The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.
Tunapofanya maamuzi ya kujaza mafuta kwa magari yetu ya petrol, mara nyingi tunakuwa confused; tunajiuliza “nipi mafuta bora kwa gari langu?” kna vituo vina petrol 91%, wengine 93% engine 95%
Nitatoa mifano ya makampuni mawili makubwa:
TOTAL – Hawa wana mafuta ya petrol yenye 95% octane...
Mfano unapozoea kutumia mafuta ya Petrol ya kituo cha Puma aina ya Unleaed kwenda kituo cha Total wenye Petrol ya Excellium. Niliwahi kuona gari ikiwa nzito au nyepesi napobadili vituo hivyo pamoja na utofauti wa ulaji wa mafuta
Au unapobadili vituo vinavyotumia Petrol unleaded lakini kampuni...
Katika kipindi hiki ambacho dunia inakumbwa na misukosuko ya kiuchumi inayochangiwa kwa kiasi kikubwa na migogoro ya kimataifa, hususan katika ukanda wa Mashariki ya Kati, nchi nyingi zinazoagiza mafuta zimejikuta zikikabiliwa na mfumuko wa bei, kupanda kwa gharama za uzalishaji, na kudorora kwa...
Wanaukumbi.
Baada ya zaidi ya saa 12, udhibiti wa Israel unasema "iliruhusu" kuchapishwa kwa athari ya kombora la Iran karibu saa 1 asubuhi huko Haifa,
https://x.com/aryjeay/status/2035001330511569060?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Waziri wa Hazina wa Marekani, Scott Bessent, ameviambia vyombo vya habari kuwa; Marekani imekubali kwa makusudi kuruhusu meli za mafuta za Iran kupita katika Mlango wa Hormuz bila kuzuiliwa kijeshi kwa sasa.
Hatua hii imechukuliwa ili kudhibiti bei ya mafuta duniani isipae zaidi (baada ya...
Wakati mvutano wa kisiasa na kijeshi ukiendelea kuongezeka katika eneo la Strait of Hormuz, Wataalamu wa sekta ya mafuta anaonya kuwa dunia inaweza kukabiliwa na msukosuko mkubwa wa nishati iwapo njia hiyo muhimu ya usafirishaji wa mafuta itavurugika.
Kutokana na changamoto hizo, wataalamu...
The Wall Street Journal
Ndege tano za Jeshi la Anga la Marekani zinazotumika kujaza mafuta angani zilipigwa na kuharibika zikiwa chini katika Kituo cha Anga cha Prince Sultan Air Base nchini Saudi Arabia, kwa mujibu wa maafisa wawili wa Marekani.
Maafisa hao walisema ndege hizo zilipigwa...
wiki iliyopita nilienda kufanya service kwenye gereji ya kituo cha mafuta
gari ilikuwa na tatizo la mafuta, fundi ali drain mafuta yote kwenye gari,
sasa wakati wa kujaza upya mafuta nilishuhudia mchezo huu.
nilikuwa na kidumu changu kwenye buti nikampa fundi ajaza mafuta ya elf 10.
nimempa...
Kuna tatizo kubwa sana huwa linafichwa kwa kujaziwa full tank
Gari inaweza kuwa na tatizo la kubugia mafuta kupitiliza kiwango cha kawaida, matatizo haya ukafichwa kwa kujaziwa mafuta mengi
ni mpaka siku za mbele kabisa utakuja gundua uliuziwa mbuzi kwenye gunia
Russia kimya kimya anatengeneza mtonyo wa maana kwenye kipindi hiki mgogoro kati ya Us/Iran umechachamaa.
Kremlin inaingiza angalau kiasi cha dola za kimarekani 150 kila siku kutokana na mauzo ya mafuta na gesi na kugeuza mgogoro huu wa mashariki ya kati kama sehemu ya kupatia faida maradufu.
Mataifa ya G7 yamesema yataunga mkono hatua ya pamoja ya kutoa mafuta kutoka kwenye akiba zao za kimkakati ili kukabiliana na kupanda kwa bei kwa kasi tangu kuanza kwa vita kati ya Marekani, Israel na Iran.
Kundi la Saba (G7) ni jukwaa la kiserikali linaloundwa na nchi za Canada, Ufaransa...
Iran Wakianza Kushambuliwa Vituo na Maghala ya Mafuta, Hapo Vita Itakuwa Imeisha
Sidhani kama kwa sasa Iran wanategemea sana vifaa vya kijeshi vinavyotumia umeme. Kwa kiasi kikubwa, mifumo mingi ya kijeshi duniani ikiwemo ya Iran bado inategemea mafuta kama dizeli, petroli, na jet fuel...
Wanaukumbi.
Msemaji wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran:
-Tunasubiri uwepo wa majeshi ya Marekani kusindikiza meli za mafuta kupitia Mlango wa bahari wa Hormuz
- Tunawakumbusha Wamarekani juu ya kuchomwa kwa meli ya mafuta ya Amerika Bridgeton mnamo 1987…
================
BREAKING: IRAN...
Safari hii yawezekana kabisa kuwa Trump kayakanyaga.
Hii vita inaanza kuonekana kwenda vile labda ambavyo hawakutarajia.
Tayari wanajeshi wa Marekani washakufa na huenda wakaendelea kufa.
Marekani ishapoteza ndege kadhaa. Wao Marekani wanadai zimetunguliwa na Kuwait kwa bahati mbaya lakini...
Habari wadau, ninauza mafuta ya alizeti kutoka Singida.
Kiasi Kilichopo: 5,000LTRS
Package: 20Ltrs & 5Ltrs
Bei: Tsh 6,000 per Ltr
Napatikana: Dar Es Salaam
MOQ: DUMU 50 (20LTRS)
Mawasiliano: 0652070444
Karibu Sana
Makampuni kadhaa makubwa ya mafuta pamoja na makampuni ya usambazaji wa mafuta na petroli yamesitisha kwa muda usafirishaji wa mafuta, petroli na bidhaa kupitia Strait of Hormuz kutokana na mashambulizi ya Marekani dhidi ya Iran kwa mujibu wa ripoti kutoka Reuters.
Pulse (Ongeza kasi): Kanyaga accelerator kidogo hadi gari lifikie mfano 50 km/h. (mizunguko ya mjini)
Glide (Teleza): Toa mguu kwenye accelerator, acha gari liende taratibu lenyewe
Wakati gari limepungua kasi mfano 20 km/h rudia hatua ya kwanza
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Oman nchini Tanzania, Mhe. Saud Al-Shidhani yaliyolenga kuimarisha na kuendeleza ushirikiano kati ya nchi hizo mbili katika sekta ya nishati. Mazungumzo hayo yamefanyika leo, tarehe 17 Februari 2026, katika Ofisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.