mafuriko

  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Nini kesho ya mbuga ya Selous?

    'The Rufiji Saga: Dunia inasubiri mafuriko ya kwanza kufagia wanyama wote mbugani? Nini kesho ya mbuga ya Selous?' Haya ni mambo ambayo kama itabidi tuombe msaada wa kimataifa kwa kuwa selous ni hifadhi ya dunia yenye viumbe adimu, je wote wafagiwe na maji ? Halafu? Tusiogope kuomba msaada kwa...
  2. kimbendengu

    JamiiForums Tanzania Hali ya mafuriko wilaya ya Rufiji, Mkuu wa Wilaya atoa tahadhari ya kuongezeja kwa maji

    Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowele ametoa tahadhari kwa wananchi wanaoishi karibu na maeneo ya maji wahame kwa kuwa Bwawa la Mwalimu Nyerere linaendelea kufunguliwa maji yanazidi kuongezeka sambamba na mvua zinazoendelea kunyesha sehemu mbalimbali nchini.
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Rufiji: Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere limepunguza athari za mafuriko Rufiji

    Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Meja Edward Gowelle amesema kuwa mradi wa kufua umeme wa bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) umepunguza kwa kiasi kikubwa mafuriko na athari zake yaliyokuwa yakitokea katika wilaya hiyo. Meja Gowelle ameyasema hayo tarehe 05.04.2024 katika mazungumzo yake na wawakilishi...
  4. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Rufiji: Vijiji 23 vimekumbwa na mafuriko makubwa kutoka Bwawa la Umeme la JNHPP. Je, Tathmini ya athari kwa mazingira ilipuuzwa kabla ya ujenzi?

    Inasikitisha sana kusoma kwamba Zaidi ya Vijijini 23 Wilayani Rufiji vilivyopo kwenye blonde la mto Rufiji Vimekumbwa na Mafuriko Makubwa ya maji kutoka bwawa la umeme la Nyerere. Vijiji hivyo viko kwenye kata 12 Zenye kaya zaidi ya 1,000 ambapo makazi,mashamba,mazao na Mali nyingine...
  5. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Mchinjita: Serikali iwalipe fidia waathirika wa Mafuriko Rufiji

    Serikali kusababisha Mafuriko; Waziri wa Nishati awajibishwe na Wananchi wa Rufiji na Kibiti wafidiwe. Chama cha ACT Wazalendo kinataka hatua kali za uwajibishaji dhidi ya Waziri wa Nishati Ndg. Dotto Biteko kwa kushindwa kuwawajibisha watendaji wake waliosababisha mafuriko Rufiji na Kibiti na...
  6. U

    JamiiForums Tanzania TANESCO watorosha Maji Bwawa la Nyerere, na kuharibu mazao Kwa mafuriko

    Licha ya TANESCO kutoa adhabu ya kugawa Umeme Kwa wananchi wa TANZANIA na kuendeleza mateso hawajaridhika na sasa wameamua kufungulia maji ya bwawa la nyerere na kusababisha mafuriko makubwa na uharibifu wa mazao katika vijiji vilivyopo mkondo wa chini wa bwawa hilo. Maji hayo ambayo...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa kata ya Ijuganyondo katika Manispaa ya Bukoba wana katika hatari ya kukumbwa na mafuriko

    Kuna kipindi nilibahatika kwenda Moja inaitwa Ijuganyondo. Kuna sehemu Kuna shule ya Msingi inaitwa Mushemba Trinity Primary School pembeni Kuna shimo kubwa sana lilichimbwa kutoa changalawe ya kutengeneza barabara Cha ajabu lile shimo lipo karibu na Makazi ya watu, pia lipo karibu na shule...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha Mafuriko Morogoro mjini ni tuta la SGR, mamlaka zishughulikie hili

    Natamani ukweli huu uwafikie wafanya maamuzi. Kampuni ya Kituruki ya Yapi imeinua tuta kubwa na refu kwa ajili ya kupitisha reli ya SGR badala ya nguzo. Kisha wakaweka outlet mbili za kupitishia maji. Matokeo yake tuta limekuwa likiyablock maji kutoka milima ya azimio na Lukobe kusambaa kwenye...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama Aagiza Huduma za Kijamii Zilizoathiriwa na Mafuriko Morogoro Zirejeshwe

    Waziri Mhagama Aagiza Huduma za Kijamii Zilizoathiriwa na Mafuriko Morogoro Zirejeshwe Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uraribu Mhe. Jenista Mhagama ameagiza kurejeshwa kwa huduma zote za kijamii zilizoharibiwa na maji ya mvua kubwa iliyonyesha Januari 25 2024 Manispaa ya...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar mnakumbuka kauli ya RC?!! Poleni kwa mafuriko!!

    Salam,sipo hapa kwa ajili ya kuwatonesha vidonda wahanga wa mvua zilizoleta kadhia na vifo,ila nawakumbusha kwa maneno ya serikali kupitia RC. Kwa wenzetu na uongozi wenye utu na busara ungeona kaamti ya maafa ikifanya jitihada za dharura za makazi na mlazi kwenye maeneo ya umma na hata walau...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Asilimia 60 ya maafa ya mafuriko Dar es Salaam yanatokana na uzembe wa serikali, Raisi Samia akubali ukweli huu

    Ni kweli maafa ya mafuriko yanaitwa natural disasters, lakini sio lazima natural disasters zilete maafa kwa raia na mali zao. Asilimia 60 ya maafa ya mafuriko Dar es Salaam yanatokana na uzembe, ubinafsi, kutojali, na uongozi mbovu kwa ujumla wa viongozi wa serikali. Si mara ya kwanza Dar es...
  12. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mafuriko Thread: Picha za mafuriko sehemu mbalimbali ulimwenguni

    Huu ni uzi maalumu kwaajili ya kupost picha za mafuriko sehemu ulipo. TUPIA PICHA ZINAZOONYESHA MAFURIKO YA MVUA SEHEMU MBALIMBALI ULIMWENGUNI.
  13. Msanii

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa Dar usiku huu kuamkia 20 Jan 2024. Je maeneo yenu kuna maafa?

    Wananzengo, usiku saa 9 nimejikuta navamiwa na wanangu chumbani, wanaogopa radi kabambe zinazopiga sambaba na mvua hii kubwa yenye upepo wa kuhamisha milima. Soon kunakucha. Tujuzane endapo kuna maafa maeneo yenu. Lengo ni kupashana taarifa. Tupia picha . Nawalinda wanangu hapa wasipigwe na...
  14. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Aokota Gari kwenye Mafuriko Dar

    ANGALIA VIDEO HAPA Magari yamesombwa, nyumba zimesombwa, baadhi ya Watu wamebebwa juujuu kutokana na mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo Jijini Dar es salaam na kusababisha maafuriko katika baadhi ya maeneo ikiwemo Tegeta na Kunduchi. Baadhi ya Wakazi wa maeneo hayo wameomba Serikali...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Maafisa Elimu Watoa Milioni 20 kwa Waathirika wa Mafuriko ya Hanang

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amekabidhi Sh.Milioni 20 kwa Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Mhe.Jenista Mhagama kutoka kwa Umoja wa Maafisa Elimu wa Mkoa na Halmashauri zote nchini kwa ajili ya waathirika wa...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TMA: Mikoa 15 kukumbwa na Mvua kubwa zinazoweza kusababisha Mafuriko

    Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) imetoa tahadhari ya uwapo wa mvua kubwa inayotarajiwa kunyesha katika mikoa 15 inayoweza kuleta athari ya mafuriko. Mikoa iliyotajwa ni Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Tabora, Kigoma, Katavi, Dodoma, Singida, Rukwa, Mbeya, Songwe, Njombe, Iringa na Kusini mwa...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mabalozi wa Afrika wakabidhi msaada wa mifuko 1,000 ya saruji kwa waathirika wa mafuriko ya Hanang

    Umoja wa Mabalozi wa Nchi za Afrika wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania wamekabidhi msaada wa mifuko 1,000 ya saruji kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa nyumba kwa wananchi waliokumbwa na mafuruko na maporomoko ya udongo katika eneo la Katesh Wilayani Hanang mkoa wa Manyara. Akikabidhi msaada huo...
  18. benzemah

    JamiiForums Tanzania Wenza wa Viongozi wawashika mkono Waathirika wa mafuriko Hanang

    Umoja wa Wenza wa viongozi "New Millenium Women Group" wameipongeza Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa namna ilivyokabiliana mafuriko yaliyosabisha maporomoko ya tope kutoka Mlima Hanang, Mkoani Manyara. Akizungumza na waathirika katika kambi iliyopo...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Hanang, Eng. Hayuma alilia Serikali athari za mafuriko ya Hanang

    MBUNGE WA HANANG, ENG. HAYUMA AILILIA SERIKALI, ATHARI ZA MAFURIKO YA HANANG Mbunge wa Jimbo la Hanang, mkoani Manyara, Eng. Samwel Hayuma ameingukia serikali akiiomba kuwatazama kwa jicho la pili wafanyabiashara ambao wamepoteza mali zao kutokana na mafuriko ya maporomoko ya tope yaliyotokea...
  20. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Serikali: Mafuriko ya Katesh ni kuporomoka kwa mchanga wa mabaki ya mlipuko wa volkano uliotokea maelfu ya miaka

    Msemaji wa Serikali amesema Wananchi wa Hanang katika mji mdogo wa Katesh, na vitongoji vyake, mji mdogo wa Kateshi walisikia kelele ambazo walifananisha kama gari moshi likipita kwa kasi katika mlima wa Hanang ambapo katika usiku huo kulikuwa na mvua ya kawaida na si mvua kubwa sana ya kutisha...
Back
Top Bottom