mafanikio

  1. JamiiForums Tanzania Biashara hizi tatu zina mtaji wa Tsh Milioni 1; je, unanishauri nianze na ipi ambayo inaweza kunipa mafanikio?

    1. Biashara ya stationary karibu na chuo ambapo gharama zote za awali ni 1m 02. Library ya kurusha movie kwa kutumia kompyuta, hapa nyimbo series nk 03. Ni saloon ya kiume ambapo itanibodi nifanye kwanza mafunzo ya kunyoa kwa mwezi mmoja. Kwa mtazamo wako niinvest wapi kwa ajili ya business...
  2. JamiiForums Tanzania Ni mafanikio gani ambayo umeyapata kupitia mwanamke?

    Wakuu Kumekuwa msemo huu maarufu wa Wahenga unaosema kwamba kila mwanaume aliyefanikiwa mara nyingi amekuwa na msaada, moyo, au ushawishi wa mwanamke nyuma yake. hata sijawahikujua una maana gani hasa? Inaashiria umuhimu wa wanawake katika maisha ya kila mmoja, hasa katika familia, biashara...
  3. JamiiForums Tanzania Achana na washauri(mentors) kila mtu ana njia ya mafanikio yake

    Mwanzoni nilikuwa najua mentor hutoa guidelines za mafanikio. Lakini ukweli ni kwamba njia alizotumia X kufanikiwa ni tofauti na njia utakazo tumia wewe Y kufanikiwa ukiiga utaishia kuingia chaka. Acha kuexpose mambo yako kwa watu wanaojiita mentor achana nao kwani matatizo yakikukuta...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Je unajua siri hii kuhusu mafanikio

    Siri ya mafanikio yako ni maamuzi tu basi usidanganywe sijui connection. Sijui freemason sijui nini. Hayo yote yanatokea baada ya kuchukua maamuzi tu. Wewe jaribu kuchukua maamuzi kwa kile unachokifikiria katika kichwa chako uone kama hizo connection na mengine hayotokufuata yenyewe. Asanteni...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Usipende kutangaza au kuonesha mafanikio yako waache watu wagundue na kuona wenyewe

    Utashangaa mtu kaoa mke mzuri unamposti, unataka sisi tufanyaje mwisho WA siku tuna mwinda na tuna MLA unakuja kushituka kumbe ulioa Malaya, tatizo ni wewe ulieamua kututangazia kuwa Kuna chombo kizuli pahali fulani. Huyo ni mkeo au mumeo wako picha yake weka chumbani kwenu au sebuleni hapo uwe...
  6. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani uliaminishwa kabla ya kuanzisha biashara, ila ulipoingia uliona mafanikio au mauzauza

    Katika maisha yetu huwa tunakutana na shauri mbali mbali, inaweza kuwa pindi tunajitafuta au nyakati tumejipata. Mimi nliaminishwa nikianzisha biashara ya chips, inalipa sana na watu lazima wale. Aisee nlifunguliaga goli huko kigamboni mitaa ya midizini nkaishia kula chips mwenyewe na zingine...
  7. JamiiForums Tanzania Tabia 10 Muhimu za Mafanikio ambazo utazikuta kwa kila tajiri kokote duniani

    13 jan 2026 Tabia 10 Muhimu za Mafanikio ambazo utazikuta kwa kila tajiri kokote duniani 1.Lala mapema 2.Amka mapema msimulizi 3.Soma kitabu atleast 20dk/siku 4.Fanya mazoezi kila siku 5.Tengeneza ratiba na uifate na usiivunje ratiba yako kirahisi 6.usikate tamaa 7.weka malengo na na...
  8. JamiiForums Tanzania Kuheshimu Muda ndo msingi halisi wa mafanikio yoyote

    Katika ulimwengu wa ushindani wa kibiashara na maendeleo ya mtu mmoja mmoja, mara nyingi dhana ya mtaji imekuwa ikitafsiriwa kama fedha taslimu au rasilimali zinazoonekana pekee. Hata hivyo, ukweli uliojificha ni kwamba muda ndio mtaji wa msingi na wa kipekee kuliko rasilimali nyingine yoyote...
  9. X

    JamiiForums Tanzania Jinsi Marekani ilivyosaidia kuondoa utawala wa marais kadhaa duniani na mafanikio iliyoleta katika nchi hizo

  10. JamiiForums Tanzania Mafanikio makubwa ya IDF kwenye uwanja wa Medani 2023/2024/2025!!

    Maangamizi mkubwa zaidi wa magaidi uliofanywa na IDF katika miaka miwili iliyopita: Walioangamizwa na Wasifu wao kwa mwaka (2024): 1) Salee al-Arouri Naibu kiongozi wa kisiasa wa Hamas, mwanzilishi wa tawi la kijeshi la Hamas 2) Marwan Issa Naibu kamanda wa tawi la kijeshi la Hamas 3)...
  11. JamiiForums Tanzania Heri ya Mwaka Mpya 2026 – Tunawatakia mwaka wenye afya, mafanikio na maendeleo endelevu kwa kila mmoja!

    Heri ya Mwaka Mpya 2026 – Tunawatakia mwaka wenye afya, mafanikio na maendeleo endelevu kwa kila mmoja!
  12. JamiiForums Tanzania Usimueleze mtu mipango yako na mafanikio yako

    Usimueleze mtu mipango yako kabla hujakamilisha kwa ground wachawi wengi japokuwa hawashiki tunguli Watu wetu wa karibu ndo huwa wanatuharibia michongo yetu siku zote, usimuelezee yoyote kuhusu plans zako Usimuelezee mtu kuhusu hatua zako unazopiga kimaisha kuna watu wana vijicho akikuwekea...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Siri ya mafanikio ya Singapore ambayo Tanzania ilitakiwa kuzingatia sasa na siku zijazo

    Vitu ambavyo Singapore ilizingatia ambavyo Tanzania haizingati Kwa sababu ya kuchagua wasio weza kuwa viongozi.
  14. JamiiForums Tanzania Unatamani mafanikio mazuri, tambua hili

    Ukizubaa lazima uwe chakula kwa wengine, https://youtu.be/m0-0ibJLeRI?si=nEUar7EtvjxVQ12X
  15. JamiiForums Tanzania Biashara ya Bando: katika Mitandao ya Yas, Halotel, Vodacom na Airtel

    Je ni namnagani ya kuanza biashara ya kuuza bando??
  16. JamiiForums Tanzania Watanzania hawataki changamoto ila wanataka mafanikio tu

    Kama ukitaka kujua watanzania wanafiki kaishi nao nchi za nje ndio utajua watanzania wapoje. Nasema ili sio kwa kutunga ni ukweli mtupu. Mtanzania hataki changamoto yoyote ya mabadiliko wa kuthubutu kama ugali na dagaa hupo nyumbani kwake. Leo mtaani ukianzisha biashara ya mavi ya kuku...
  17. JamiiForums Tanzania Redcross baada ya mafanikio waja na mpango kazi mpya

    Miye sijui kwa kweli! Watu wataona meno na wamedhamiria. Niko bwejuu najificha walahi sijui. Redcross wasema wameshinda. Wanasema hiyo ilikuwa awamu ya kwanza. Kumerauka! Zamu yao..... Mwendo wa milio. Na bado. Naye nye nyie
  18. T

    JamiiForums Tanzania Elimu kubwa vs Mafanikio ya maisha

    Simaanishi kusoma hakuna maana, bali unaweza kusoma sana kwa kiwango kikubwa cha elimu lakini ukaja kukuta kitu kilichokufanya ukapata mafanikio ya maisha kwa kuwa na utajiri hata havihusiani na elimu uliyosoma. Kuna kijana wa kisomali nilisoma nae mpaka chuo kikuu, na akaendelea mpaka...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wamebanwa hawapati tena percentage za usajili, wanasababisha ugumu kwenye mafanikio ya Simba

    viongozi waliopewa dhamana hawajali timu, wanachojali ni matumbo yao. Kwa muda mrefu viongozi walikuwa wakinufaika na 10 percent za usajili wa wachezaji, huo mlango umefungwa, kinachoendelea kwenye team ni visasi vya maksudi (bora tukose wote). hata kufungwa na Yanga mfululizo kuna viongozi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wataje hapa CEOs walioleta mafanikio makubwa kwenye kampuni walizosimamia na CEOs waliozingua

    Nianze mimi Walioleta mafanikio CRDB - Charles Kimei (Aliondoka), Ndiye aliefanya crdb iwe giant wa sekta ya bank NMB - Ruth Zaipuna, kaikuta NMB ikiwa imejichokea kaifufua kwa kasi ya ajabu NALA - Benjamin Fernandes, kakimbilia Kenya akidai mazingira ya biashara yake kwa Tanzania magumu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…