mafanikio

  1. H

    JamiiForums Tanzania Siri 15 za Mafanikio Nilizojifunza Kutoka Kwenye Barua za Rockefeller Kwa Mwanae (unaweza Kujifunza pia Kuhusiana na Maisha)

    📆 Mei 29, 2025 Jioni... Nilikuwa nimetulia chumbani kwangu Huku niki-scroll Tu Instagram — boom! Nikakutana na post Kumuhusu: "John D. Rockefeller Yenye mkusanyiko Wa barua 38 kwa mwanae kuhusu mafanikio. Hizi barua Niliandikwa Kwa sentence fupi fupi Tu Sikupoteza muda... Nikaamua...
  2. JamiiForums Tanzania Mafanikio nguvu ya Roho

    Naam mipango na matumizi pia nidhamu.....huwa thabiti pale unapokuwa huna kitu yaani kabla hujashika fedha. Lakini pindi fedha inapokuwa mkononi ile mipango yooote ile nidhamu yooote na ile listi ya matumizi uliyoipamga mwenyewe,,,wewe mwenyewe ndio unaibomoa... Hii ni namna ya utaalamu wako...
  3. JamiiForums Tanzania Falsafa ya Mafanikio

    "Utukufu wa sasa usikufanye kusahau mikono iliyoijenga misingi ya mafanikio yako." Alloyce, P.R.
  4. JamiiForums Tanzania Hapo nyuma nilidhaniaga wema na unyenyekevu ndio silaha ya mafanikio na aman katika maisha ila AGGRESIVENESS ndo funguo ya huu mpango mkakat wa maisha

    Wema na unyenyekevu ni vya kumfanyia baba na mama, mjomba na shangazi, bibi na babu. Ila system endelevu za maisha hazijatengenezwa kwa ajili ya mtu alio fair bali zimetengenezwa kwa ajili ya mtu alie fit. Tofauti na hapo utabaki kunung'unika na kulaani, kwamba iweje upole na fairness...
  5. JamiiForums Tanzania Usifanye kosa hili, Uzito wa Kuku wako, ni silaha ya mafanikio

    ⚖️Uzito ni Msingi wa Mafanikio Katika Ufugaji wa Kuku wa Mayai! Kwa muda sasa tumekuwa tukitembelea wafugaji wa kuku wa mayai katika mikoa mbalimbali hapa nchini. Kitu cha kushangaza (lakini cha kawaida sana) ni kwamba wafugaji wengi hawana mizani kabisa ya kupimia uzito wa kuku wao! Hii...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu zaidi kwa CHAUMMA kupata mafanikio ya Kisiasa Tanzania tena ni rahisi zaidi kwa TLP ya Mzee Mrema kukamata dola 2025

    .CHAUMMA INA UMA. Kuna baadhi ya wanasiasa wanajidanganya na wengine kudanganywa kuwa CHAUMMA inaweza kuwa tishio kwa chama tawala leo au kesho, hii naomba wasahau kabisa. Kwa taarifa tu, Vyama vyote vilivyoanzishwa kama matokeo ya migogoro havijawahi kufanya vizuri popote duniani tujiulize...
  7. JamiiForums Tanzania Majibu ya rafiki yangu baada ya kumuuliza Siri ya mafanikio yake

    Kaka tumekuwa wote kijijini Wote tumefeli darasa la Saba Leo hii kaka una v8 3 nyumba Zaidi ya 11 mashamba ndio usiseme maduka ndio kabisa Naomba siri ya mafanikio. Akasema mdogo wangu kuku maji unaweza kusex na nyoka??? Mpaka hapo nikaondoka sikuwa na majibu tena
  8. JamiiForums Tanzania Wizara ya maliasili yataja mafanikio 10 iliyopata katika kipindi cha miaka minne

    Wizara ya Maliasili na Utalii imetaja mafanikio 10 iliyopata katika kipindi cha miaka minne ikiwemo kuongeza mapato yatokanayo na shughuli za utalii ambapo Serikali imeingiza Dola za Marekani bilioni 1.3 Mwaka 2021 hadi kufikia Dola za Marekani bilioni 3.9 Mwaka 2024 sawa na ongezeko la...
  9. JamiiForums Tanzania Vijana Ambao Mnataka Mafanikio Ya Haraka, Msikilize Huyu Jamaa.

    Kama Mwanaume Kitu unachotakiwa kukilinda kuliko vyote ni Uanaume Wako. Terrence Howard, Muigizaji huko America.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Haya ndo mafanikio ya Simba Sports Club mpaka sasa

    Simba Sports Club imekuwa na mafanikio makubwa katika msimu wa 2024/2025, ikijidhihirisha kama moja ya vilabu bora zaidi barani Afrika na Tanzania. 🏆 Mafanikio ya Kimataifa – CAF Confederation Cup 2024/2025 Simba SC imefuzu kwa fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF kwa mara ya pili katika...
  11. JamiiForums Tanzania Wizara ya viwanda na biashara yataja mafanikio miaka minne ya serikali ya awamu ya sita

    Wizara ya Viwanda na Biashara imepata mafanikio makubwa katika maeneo mbalimbali yakiwemo uendelezaji wa miradi ya kielezo na kimkakati; upanuzi na ujenzi wa viwanda; uendelezaji wa teknolojia mbalimbali; atamizi na ubunifu; utafutaji wa masoko ya bidhaa za Tanzania ndani na nje ya nchi; ubora...
  12. JamiiForums Tanzania Hakikisha watu wako wa karibu, mwanamke wako, ndugu na marafiki hawajui lolote kuhusu wewe na mipango yako ya maisha

    Braza sista Dunia ya Sasa wachawi ni watoto wadogo wamenyoa viduku na wengine ni vyura Sasa Usijihaminishe kumwambia mtu yeyote mipango Yako hata mamaako au baba kama unajiweza kidogo kiuchumi maana wazazi wetu wengi ni wapenda sifa wanatangaza kwakila mtu hapo ndo wanapokufelisha bila kujua...
  13. JamiiForums Tanzania Usiri ni nguzo ya mafanikio

    USIRI NI NGUZO YA MAFANIKIO. __________________________________________________ Si muda wote unatakiwa kueleza dhamira yako kwa watu unatakiwa kujua kuwa adui wa mtu ni watu. Sio ajabu yule unaemjengea dhana njema ndio akawa ni adui wa siri kwako kwahiyo ni vyema kuwa msiri kwenye mambo muhimu...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa mafanikio ya AU!

    Zaidi ya kubadilisha jina kutoka OAU na kuwa AU, ina mafanikio gani tena? Mtandaoni wameandika andika lakini sijawaelewa! 1. Ni kweli imefanikiwa kuondoa ukoloni barani Afrika? 2. Ni kweli imefanikiwa kuondoa migogoro miongoni mwa wanachama wake? 3. Ni kweli...?
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini sana na kamdomo ishi nao kiakili, hakuna rafiki utaemwambia habari za mafanikio yako makubwa kumzidi atafurahia

    NB: Wapo marafiki wema wataofurahia kwa dhati ila wachache sana. Huwa tunapopata mafanikio ama mipango tuliyopanga kufanikiwa tunapenda kuwaambia marafiki Utafika kwa rafiki utamwambia umepata mafanikio au mpango uliowahi kumwambia umetiki, hapa sizungumzii mafanikio ya kawaida, ni yale...
  16. JamiiForums Tanzania Vitabu vinavyoweza kukupa mwanga maarifa kuhusu mafanikio

    Kama unatafuta vitabu vya kujifunza siri za utajiri, kujenga mali, na mafanikio ya kifedha, hapa kuna baadhi ya vitabu maarufu na vya thamani vinavyoshughulikia mada hii: ### 1. Vitabu vya Klasiki kuhusu Utafiti na Uwekezaji - "The Richest Man in Babylon" – George S. Clason (Mtu Mjakazi...
  17. JamiiForums Tanzania Vitu havibadiliki

    Mara nyingi tunapokua, tunapitia changamoto, mafanikio, au kupata maarifa mapya, mtazamo wetu kuhusu maisha huanza kubadilika. Hali hii hufanya tuone vitu kwa jicho tofauti, hata kama hivyo vitu havijabadilika kabisa. Mlima tuliozoea kuuona kila siku ukiwa kama kivuli kwenye maisha yetu, ghafla...
  18. X

    JamiiForums Tanzania Mtu pekee anayekutakia mema na uumzidi mafanikio ni baba na mama yako mzazi tu

    Ndugu na marafiki ni wanafiki tu siku ukifanikiwa ndio utaelewa au ukiwa umewazidi kimafanikio utaona jinsi walivyo kihalisi. Watajifanya kukupongeza kinafiki tu ila pembeni wanaumia sana. Baba ni mpambanaji mwenzetu kila siku atakupa mawazo ya kukujenga. Na huwa anafurahi sana kuona watoto...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 GEITA, Mwenyekiti UVCCM: Kabla ya kuwapa nafasi hawa waongo tukayaseme mafanikio ya Rais Samia

    Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita Manjale Magambo amewaasa Viongozi wa Chama na Serikali kuendelea kuyasemea mazuri ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwemo ujenzi wa miradi mbalimbali inayoendelea Mkoani Geita. Hayo ameyasema wilayani Bukombe wakati...
  20. JamiiForums Tanzania Sababu za ndugu kutofurahia mafanikio yako

    SABABU ZA NDUGU KUTO KUFURAHI MAFANIKIO YAKO💰 Kuna sababu kadhaa zinazoweza kuchangia ndugu au watu wa karibu kutokufurahi mafanikio yako. Hizi ni baadhi ya sababu kuu: 1. Wivu na Husuda: Wakati mwingine, ndugu wanaweza kuhisi wivu kwa mafanikio yako, hasa kama wao wanajiona hawajafanikiwa au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…