Naomba nyie masoja niwaulize maswali kidogo
1. Nyie Sukari mnanunua wapi au mnapewa bure na Samia?
2. Petrol na diesel mnajazaga bure magali yetu.?
3. Nyama mnapewa bure?
4. Vipi mchele na maharage bado nyie mnanunua Kwa 1600.?
5. Vipi mkisafiri kwenda kwenu kagera nauli ni sh 40000.?
6...
Wana Jamii
HII NI TATHMINI YANGU
Sisi wengine tunapenda kuyatizama mambo yanavyozuka na maana yake kiundani katika jamii yetu.
Kikawaida wengi wetu tunakuwa tunaburuzwa ovyo ovyo tu na fikra za watu wengine, watu wengine eti kwa sababu tu mtu amepenya katika tundu ya sindano akawa mkuu...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania, Hayati John Magufuli, aliwahi kupendekeza kufutwa utaratibu wa kutumia Watoto katika Siasa kwa kuwaita Chipukizi ambapo alihoji Watoto hao watakuwa na muda gani wa Kusoma endapo watakuwa katika masuala ya Kisiasa.
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Ridhiwani Kikwete amesema serikali imeamua kujenga Mfumo wa Kitaifa wa Kielektroniki wa Ununuzi Tanzania (NeST) ili kukabiliana na changamoto ya Rushwa katika mfumo wa manunuzi ya serikali.
Kikwete ameyasema...
LUHAGA MPINA ulichoma nyavu za wavuvi na kuwatia umasikini mkubwa huna uhalali wa kuwataja mawaziri kuhusika na ufisadi vinginevyo tuamini mna ugomvi binafsi.
Watu wa Kanda ya zIWA hana hamu na Mpina kwa maovu aliyoyafanya hana uhalali wa kuwashambulia binafsi Makamba, Mwigulu na Mbarawa ni...
Baada ya kufariki dunia Dk. Reginald Abraham Mengi Kituo cha Televisheni cha ITV kimebadili mtizamo wake kutoka kuwa chombo kimbilio la wanyonge na chombo makini cha kuanika maovu ndani ya jamii leo kimegeuka kuwa jukwaa la machawa na watuhumiwa wa ufisadi.
Tangu Makonda ameteuliwa ITV hawataki...
"Kama Vitabu vyetu vya Dini Quran na Biblia vinatufundisha kuwa na Maadili, kuheshimiana, kuvumiliana, Kusameheana na Kutotukanana iweje Wewe Mwanadamu uende navyo Kinyume kwasababu tu ya Maslahi yako ya Siasa?" amesema Rais Mmoja wa duniani ambaye kwa sasa GENTAMYCINE nimemsahau Jina ila najua...
Asalaam Aleykum wapenzi wana JF wenzangu.
Kati ya vitabu vigumu kabisa kuvielewa ni pamoja na vitabu vya Hayati Shaaban Robert na Mkerewe mmoja aliyekuwa anaitwa Euphrase Kezilahabi (kwa sasa marehemu).
Hawa wanaume sijui walikuwa wanafikiri kwa kutumia mechanisms zipi maana vitabu vyao...
Yuleyule aliyefanya figisu hadi kumfutia Leseni mwanadada Fatuma Karume, Mwanasheria mkuu wa Serikali bwana Feleshi amempeleka Wakili msomi ndugu Mwabukusi kwenye Kamati ya maadili ya Mawakili.
Katika malalamiko yake Mwanasheria wa Serikali anasema eti:
1. Mwabukuzi ni mchochezi.
2. Mwabukusi...
bandari
ccm
hatima
haya
huru
katiba
kutokana
mafisadi
mdude nyagali
mkataba
mkataba wa bandari
mwanasheria
mwanasheria mkuu
rais samia
tume
tume huru
uwakili
Katika suala la kukodisha bandari zetu tujifunze kitu kimoja kikubwa. Kwamba taaluma ya sheria inapotumiwa na mafisadi ni hatari kama ukoma kwenye jamii.
Siku moja tu imepita tumewasikia wanasheria wizara ya ujenzi na uchukuzi wakiwa na waziri wao wakijaribu kutetea uamuzi wa serikali kutaka...
Wabari wakuu,
Nimekuja kwenu na swali la kusindikiza 77.
Ikitokea umempa kazi fundi, inaweza kuwa kukujengea kibaraza nyumbani, kukushonea nguo, kutengeneza kabati, kurekebisha gari lako nk halafu fundi akazingua, tuseme kazi ilikuwa ya wiki mbili, siku ya kukabidhi fundi hajafanya chochote...
Hii habari ya JKT Tanzania Nyerere aliiga China kwa Mao. Mao alivuruga kila kitu, watu wakatolewa mashuleni, kwamba haina maana na kupelekwa "JKT." Kigezo cha kuingia chuo kikuu kikawa si ufaulu shuleni bali bidii ya mtu na utii huko JKT.
Watu walioenda kule JKT walikutana na mambo ya ajabu...
Wakuu kuna jambo haliko sawa na tutakumbuka shuka tukiwa tumechelewa. Wawekezaji wote wanaokuja hapa huwa wanapambwa sana na wanasiasa mwisho wa siku tunaibiwa kizembe. Kipindi cha EPA mpaka viongozi wa dini walihongwa, hivyo tusidanganyike kizembe.
Tafadhali Mh Raisi, kwenye hili la...
Hili sio bunge bali ni rubber stamp ya mkuu wa nchi.
Kwani Ayubu Ndugai kama mkuu wa mhimili wa Bunge alifanya kosa gani kupinga mikopo ya hovyo iliyojaa ufisadi?
Tulitarajia bunge Makini liseme ukweli kuwa kukopa hovyo na huku serikali ikikusanya kodi na tozo kamdamizi lukuki ni upuuzi...
Miaka hiyo ilikiwa sio rahisi kusikia rais fisadi na anayekumbatia ufisadi huku raia masikini wakiteseka akikaa madarakani alipinduliwa na kuuwawa kwa maslahi ya taifa.
Samuel Doe alifanya kweli kwa kumuondoa Torbet na genge lake.
Thomas Sankara alifanya kweli na mapinduzi yakafanyika na...
Tunaenda kuongeza mapato, na kuongeza ufanisi kwa ujumla wake
Sasa kupinga bila sababu za msingi na kukazania na uzushi tuuu hii inaleta ukakasi,
Kama ni mapungufu si tuyarekebishe tu?
Kwanini kumkataa mwarabu moja kwa moja?
Angekuwa mzungu tungepinga?
Ukimfuatilia mlolongo wa matukio kadha wa kadha ya hivi karibuni lazima mwanzoni mwa picha utamushuhudia Kitenge akiwaandaa watu kisaikolojia.
Mfano la Waarabu wa Loliondo na lile na Wamasai kule Ngorongoro Kitenge alitangulia kufanya kipindi cha kizushi.
Hili la Bandari tena Kitenge huyohuyo...