mafanikio

  1. Wivu kwa vijana wadogo wanaofanikiwa haraka, haya ni majibu ya ‘ChatGPT’ juu ya hilo

    Nadhani wengi mnakumbuka sakata la Niffer… Majibu ya ChatGPT ni haya.. [Why are older people jealous of sucessful young people?] =============== Wivu dhidi ya vijana waliofanikiwa unaweza kutokana na sababu mbalimbali za kisaikolojia na kijamii, ingawa si watu wote wazima wanahisi hivyo. Hapa...
  2. Yafahamu makundi ya wahamiaji Marekani wenye mafanikio makubwa sana wengine hata zaidi ya Wamarekani wazungu

    Hapa kuna makundi ya wahamiaji yenye mafanikio zaidi nchini Marekani, kulingana na kipato, elimu, na taaluma: 1. Wahindi wa Amerika • Kipato cha Kati cha Kaya: ~$150,000 (cha juu zaidi) • Elimu: ~79% wana shahada ya kwanza au zaidi • Taaluma: Sayansi ya kompyuta, tiba...
  3. Mafanikio usafirishaji umeme; Ongezeko la urefu wa njia kuu za kusafirisha umeme

    Mafanikio usafirishaji umeme; Ongezeko la urefu wa njia kuu za kusafirisha umeme Mwaka 2021 (Machi) Kilomita 6423.53 Mwaka 2025 (Februari) Kilomita 8141.38 Ongezeko la Kilomita 1717.85. Sawa na ongezeko la asilimia 27
  4. Mafanikio huwa karibu na kifo ya kianza kuja gafla

    Kuna mawaiza nilisikilizaga zamani ila sikumbuki ni nani?. Ya sheik mmoja fulani. Maelezo yake:Kulikuwa na maskini mmoja alikuwa jangwani kwa shida na kutafute kote na umaskini unaomzonga aliomba kufa,wakati yupo jangwani akakutana na mtu na kumwambia bora nife ila yule mtu alimwambia...
  5. Kutafuta Kazi ya Ndoto: Kupenda Ulichosomea au Kuendana na Soko?

    Kuna pressure kubwa sana kwa vijana wa siku hizi kuhusu kazi. Ukimaliza chuo, wazazi na jamii wanataka uingie kwenye ajira fasta. Lakini hapa kuna dilemma moja kubwa: Unatafuta kazi unayoipenda au unafuata kile ambacho kinalipa? 🤔 Team "Nifanye Kazi Ninayoipenda" ❤️ Kuna watu wanaamini kabisa...
  6. Lissu: Tathmini ya Miaka 64 ya Uhuru: Mafanikio ya Awamu ya Sita Katika Kuimarisha Uchumi, Miundombinu na Huduma za Jamii.

    Tathmini ya Miaka 64 ya Uhuru: Mafanikio ya Awamu ya Sita Katika Kuimarisha Uchumi, Miundombinu na Huduma za Jamii.
  7. Kwa dunia ya sasa gari sio mafanikio sema serikali yetu imefanya kuweka ushuru mkubwa na barabara za siasa

    Kuna mambo unaweza kuonekana una wivu na watu ila wenye wivu na nyie ni ccm kwa nini bado mnataka kujua kwa nini wana wafanya wajinga. Swala la usafiri sio jambo la kujitafuta wala kupiga step kuwa umejua ndio umefanikiwa. Usafiri ni kitu ambacho kwa dunia ya sasa ni lazima kama simu unaweza...
  8. Challenge ya picha: Ni picha gani unaitafuta bila mafanikio

    Niambie nikuwekee hapa chap! Zingatia maadili.. Zisizofaa sitapost
  9. Mwafrika ni bingwa wa kudandia mafanikio ya watu wengine

    Ni kawaida kwa waafrika walio wengi kipigania kwenda nchi za magharibi kwa gharama kubwa na wakikubaliwa wengine wanafanya sherehe Mwafrika ni mtu anayependa shortcut ndo moja ya sababu ya nchi nyingi za kiafrika kuishi katika umaskini wa kutisha usio na dalili ya kuisha Mwafrika akiwa anaishi...
  10. Usithubutu kumshirikisha Ndugu kwenye Mafanikio yako, Utajuta. Yamenikuta

    Imeandikwa na mdau toka Mbeya:- Nilifungua Mini-Supermarket mahali ili kujikwamua kiuchumi. Nikaona si mbaya kumshirikisha ndugu yangu wa kike wa damu wa kuzaliwa tumbo moja mafanikio yangu ili siku moja moja naye anaweza kuja kuniungisha kununua mahitaji hapa kwangu. Alichokuja kunifanya...
  11. Mafanikio hayatangazwi bali hujitangaza

    Ogopeni sana watu wanaojitangaza hasa mitandaoni kwamba wamefanikiwa kwenye hili ama lile.. Wale ambao hujitangaza kwa kujifanya ni 'motivational speakers' Wakijifanya kuwatia moto wengine wapambane kama wao kumbe wanajitangaza ili wawaumize wengine kwa kuwaibia pesa na mali kwa njia ya ulaghai...
  12. J

    PICHA: Mwenyekiti wa CCM Taifa Cde Dkt Samia Suluhu Hassan aongoza kikao Cha Halmashauri Kuu kwa Mafanikio Makubwa

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), leo tarehe 10 Machi 2025, jijini Dodoma.
  13. Vita Huwa haipiganwi Huwa inachezwa,Na hata mafanikio katika maisha yanatafutwa kama mchezo tu hivyo usifuate sana sheria ichezee hela upate hela.

    Ukiwa mpiganaji na upo Frontline utagundua kwenye majibizano ya risasi Huwa ni kama mchezo Fulani wa kutoana wazimu yaani watu wanafyatua risasi ovyo kuelekea kwa adui sio kila risasi eti lazima uzingatie target nyingine unazipoteza tu juu yaani kiufupi unachezea risasi na kumbuka zote hizo ni...
  14. Kwanini ninamdharau sana mtu aliepata mafanikio kupitia connection

    Kwa miaka hii nimekuwa nikikutana na watu waliopata mafanikio au maendeleo yoyote Yale kupitia connection huwa Nina mdharau sana, na muda mwingine huwa naudharau hata ushauri wake,..akiwa anaongea huwa najisemea kimoyomoyo "huyu ataniambia nini!"
  15. Mafanikio, changamoto na athari za uwezeshwaji mwanamke nchini Tanzania

    Tunashuhudia harakati na jithada za kumwezesha mwanamke duniani kote huku Tanzania ikiwemo. Sasa tunashuhudia athari chanya na hasi za kampeni ya kumwezesha mwanamke katika nyanja mbalimbali. MAFANIKIO 1. Mwanamke anapata fursa na hamasa ya kupata elimu na ajira. 2. Mwanamke anamiliki uchumi...
  16. R

    Miaka 25 - 35 ndio umri mgumu zaidi kwa vijana wahitimu wa degree, Presha ya kupata mafanikio au kuwa mtu wa level fulani inakuwa ni kubwa mno

    Wahitimu wa degree wanaopitia changamoto za kiuchumi hupata msongo wa mawazo kwa sababu jamii huwa na matarajio makubwa kwao. Jamii huamini wanapaswa kuwa wajanja zaidi kwenye fursa hata wasipopata ajira. jamii huwashusha thamani na hata kuwatania vijana hawa inapoona kuna vijana wenye elimu ya...
  17. R

    Ninamiliki blogu inayoniingizia wastan laki 4 kila mwezi, sio pesa ya haraka bali ni uvumilivu na consistency

    Blogging sio kazi yangu, naweza kusema ni kama aina ya mti nilioupanda mimi navuna tu, nina shughuli zingine Watu wengi wanapofungua blog wazo linalowajia, ngoja nifanye kama blogger flani niposti habari za michezo, miziki, udaku, n.k. hapa ndipo watu wengi sana wanafeli na kuzifunga blogs zao...
  18. Ofa kwa wanaotaka kufungua kampuni na wanaomiliki kampuni au biashara ya aina yoyote

    Kampuni ya Moms Consulting imeamua kurudisha kwenye jamii kwa kutoa ofa eneo la usajili wa makampuni na biashara(Company and Business name registration) na Ushauri wa kodi(Tax consultancy),kuanzia 22-02-2025 hadi 31-03-2025 kwa kuzingatia vigezo na mashariti ya ofa kama ifutavyo: 1.Kwa wateja...
  19. Wanadamu ni kitu gani mtafanyiwa muamini mafanikio ya wanadamu wengine?

    Aise, nimekuwa nikiandika nyuzi mbalimbali humu, nilizo shuhudia kutokana na mahali nilipoishi. Currently, I'm an online man, nimepitia maisha mbalimbali kuanzia 2011 hadi sasa. Ila kila ninapoandika Uzi, kuna watu nawaita people with low IQ. Mara nyingi nasema, if you don’t have facts...
  20. L

    Watoto wa Tanzania wafanyiwa upasuaji wa moyo kwa mafanikio kwa kutumia teknolojia mpya iliyoanzishwa na China

    Machozi ya furaha yalitiririka mashavuni bila kujizuia baada ya Husna Shabaan Kingwande alipofahamu kwamba upasuaji wa moyo wa mtoto wake Ikram mwenye umri wa miaka mitatu ulifanyika kwa mafanikio. Upasuaji huo uliofanyika katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) iliyojengwa na Wachina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…