mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sasa Wizara ya Nishati washeni mitambo ya mafuta

    Sasa ni dhahiri Wizara ya Nishati washeni mitambo ya mafuta wakati mnajipanga na umeme wa maji. Wakati huo fanyeni kuharakisha kuongeza uzalishaji wa Gesi ili tupate umeme wa bei nafuu. Wizara ya mazingira andaeni strategic plan ya kupanda miti ya kutosha ili tupate maji. Maeneo ya mabonde...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia akiri kuwepo upungufu wa umeme, Makamba alisema ni 'scheduled maintainance'

    Rais Samia akiwa mkoani Mwanza amesema anatambua uwepo wa upungufu wa umeme ikimaanisha vyanzo vilivyopo havikidhi mahitaji yaliyopo. Waziri wetu wa nishati aliliongelea suala la kukatikatika kwa umeme chanzo chake ni marekebisho ya mfumo wa zamani. Tunaandaliwa kwa umeme wa dharura?
  3. U

    JamiiForums Tanzania Mitambo ya umeme wa Mafuta ikiwemo IPTL kuwashwa

    Magufuli alizima mitambo, Sasa mabwawa yamepungua maji, hivyo italazimika mitambo ya kufua umeme wa Bei ghali ya mafuta mazito kuwashwa rasmi, ili kunusuru mgao huu mkali wa umeme
  4. JamiiForums Tanzania Ianzishwe Wizara ya Mafuta na Gesi ili kuchochea ukuaji wa sekta ya Mafuta na Gesi Tanzania na kuipunguzia mzigo wizara ya Nishati

    Hii wizara iwe responsible kwenye mambo ya utafutaji (exploration), uzalishaji (production), usafishaji (refining), usambazaji (distribution), uuzaji (marketing), kuingizaji kutoka nje ya nchi (import), na utoaji kwenda nje ya nchi (export), pamoja na conservation of petroleum, natural gas...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi Vituo vya Lake Oil wanatoa wapi mafuta?

    Wakuu heshima kwenu, kwa muda sasa toka Corona ianze nimekuwa nasafiri na kibaby walker changu popote ninapoenda and huwa nasafiri mikoa mbalimbali hapa TZ Bara na kila mkoa lazima nisimame kuweka wese. Sasa nilichogundua kwa tz nzima lake oil mafuta yao hawazidi 2500 wakati vituo vingi vinauza...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Marufuku ya nishati asilia (Fossil fuels), dizeli, gesi, mafuta ya taa petroli na nyinginezo ipo njiani

    Dunia inabadilika na sisi tunapaswa kubadilika, nishati asilia zinaongoza kwa kutoa gesi chafu zinazosababisha engezeko la joto duniani! Kama mpaka muda huu hujawahi kumiliki chombo chochote kile cha usafiri kinachotumia nishati asilia inawezekana usimiliki kabisa ndani ya miaka michache ijayo...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Makamba: Hakuna uhaba wa mafuta nchini, amtaka Mkurugenzi wa TPDC akajieleze kabla hawajachukua hatua

    January Makamba: Hakuna uhaba wa mafuta nchini. Hakuna sababu ya kuwa na taharuki. Utaratibu wa kuingiza mafuta unahakikisha kwamba mahitaji yapo wakati wote. Serikali inaendelea kuchukua hatua kuongeza uhakika wa upatikanaji na unafuu wa bei. Akijibu swali la mdau alieuliza mkanganyiko kati ya...
  8. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi TPDC abadili gia angani, asema hakuna uhaba wa mafuta nchini

    Mkurugenzi wa shirika la maendeleo ya petroli Tanzania amesema Tanzania haina uhaba wa mafuta nchi ikiwa ni tofauti na kauli iliyonukuliwa na gazeti la Nipashe wakati akiongea na wanahabari. Mapema January Makamba alikanusha Tanzania kuwa na uhaba wa mafuta na kumtaka mkurugenzi huyo kwenda...
  9. JamiiForums Tanzania TPDC: Mafuta yaliyopo yatosha siku 15

    Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Dk. James Mataragio, alibainisha hayo jana mkoani Dar es Salaam, akitafsiri kwamba ni hali inayoiweka nchi katika hali ya hatari endapo hatua zinazokwenda kuchukuliwa hazitafanikiwa. “Hivi karibuni kumekuwa na upandaji wa bei ya mafuta na hii inatishia usalama wa...
  10. JamiiForums Tanzania INAUZWA Mafuta ya alizeti

    Nina mafuta ya Alizeti halisi ambayo imepitia process zote za refinery na kuhakikisha yanabaki as clear as possible huku yakibakia na health benefits za vitamins muhimu kama A,D,E na K bila kusahau omega 6. Hayana impurities kama fatty acids na sumu kuvu ya kwenye maganda hali inayopelekea...
  11. JamiiForums Tanzania Mafuta ya Alizeti pure & refined!

    Brothers & Sisters, ladies and gentlemen nawasalimu kwa jina la jamuhuri! Nina mafuta ya Alizeti halisi ambayo imepitia process zote za refinery na kuhakikisha yanabaki as clear as possible huku yakibakia na health benefits za vitamins muhimu kama A,D,E na K bila kusahau omega 6. Hayana...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kushusha zaidi bei ya mafuta mwishoni mwa Desemba 2021

    Baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa Tshs 102 katika kila lita ya mafuta msimamo wa bei ya mafuta uliopo nchini bado haumpi usingizi mama huyu kwani bei ya mafuta ndio huamua gharama za maisha ya watoto hawa wa masikini ama zipande au zishuke au zisalie zilivyo. Rais Samia Suluhu Hassan...
  13. JamiiForums Tanzania Anayefahamu bei ya dagaa mafuta Mwanza

    Anayefahamu bei ya dagaa mafuta Mwanza. Msaada hapo
  14. JamiiForums Tanzania Jeshi la Iran lazima jaribio la USA kuiba mafuta ya Iran

    Hizi habari niliziona mtandaoni nikahisi labda si kweli ila imethibitisha kimataifa, hii ni aibu mno kwa marekani hawa jamaa ni majambazi hivi kumbe Kikosi cha IRGC cha Iran chazima uharamia wa jeshi la Marekani katika Bahari ya Oman Nov 03, 2021 11:25 UTC [https://media] Operesheni makinii...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi MBS anavyoipaisha Saudia kiuchumi nje ya Mafuta

    Inakuwaje wanajamvi! Bwana mdogo Mohammed Bin Salman mwana wa mfalme wa Saudi sasa hivi anaipaisha nchi yake kiuchumi nje ya Mafuta kwa kasi ya ajabu na hatarii haijawahi kuonekana. . Viwanda vinachipuka kama uyoga. Wa saudia sasa hivi bidhaa nyingi hawanunui au kuagiza kutoka nje zinazalishwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kijana changamkia fursa katika mradi wa bomba la mafuta

    #SISITANZANIA #WETANZANIA - KIJANA CHANGAMKIA FURSA KATIKA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA. Kama Vijana wa Tanzania tumekuwa na taarifa juu ya Miradi Mingi sana ambayo serikali yetu imekua ikiendelea kuitekeleza kwa maendeleo ya Taifa letu, Je! Sisi Kama Vijana ni Fursa zipi za kiuchumi tunaweza...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali kuagiza mafuta moja kwa moja kutoka kwa mzalishaji kutaleta unafuu wa bei?

    Habarini za asubuhi wadau, Leo nikiwa njiani kuelekea kibaruani nikasikia kwenye radio kwamba sasa Serikali imeamua kuagiza mafuta yenyewe moja kwa moja kutoka kwa wazalishaji. Nikajiuliza inamaana miaka yoote hii tunapigwa na watu-kati Serikali haikuona? Je, hapa sio kwamba kuna wajanja...
  18. JamiiForums Tanzania Pikipiki isiyotumia mafuta: Je, zinapatikana madukani au ni za kujiundia?

    Huyu jamaa nimemsikia BBC ana pikipiki ya kuchaji. Zinapatikana madukani au ni ya kujiundia? ===== Anthony Kapinga Pikipiki ya Bw. Kapinga Ifahamu pikipiki inayotumia umeme ambayo wengi wameiona kama rafiki mkubwa wa Mazingira kutokana na ukweli kwamba pikipiki hii haina mlio na haitoi...
  19. JamiiForums Tanzania Kumbe mafuta nayotumia kwenye gari ni sawa na ningekua napanda bodaboda!!

    Umetimia mwaka sasa tangu ninunue gari yangu hii ya kwanza. Babywoka safi inanitosha, 1290cc engine 1KR. Tangu ninunue hii babywoka nilikua sijawahi kukaa na kufanya 'cost-analysis' upande wa mafuta nayotumia. Zaidi nilikua nahisi kama gari 'inanifilisi' vile navokua natoa 20,000 au 30,000...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mohamed Salah anazeeka vibaya

    Inakuwaje wanajamvi! Haiwezekani kabisa huyu jamaa awe na miaka 29. Huyu ni kwenye late 40s. No he can't be 29 na kataa. Wazungu na waarabu siku hizi wanaghushi sana miaka hii katika mpira haikubaliki kabisa. Jamaa achunguzwe.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…