...
  3. Carlos The Jackal

    Kwa UFUPI MAFWELE the Killer, hatoonekana tena as long as Mh Polepole, Mdude na wengineo walotekwa wataendelea kushikiliwa

    Hii inaitwa ya DUNIANI tumalizane wenyewe hapahapa DUNIANI. Hawa Wasenge wameua sana watu , wameua , tena wanaua huku wanajiamin na kutoa vitisho. No way , potelea mbali !!!. Mtasubiri sana MAFWELE ajitokeze ila holaaaaaaa !!!
  4. M

    Hivi kweli kabisa vijana kwa wazee mmekaa vijiweni na mitandaoni mkiamini hii propaganda ya Mafwele kwa nchi hii tuliyonayo sasa ?

    Nashangaa sana kuona ni namna gani wabongo wanavyoweza uwa brainwashed. Kuna habari mitandaoni zinasambaa kama moto kwenye kichaka kwamba mafwele "kawajibishwa" kwa namna flani. Kwa jinsi hali ya sasa ilivyo wenye ishu ya uwajibikaji hapa nchini, kweli kabisa watu wanaamini hii propaganda...
  5. Etwege

    Tetesi: Faustine Mafwele yamkuta mazito, Augustino Polepole amtaka ajitokeze hadharani

    Kaka wa Humphrey Polepole anaiyeitwa Augustino Polepole amejirekodi na kutuma video inayomtaka ZCO Faustine Mafwele ajitokeze hadharani na kuwaeleza watanzania walichomfanya. Ikumbukwe Faustine Mafwele ndiyo imekuwa mashine ya utekaji na mauaji kwenye utawala wa Rais Samia akitumika na Abdul...
  6. Carlos The Jackal

    Nililionya Jeshi la Polisi kuhusu ukamataji bila kufuata taratibu kwakuwa unaacha 'Loophole' kwa Magenge kufanya Utekaji na Mauaji Unrecognizable

    Wakati tukiendelea Kushuhudia Matukio ya Utekaji na Mauaji yanayoendelea nchini, Mimi binafsi nilitumia Akili yangu na kipawa KIKUBWA nilichojaaliwa cha kutizama mambo kwa UPANDE wa pili, na nikushauri JESHI LA POLISI LIKAMATE WATU KWA UTARATIBU NA MAFWELE ADHIBITIWE kwakua anavuruga Security...
  7. H

    Tume nayo inaogopa kumhoji Mafwele!?

    Hii tume nayo inamuogopa mafwele!? Huyu măfwele waandamanaji walimtaja kama sehemu ya hasira zao kwakua ametajwa kama mtekaji na mashaidi kama Sativa, wanaharakati wa kenya na uganda waliotekwa pia wamemtaja Lini tume itamuita!? Au kwenye script waliyo pewa hayumo
  8. Genius Man

    Nimepitia baadhi ya picha nimeona vijana wanaoongazana na Mafwele hawafai kuwa Askari wa Jeshi la Polisi...

    Nimepitia baadhi ya picha nimeona vijana wanao ongazana na mafwele hawafai kuwa askari wa jeshi la polisi wamekaa kijambazi jambazi. Weredi wa kuajiri askari umpengua sana inatia wasiwasi mkubwa na hofu ya usalama wa raia Ikumbukwe huyu jamaa mafwele anadaiwa kuhusika na utekaji na mauwaji ya...
  9. Genius Man

    Wakili peter madeleka: Mafwele huwezi kutajwa na wananchi kama muuwaji na mtekaji alafu tuka kuangalia tu lazima uwajibike

    "Hauwezi ukawa unatajwa wewe ni muuaji alafu tukawa tunakuangalia tu, yani wewe umekuwa Malaika mtoa roho au?? Kila anayepotea akirudi anakutaja wewe aliyetekwa akibahatika kutoka salama anakutaja wewe mashahidi wanakutaja wewe, wewe umekuwa nani haswa?? Kama tumekupa jukumu la kulinda usalama...
  10. ngara23

    Mafwele ni nani hasa? Mkono wa sheria unamwogopa?

    Jina la Mafwele limetajwa na kila mtu aliyetekwa na kufanyiwa ukatili Kama ni mtumishi wa jeshi la polisi kwanini Rais au IGP hamsimamishi kazi japo kupisha uchunguzi wa tuhuma zake Hivi askari aliyefunzwa na mzalendo atafanya mambo kama hizi tuhuma za Mafwele Yaani kuteka, kuuwa, kupoteza 1...
  11. Genius Man

    Mafwele amendelea kutuhumiwa na utekaji

    Kutoka na ripoti na Kwa taarifa za kuaminik zisizo na mashaka kutoka BBC afisa wa juu wa jeshi la "Mafwele" ameendelea kutuhumiwa na utekaji
  12. Lord Denning

    Marekani njooni muwachukue Samia, Wambura na Mafwele kwa kumteka Raia wenu Thadei Kweka

    Haya ni maombi maalum kwa Marekani wafanye kama walivyofanya kwa Maduro. Watume vikosi vyao viwachukue Samia na Mafwele walioongoza kumteka na kumshikiria Thadei Kweka ambaye ni raia wa Marekani. Tunajua US Embassy mnapitia sana humu JF. Fanyeni kweli.
  13. K

    Tanzania Kuna watu wababe Sana kama kina Mafwele

    Huyu jamaa kateka, kaua na kapoteza watu wengi sana nchini lakini Wala haguswi na mkono wowote wa Sheria za nchi. Hivi Jaji Chande na Tume yake uchwara alikutana na mtu kama huyu anaweza kuwa na pawa kweli ya kumuhoji? Au na yeye atahofia Maisha yake? Maana hata waziri mwenye dhamana na huyu...
  14. Li ngunda ngali

    Duru: Mafwele kuwa DCI

    ".....Mafwele ndiye mratibu wa hayo yote unayoendelea kuyashuhudia. DCI wa sasa ni kama bosheni na hata mwenyewe haijui hatma yake" "....Mafwele anapewa u DCI hivi karibuni." Chanzo
  15. D

    Siku nikisikia mafwele amehukumiwa kunyongwa ndio nitaamini hayo maridhiano

    Huyu bwana aliye ua ndugu zetu wengi akihukumiwa kunyongwa nitaamini kunamaridhiano
  16. love life live life

    Nilifikiri Mafwele atachukuliwa hatua kuwapumbaza waandamanaji, kumbe Samia wala hajali

    Nilidhani Mafwele atatolewa kafara kama kuwahadaa watanzania na waandamanaji wanaomuona Mafwele kama muuaji hata kwa kumuweka ubalozini au chini ya kapeti. Na madelu licha kuchomewa mabasi yake kuashiria watanzania hawamtaki atarudishwa. Bila kusahau Samia ataendelea kupiga picha na Angela...
  17. L

    Yu wapi Mafwele?

    Kwa hasira walizokua nazo waandamanaji je Yuko wapi?
  18. Genius Man

    Hatutanyamaza mpaka wakina Polepole waachiliwe

    Kesho tutakinukisha mpaka wakina Polepole waachiliwe hakuna kufungua huduma zozote tutasimamisha nchi hatutarudi nyuma
  19. Lord Denning

    JWTZ, Wakamateni Mwenyekiti na Mkurugenzi na Makamishna wote wa Tume ya Uchaguzi. Msiwasahau Mafwele, Murilo na Ma RPC wote

    Kwanza kabisa chukueni hii Nchi na iwe chini yenu. Pili wakamateni leo hii Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Mwambegele, Mkurugenzi wake Kailima na Makamishna wote wa Tume ya Uchaguzi. wawekeni ndani kwenye selo zenu Tatu Wakamateni Mafwele, Muliro na Ma RPC wote wanaoendesha mauaji ya...
  20. Lord Denning

    GE2025 Kikatiba, Utawala wa Samia mwisho wake ni leo. JWTZ chukueni nchi na wakamateni kina Mafwele na wengine wote

    Kikatiba utawala wa Samia umefikia kikomo leo. Baada ya leo anapaswa kuachia kiti cha Urais maana si Rais tena. Kwa namna alivyoivuruga nchi na kuwavuruga Watanzania ikiwemo kuwaua huku akisigina Katiba tunaomba JWTZ mchukue nchi usiku huu wa leo au hadi kesho Pia tunawaomba muwakamate Mafwele...
Back
Top Bottom