mafanikio

  1. JamiiForums Tanzania Ardhi Haikupi sio tu Mafanikio, Inaweza Kukupa Utajiri wa Ghafla

    Kuna biashara ambazo zinakupa hela kidogo kidogo kila siku, lakini zipo biashara ambazo zinakaa kimya kwa muda mrefu halafu siku moja zinakushangaza kwa hela nyingi kwa mkupuo. Miongoni mwa biashara hizo ni ardhi, kilimo na madini. Unaweza ukahangaika miaka kadhaa bila kuona matokeo makubwa...
  2. JamiiForums Tanzania Nimethibitisha ukikaa mbali na dhambi, unapata mafanikio maishani.....

    Maneno haya nayasema nikiwa na confidence kwa maana yake nimeyafanyia utafiti kwa miongo kadhaa. Nilichukua sample za watu tofauti nikiwemo mimi mwenyewe( kimsingi nilisha wahi kuishi maisha ya kihuni na matokeo yake nikayaona). Lakini baada ya kuamua kubadilika na kuishi kiungwana pia matokeo...
  3. JamiiForums Tanzania Tajiri wa Kesho: Mchakato wa Mafanikio

    TAJIRI WA KESHO YUKO KWENYE MCHAKATO LEO! Usifikirie uko nyuma fikiri uko njiani. Kila hatua unayoichukua leo ni tofauti kati ya wewe wa sasa na tajiri utakayekuwa kesho. Mchakato Unauma Lakini Unabadilisha Mohammed Dewji leo anaitwa bilionea mdogo zaidi Afrika. Lakini kabla ya hapo...
  4. JamiiForums Tanzania Tabia Zako: Ufunguo wa Mafanikio au Kushindwa

    Kitu kinachokufelisha wewe kuyafikia malengo yako na mafanikio yako ni TABIA ZAKO! The Mind Game Control Wengi wetu tunapenda kulaumu uchumi, serikali, ndugu zetu, au hata bahati mbaya pale mambo yanapoenda kombo. Lakini ukweli mchungu ambao huenda hutaki kuusikia ni huu: Wewe ni matokeo ya...
  5. JamiiForums Tanzania Huenda kuchelewa kwako kuoa au kuolewa ndiko kunachelewesha kuyafikia mafanikio ya ndoto za maisha yako

    Humo ndiko Mungu amehifadhi mafanikio, furaha na amani ya maisha yako, ni suala la wewe tu kuamua kuingia kwenye ndoa na hatimae kuanza kufurahia Neema na Baraka za Mungu alizokuandalia uzifurahie katika maisha yako hapa duniani. Kwani hujawahi kuona mtu baada tu ya kuingia kwenye ndoa mafuriko...
  6. JamiiForums Tanzania Gen Z ni kizazi ambacho kitakuja kuwa na mafanikio kuliko sisi millennia

    Unajua kizazi cha leo kukuta dogo under 30 anamiliki kampuni au yuko financial freedom ni simple sana, wakati sisi millennia tulipata stable economy 40+ Millennia waliamini kusoma ni ufunguo wa maisha, matokeo yake wameshika viti ofisini hawataki kwenda kusoma kuongeza elimu, akipata likizo...
  7. JamiiForums Tanzania Kijana Mafanikio ya afya hayahitaji mtaji, jitahidi kufanikiwa kwenye afya

    Kukimbia ni Bure Kupiga pushup ni Bure Mazoezi ya kukimbia ni Bure. Kijana jitahidi usiwe na kitambi kwasababu kuwa na afya bora sio biashara...ni wajibu wako. Six pack muhimu Kifua kikubwa Muhimu Muonekano wa mazoezi muhimu. Haya Tukomae
  8. JamiiForums Tanzania Usijifunze mafanikio kutoka kwa wanawake, utaumia!

    Nimeona Instagram influencer mmoja anaitwa niffer, anauza cosmetics ameshare historia ya maisha yake, kwamba alikua anauza chakula 2019 hapo mijini daresalam kariakoo, 2023 akaanza kuuza vipodozi, ana mall kama 4 ivi, anasafiri kila sehemu duniani, naona watu wakimpongeza kweli kweli. Broo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuiga Mafanikio ya mtu alietoboa vilivyo kwenye biashara hapa Bongo utasubiri sana hadi uote sugu, Game lipo zigzaga tofauti na unachokiona

    Ukitaka kuiga Mafanikio ya mtu haa bongo hasa kwenye biashara utakesha Makanisani, Misikitini, mpaka uote sugu Utamaliza rapa kwa kubuni Biashara na kuwekeza ukiamini utakuwa kama fulani. kumbe Siri Yao ya Mafanikio ni Short Cut Halali inawezekana ila huchukua muda mrefu sana na ubaya ni...
  10. JamiiForums Tanzania Ila wanaume bana tunapitiaga ukakasi mkubwa hadi mafanikio alafu tunakuja kuliwa pesa kizembe na hawa wadada

    Mtu umetoka hapa⤴️ Ili uje kuteseka na kuaibika hapa⬇️ Kunaa interview nimeona jamaa mmoja anakuja kujitetea kuwa ile gari aliompa slay queen sio kwamba amemnunulia iwe yake bali amempa tu atembelee ila demu kawa mkali hadi ka-share video asaidiiwe na serikali ili arudishe gari yake.
  11. JamiiForums Tanzania Mwanamke Anayerudi Baada ya Mafanikio

    Mwanamke kukuacha wakati wa struggles inaweza kueleweka. Lakini kumrudisha baada ya wewe kusimama tena — hiyo inaweza kuwa kujisaliti mwenyewe. Wapo wanawake ambao hawawezi kuvumilia kipindi kigumu cha mwanaume. Kipindi cha kujijenga. Kipindi cha uncertainty. Kipindi ambacho maisha bado...
  12. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa nidhamu ndio adui mkubwa wa mafanikio

    Watu wengi wana ndoto kubwa. Wanataka utajiri. Wanataka maisha mazuri. Wanataka kuheshimiwa. Wanataka kubadilisha familia zao. Lakini tatizo sio kwamba hawana uwezo. Tatizo ni moja: HAWAJUI KUJITAWALA. Na huo ndio ukweli mchungu ambao watu wengi hukwepa. Kwa sababu mafanikio hayaharibiwi...
  13. JamiiForums Tanzania Nawashwa sana kwenye makalio, nimetumia SKDERM Cream bila mafanikio

    Zaidi usiku ndio nawashwa sana wakuu. Halafu hakuna vipele wala redness. Nisaidieni dawa maana makebo yanaungua wakuu
  14. JamiiForums Tanzania Ukiambiwa 'Hivi vina pesa utakuwa tajiri', jihadhari unaweza kuishi maisha yote ukisubiri mafanikio yasiyokuja

    Hizi ni sehemu wengi wanapoteza muda na pesa wakidhani ni fursa.... lakini ukweli wake huu hapa: 1. Forex Watu wanaona screenshots za profit na motivation, wanaingia kwa pupa. Kwa Tanzania, wanaopata pesa consistent kwenye forex wengi wao sio traders — ni wauzaji wa kozi, signals, au...
  15. JamiiForums Tanzania Nimeblock michepuko yote ila bado sioni mafanikio

    Wakuu nilidhani kutofikia malengo ninayojiwekea ni kwasababu ya kuhonga michepuko hivyo pesa hazikai cha ajabu toka mwaka jana nikablock michepuko yote na kufanikiwa kupunguza gharama za kuihudumia lakini hadi sasa bado bila bila Ushauri wenu tafadhari
  16. JamiiForums Tanzania Walinzi wa Malango ya Mafanikio (Gatekeepers): Kwa nini Cheti cha Shule kisikufanye ujione mnyonge

    Katika safari ya maisha, kuna vitu tunaita "Gatekeepers" au walinzi wa malango. Hawa ni pamoja na Cheti cha Kuzaliwa, NIDA, na Vyeti vya Elimu. Wengi wetu tukikosa hicho cha mwisho (Cheti cha Elimu), tunaanza kukata tamaa na kujiona hatuna thamani ("Self-esteem" inashuka). Lakini ukweli ni upi...
  17. JamiiForums Tanzania Pesa haileti mafanikio ila pesa inamfata aliyefanikiwa

    Habari Karibu tufungue ubongo . Kwanza nikueleze pesa haiendi kwa mtu asiye na potential cha kwanza uwe mtatua matatizo fulani basi pesa ndio itakufata
  18. JamiiForums Tanzania Kijana unaona umepata mafanikio kidogo channel zimeanza kufunguka unakimbilia kuoa unajichimbia kaburi mwenyewe

    Kijana unaona umepata mafanikio kidogo channel zimeanza kufunguka unakimbilia kuoa unajichimbia kaburi mwenyewe Stop this madness. Hilo kosa utalijutia maisha yako yote.
  19. JamiiForums Tanzania TRC: Abiria waliopanda SGR kati ya Juni 2024 – Machi 2026 ni 5,512,995

    Abiria waliopanda SGR (Juni 2024 -Machi 2026) ni 5,512,995.
  20. JamiiForums Tanzania Mafanikio yako ni mabadiliko kwa wengine

    Mafanikio yako ni mabadiliko kwa wengine Kitendo cha kupigania ndoto au malengo yako ni kitendo cha kuthamini kuumbwa kwako kutoka kwa Mungu, kitendo cha ku thamini wazazi wako na jamii kwa ujumla. Unapofanikiwa kwenye maisha yako hayakunufaishi wewe pekee bali familia yako, wazazi wako na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…