mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini vituo vya mafuta vingi wanaezeka bati kwa style ya flat roof?

    Vituo vingi vya mafuta hutumia bati la paa bapa (flat roof) kwa sababu kadhaa za kiufundi na kiusalama: ✅ Usalama wa Moto – Paa bapa husaidia kudhibiti moto kwa urahisi ikiwa kuna dharura. Moto husambaa polepole kwenye paa bapa kuliko paa lenye mteremko⁽¹⁾. ✅ Udhibiti wa Joto – Flat roofs...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Mpakwa Mafuta wa Bwana Akimbilia Zone X baada ya Kumbatio la Covenant kufeli na kufutwa rasmi. Kibarua kimeota nyasi

    🕶️ UNDERGROUND INTEL DROP: MPB-09 Source: Silent Wharf Clearance Level: BLACK VEIL Operative mmoja wa daraja la katikati kwenye safu ya Green Circuit, anayetambuliwa ndani ya mfumo kama MPB-09 (wakati mwingine hujulikana kwa jina la kificho “The Anointed Courier”), ameripotiwa kuondoka kwenye...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Nauza Mafuta ya sandalwood

    Karibuni mafuta ya sandal wood, original toka kiwandani. Litre 1 au Kg 1 ni $1200 tu. Mwenye uhitaji anipigie kwa namba 0612373688. Karibuni sana.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi inavyoshughulika na wageni wanaokuja kwenye kesi ya Lissu, serikali ya CCM inajikaanga kwa mafuta yake yenyewe kwenye uso wa kimataifa

    Ukichukulia kwamba tayari Ubalozi wa Marekani nchini na Bunge la Ulaya tayari wametoa kauli kuhusu serikali ya Samia kufuata haki za binadamu na utawala wa sheria, na haya mambo yanayotokea nchini kuhusu hawa wageni mashuhuri wanaokuja kwa ajili ya kesi ya Lissu, nashindwa kuelewa ni mtu mwenye...
  5. JamiiForums Tanzania Ni mafuta gani mazuri kwajili ya kukuza nywele

    Wakuu Nahitaji mafuta mazuri ya nywele ambayo yanaweza kukuza walau ndani ya miezi sita nywele niweze kubana,,.Kwa anayefahamu , anayeuza, au aliyewahi kuyatumia naombeni mnitajie majina na hata picha ikiwezekana,. Au kama uko nayo niambie unapatikana wapi ili ikiwezekana unisafirishie, Wiki...
  6. JamiiForums Tanzania Nguvu ya Mafuta: Safari ya Mfalme Faisal na Siri ya Kifo Chake

    Mnamo mwaka 1973, dunia ilishuhudia tukio la kihistoria ambalo lilibadilisha mwelekeo wa siasa za kimataifa na uchumi wa dunia. Mhusika mkuu wa tukio hili alikuwa Mfalme Faisal bin Abdulaziz Al Saud wa Saudi Arabia. Uamuzi Ulioitikisa Dunia Wakati wa Vita ya Waarabu na Waisraeli (maarufu kama...
  7. JamiiForums Tanzania Nimeshuhudia Mafuta yakitoka chini Ardhini hapa Tanzania

    Nafahamu Kuna Makampuni ya Kizungu labda na Serikali wakiendelea na Utafutaji wa Mafuta huko Baharini...! Binafsi katika Utafutaji niliwahi kwenda maeneo flani ndani ya Tanzania huko Vijijini, wenyeji wangu wakanipitisha kwenye eneo Moja nikabaki kushangaa, kwanza Majani hayaoti eneo Hilo, ni...
  8. JamiiForums Tanzania Soko la mafuta haya ya nazi hapa bongo limekuwa kwa nguvu mno

    MABAHARIA WASHAELEWA🤣
  9. JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta imeshuka

    https://www.ewura.go.tz/uploads/documents/en-1746561549-Cap%20Prices%20for%20May%202025%20-%20English.pdf Petrol ilikua Tsh 3100 sasa ni 2947 Wakati diesel ilikua 2934 sasa ni 2868 per Litre
  10. JamiiForums Tanzania Wachina wamegundua pikipiki inayotumia pombe kali badala ya mafuta

    Tukisema afrika bado tunaitaji No reform No election mnaleta matamasha ya raisi.Haya waziri wajafo,mchengerwa na mwiguru uchumi mtauweza. https://www.youtube.com/shorts/zorydKgciQY?app=desktop
  11. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wafanyabiashara Dodoma wanauza mafuta ya Korie kwa kwa kuwaadaa wateja kuwa wanauza Alizeti

    Nilienda kununua mafuta ya kura na nilihitaji mafuta ya Alizeti maeneo ya Sabasaba, baada ya kufika kwenye hilo duka la mafuta na lina mchanganyiko wa bidhaa za chakula, alitoka msichana na kuniuliza ninahitaji nini? Nilimueleza nahitaji mafuta ya Alizeti akanitolea moja ya dumu la lita tatu...
  12. JamiiForums Tanzania Ni kweli kuwa Burkina Faso wamegundua mafuta mapipa bilioni 50?

    Nimeona huku na kule habari kuwa Burkina Faso wamegundua reserve ya mafuta mapipa bilioni 50. Kampuni ya Russia ndiyo imefanya utafiti. Hayo ni mafuta mengi kuliko hata ya Nigeria yenye karibu mapipa 40bilioni. Hizi habari zina ukweli gani?
  13. JamiiForums Tanzania Nani anaruhusu ujenzi wa vituo vya mafuta kwenye makazi ya watu?

    Wakazi wa kata ya soweto Manispaa ya moshi wanaoishi kwenye maghorofa sita ya Shirika la Nyumba la Taifa (HNC)kiwanja namba 89 Kitalu L barabara ya Arusha,wamepaza sauti wakipinga ujenzi unaoendelea kwenye makazi yao. Wnahofia usalama wa maisha yao na mali zao endapo utatokea mlipuko wa moto...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Huawei waliishia wapi na ndoto zao za kutawala soko la simu duniani, Huawei bila Playstore ni kama chapati bila mafuta,

    Trump aliwapiga nyundo Huawei mwaka 2019, Hii ilipelekea makampuni kama google kuikataza Huawei kutumia huduma zao kama Playstore. Huawei wakaachana na android wakaamua kutumia System yao inaitwa Harmony OS wakiapa kupindua meza na kutawala soko la simu duniani. Hali imekuwa tofauti sana...
  15. JamiiForums Tanzania Dawa au mafuta ya kuondoa nywele kichwani

    Habari za jioni wanajamvi, Naomba niende moja kwa moja kwenye maada. Nina miaka 32, jinsia yang n Me, nimekumbana na changamoto ya kuota kipara mapema sana kuanzia kwenye komwe mpaka kisogoni, kwa bahati mbaya zaidi nywele za pembezoni mwa kichwa zinaota na kustawi haraka sana kila ninaponyoa...
  16. JamiiForums Tanzania Utasikia "Hybrid zinatumia mafuta vizuri mjini, ila ukienda highway zinatumia vibaya sana!"

    Usilahumu gari, mlalamikie dereva. Na ilikua 36 km/L sema kuna sehemu barabara ikawa inatengenezwa tukawa mwendo wa kobe ndio ikashuka hadi 32 km/L.
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kiongozi wa Wilaya ya Maswa anayedaiwa Kuhujumu Mafuta ya Magari ya Serikali Afichuliwa

    Madereva wa magari ya serikali katika halmashauri ya wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, wamemlalamikia,Katibu Tawala wa wilaya(DAS)ya Maswa,Athuman Kalaghe kwa madai ya kuamrishwa kuacha sehemu ya mafuta wanayopewa kwa matumizi ya magari yao, ili kiongozi huyo ayatumie kwa matumizi binafsi. Kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Ngozi ya mwili haiharibiki hata usipojipaka mafuta mwaka mzima

    Mwanzo nilijuaga labda usipojipaka mafuta ngozi itapauka au itapata shida ila nime prove mwenyewe baada ya kuishiwa mafuta na nikawa Sina hela ya kununua nimekuwa nikioga bila kupaka kwa zaidi ya miezi mitano ila ngozi naona Iko normal tu hakuna shida yoyote so mafuta hayana ishu sana.Je Kuna...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kama shilingi yetu ni himilivu ni kwanini kila mara bei ya mafuta inapanda?

    Kila mara tunaelezwa kuwa shillingi yetu ni HIMILIVU na inafanya vizuri. Kila Jumatano ya kwanza ya mwezi Serikali inatangaza bei mpya ya mafuta na tunaelezwa kuwa bei ya mafuta huko ughaibuni imepungua. Tuelezwe na Serikaali ni kwa nini sasa kila mara bei ya mafuta inapanda?.
  20. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari tanker 10 za mafuta

    Habari Natafuta gari za tanker za mafuta zenye vibali vya transit. Trip ni kwenda Mzuzu,blantyre na lilongwe. Zinahitajika gari 10. Malipo advance 70% ,balance 30% after offloading. Loading point- Tanga port Product: Diesel and petrol 0692595127
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…