maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Je, Uhuru, Haki na Maendeleo vipo CHADEMA?

    Wakuu, kuelekea Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28.10.2020, hebu tutafakari pamoja hii kauli mbiu ya CHADEMA: Uhuru, Haki na Maendeleo. Uzi huu hautalenga kuichambua kaulimbiu hiyo bali utalenga kwenye kuangalia kama kweli kauli mbiu hiyo imekuwa ikitekelezwa kwa vitendo kwenye chama hicho kikuu cha...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Msalala: Nitasimamia maendeleo ya kiuchumi nchini

    PROF. LIPUMBA AKISALIMIA WANANCHI WA MSALALA KATIKA STENDI YA KAKOLA AKIELEKEA KAHAMA NITASIMAMIA MAENDELEO YA KIUCHUMI NCHINI "PROF.LIPUMBA" Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itajenga uchumi wa kisasa wenye ushindani wa kitaifa na kimataifa na utakaohimili misukosuko ya utandawazi...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Slogan ya CHADEMA katika uchaguzi ni "Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu". CCM slogan yao mwaka huu ni ipi?

    Mwaka 2015 slogan ya CCM ktk uchaguzi huo kama nakumbuka vizuri ilikuwa HAPA KAZI TU... Hii ndiyo imekuwa mwongozo tangu wakati huo tangu walipotangazwa washindi na mpaka sasa ktk shughuli za kiserikali... Baada ya miaka mitano, mwaka huu ni uchaguzi mwingine. Mpaka sasa binafsi kwa kweli...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Chagua Ramadhan Ighondo kwa maendeleo ya Singida kaskazini

    Mpeni kura Ramadhani Ighondo watu wa Singida kaskazini mpate maendeleo. Acheni mazoea kwa Nyalandu atawapa nini? Ameshindwa kuwaletea maendeleo akiwa CCM mtayapata akiwa CHADEMA?
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Hai: Freeman Mbowe azindua kampeni kwa kishindo, apokelewa na Mabango, shangwe za Mwamba tuvushe zarindima

    Mwenyekiti wa Chadema ambaye pia ni mgombea ubunge wa Jimbo Hai Freeman Mbowe , amezindua rasmi kampeni za ubunge na kupokelewa na umati wa wananchi wenye mabango. Mbowe ambaye kampeni nzima hufanya mikutano mitatu tu ya kuomba kura kutokana na kuaminiwa na wananchi , ambao mara zote humtaka...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Kigoma Kaskazini: Nitasimamia kwa makini katika Sekta ya Kilimo na Maendeleo ya Viwanda

    NITASIMAMIA KWA MAKINI KATIKA SEKTA YA KILIMO NA MAENDELEO YA VIWANDA" PROF.LIPUMBA" KIGOMA KASKAZINI. Dira ya Mabadiliko ya CUF inakipa kilimo nafasi ya pekee katika mikakati ya kukuza uchumi na hivyo kuwaondolea umasikini wananchi wengi na hasa wa vijijini, na kuhakikisha Taifa linakuwa na...
  7. JamiiForums Tanzania Kukua kwa Teknolojia ya Mawasiliano kunavyochangia maendeleo ya kijamii na kiuchumi Tanzania

    Na Bindu Hassan, UDBS Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Dkt. Zainab Chaula wiki hii ameeleza namna sekta ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) inavyoweza kuchangia zaidi katika ukuaji wa sekta za kijamii na kiuchumi nchini Tanzania. Dkt. Chaula ameeleza kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Felix Mkosamali Mgombea Ubunge wa CHADEMA atangaza biashara ya uwakili kinyume cha Maadili ya Uwakili

    Sera ya CHADEMA ni maendeleo ya watu sio vitu Wakili Felix Mkosamali Mgombea Ubunge CHADEMA Muhambwe ampinga Lissu na CHADEMA anadi sera ya maendeleo ya vitu kuwa hizo ndizo sera kinyume na Lissu anayepinga maendeleo ya vitu Wakili Mkosamali pia ametangaza biashara yake ya Uwakili kwenye...
  9. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sera ya kutopeleka maendeleo Majimbo ya Upinzani inahalalisha Sera ya Majimbo!

    Sera mojawapo ya CHADEMA ni majimbo. Maana yake halisi ni kuwa watu wenyewe kwenye maeneo yao, yawe mikoa au wilaya, ndio wawe wanachagua au kuwateua viongozi wao, kama wakuu wa mikoa, wilaya na halmashauri. Pia maeneo hayo, pamoja na Bunge, viongezewe madaraka ya kuamua badala ya Rais pekee...
  10. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Watanzania tusiyumbishwe, chagua CCM, chagua Magufuli chagua maendeleo na maisha yako. Usindanganyike!

    Kwa hali ilivyo kwa sasa na maendeleo yaliyofikiwa tukae chini na kufikiri kwa makini tuchague CCM kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu. Tusifanye ushabiki na wala tusifanye hamaki na kuchagua kwa mihemko tutajuta sana. Ninaamini Watanzania wamekuwa makini muda wote linapofikia suala la...
  11. JamiiForums Tanzania Uhuru, Haki na Maendeleo

    Mama Tanzania nakupenda kwa moyo wote. Serikali yetu imefanya kazi kubwa sana kujenga umoja na kudumisha amani na ustawi tulio nao chini ya misingi ya uhuru na haki na hii inatusaidia sana katika jitihada za kukuza uchumi wa taifa letu. Tusisahau kwamba hakuna maendeleleo bila amani na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu afafanua sera ya CHADEMA ya uhuru, haki na maendeleo ya watu

    *Does it make any sense?* Kuhusu Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu. Na TUNDU Lissu 16.09.2020 Mbeya. Andiko hili limetolewa kama ufafanuzi malalamiko ya CCM juu ya hoja za Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu. Pia linafafanua juu ya maendeleo ya upendeleo katika utawala wa Rais Magufuli (nyumbani...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Siri imefichuka: Kiunganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma siyo Zitto Kabwe ni Dkt. Phillip Mpango

    Tangu jana mbunge wa Kigoma mjini aliyemaliza muda wake Zitto Kabwe amekuwa akitamba mitandaoni kwamba yeye ndio kiuanganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma kwa nafasi yake kama mbunge tangu enzi za Rais Kikwete. Ukweli uliothibitika kutoka kwa mkuu wa nchi Rais Magufuli ni kwamba Dkt. Mpango...
  14. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tuseme ukweli maendeleo yaliyoletwa na CCM siyo ya kubeza. Tukumbushane kisha tuwapigie kura ya ndiyo CCM

    Kipindi hiki cha uchaguzi mengi yanasemwa na baadhi ya watu kuhusu maendeleo madogo yaliyofikiwa, mimi niwa muwazi tu kwamba ukilinganisha na yapata miaka 30 iliyopita tangu tuingie vyama vingi nchi imebadilika hususani kwenye maeneo yafuatayo: 1. Uwepo wa Mtandao wa barabara DSM - Mwanza-...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi wageuka ombaomba wa maendeleo utadhani yanatolewa bure

    Kodi wananzotoa wananchi ndizo zinazojenga nchi, lakini kuna mikoa imeachwa nyuma kutokana na mfumo mbovu uliopo. Kodi inakusanywa inapelekwa hazina sasa anayegawa ni mmoja hivyo kunaweza kukatokea upendeleo 1. Hali zao za maisha kudhoofu 2. Kodi nyingi na nguvu ya kuuza na kununua imedhoofika...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Tulia atema cheche Mbeya Mjini, awajibu Lissu na Sugu kuhusu maendeleo ya vitu watu wafurika mkutano wake

    Mama Dk Tulia kachachamaa majukwaani Mbeya Mjini, awajibu Lissu na Sugu kuhusu maendeleo ya vitu.
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Chama kinachotaka kuhudumia Watanzania, kinabagua na kuweka nongwa maendeleo yakipelekwa sehemu fulani ya nchi

    Kampeni za vyama mbalimbali vya siasa zimeendelea kutimua vumbi maeneo mbalimbali ya nchi yetu. Leo naomba nitoe dukuduku langu kwa uchache sana. Kwa mshtuko sana nimesikitika kuona baadhi ya vyama vya upinzani kuanza ubaguzi wa waziwazi kwa kuumia na kuweka nongwa Serikali kupeleka maendeleo na...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Miaka mitano iliyopita CCM imetumia mtindo wa pesa za mapaka kufanya maendeleo

    Pesa za Mapaka ni aina flani hivi ya mapato(maendeleo) ambayo hupatikana kishirikina kwa kuumiza binadamu wengine hasa ndugu wa karibu. Kwamba mtu unaenda kalumanzila ili akutengenezee dawa ya kupata pesa; Kalumanzila anakujibu pesa ipo nje nje usjali lakini ili uipate lazima utolee sadaka na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mifano ya uongozi na maendeleo anayoitoa Lissu kutoka Ulaya ni kujitoa fahamu au ni ushamba

    Tokea kampeni zimeanza nimekuwa nikisikiliza sera za mwanasheria na mtetezi wa haki za binadamu tundulisu lakini mara nyingi akitoa hoja zake lazima aseme "NDIVYO ULAYA WANAFANYA" amekuwa akiyasema akitolea mfano wa bima ya afya na utawala wa majimbo, NK: Nimewaza sana ni ushamba, ujinga au...
  20. JamiiForums Tanzania Je, kutumia pesa za wanyonge nje ya bajeti inayopitishwa na Bunge ndio maendeleo?

    Wasalaam. Tanzania chini ya serikali hii ya awamu ya tano ya wanyonge tumeshuhudia matumizi makubwa ya pesa bila ridhaa ya bunge la JMT. katika awamu hii tumeshudia mkaguzi na mdhibiti wa fedha za serikali CAG akitishwa na luzuiwa kukagua miradi mikubwa ya kifisadi kama ununuzi wa ndege, ujenzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…