maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Alikiba anakutaka usiwe na wivu

    Wivu ni hisia zinazotokana na mapenzi na zinazalishwa haswa na uoga wa kwamba mtu anayempenda anapenda zaidi kwingine. . "We ndo my pain killer kushinda hata panadol umejaa mapenzi mashetani wanakaa kando, Oooh Shushu you for me, from Zero to Hero, bado tuko pamoja why you getting jealous?"-...
  2. H

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tanzania ya Maendeleo

    Tanzania ni nchi huru ambayo inaongozwa kwa utawala wa Sheria kwa kuzingatia demokrasia ,ambapo viongozi hupatikana kwa kuchaguliwa na wananchi kila baada ya miaka mitano,akiwemo raisi,wabunge,na madiwani. Nchi ya Tanzania inapita katika Sera mbalimbali katika kila awamu ya uongozi ,lengo tu...
  3. JamiiForums Tanzania SoC01 Wajibu wa Serikali katika kuleta Maendeleo ya Jamii

    Maendeleo ya jamii hutokana na jamii kwa kushirikiana na serikali kuhakikisha huduma za jamii zinapatikana kwa urahisi kutokana na demokrasia imara pamoja na utawala bora ambao utaongozwa na katiba ya nchi katika kuweka vipaumbele vinavyoleta maendeleo bila kuathiri maisha ya mwananchi, kutambua...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Afrika yatakiwa kulinda kwanza haki ya maendeleo huku ikishiriki kwenye jitihada za dunia za kupambana na mabadiliko ya tabianchi

    Ili kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, “kupunguza utoaji wa hewa ya kaboni” imekuwa maoni ya pamoja kivitendo ya nchi mbalimbali duniani, lakini nchi zilizoendelea ambazo zimekamilisha mchakato wa maendeleo ya viwanda zinachukua msimamo mkali juu ya suala hili. Mapema mwaka huu, nchi saba...
  5. T

    JamiiForums Tanzania SoC01 Maendeleo binafsi, ni Maendeleo ya Jamii nzima

    “Maendeleo binafsi, ni Maendeleo ya Jamii nzima”. Habari zenu, ndugu wana Jamii Forums, haswa jukwaa hili la "stories of change". Ni tumaini langu sote tu wazima wa afya. Andiko hili litaangazia juu ya ukombozi wa fikra. Kama ifuatavyo; Mtaji wa kwanza wa Maendeleo binafsi ni Ukombozi wa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Maendeleo ya nchi huitaji uwepo wa watu wenye uwezo wa kuleta mabadiliko katika jamii

    ELIMU NA MAENDELEO Maendeleo ya nchi huitaji uwepo wa watu wenye uwezo wa kuleta mabadiliko katika jamii. Rasilimali watu inahusisha uwepo wa watu wenye ELIMU bora, afya bora na mitazamo chanya katika jamii husika. Serikali ya nchi inajukumu Sana katika kuwajenga watu wake katika nchi katika...
  7. A

    JamiiForums Tanzania SoC01 Umoja ni maendeleo tujifunze kupitia hapa

    Habari ndugu msomaji wa andiko langu la leo ijumaa 17 september 2021 litaangazia maendeleo yetu katika jamii na taifa kwa ujumla naomba ungana na Mimi tushere wote hizi pointi MAENDELEO NI NINI maendeleo ni hali ya mabadiliko chanya kutoka sehemu moja kwenda sehemu bora zaidi mwalimu Nyerere...
  8. JamiiForums Tanzania Dkt. Yamungu Kayandabila ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Taifa la Maendeleo (NDG)

    ‪Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Dkt. Yamungu Kayandabila kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC)‬ ‪ ‪Dkt. Naomi Katunzi ameteuliwa kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) kwa miaka mingine...
  9. JamiiForums Tanzania SoC01 Usitafute ajira bali tengeneza ajira

    Daima wazo la mtu ndiyo kitu pekee anachoweza kutumia kubadilisha mfumo mzima wa maisha yake, ninaandika andiko hili nikiwaangalia vijana kama Maxence Melo aliyeanzisha JamiiForums na Milladi Ayo mwanzilishi wa Ayo Tv, hawa ni baadhi ya watu walioamua kutengeneza ajira za wengine badala ya wao...
  10. JamiiForums Tanzania Maendeleo ya teknolojia kwa kizazi kipya ulimwenguni kote

    Teknologia ni moja ya mandeleo makubwa yalioweza kuinua mataifa mengi kiuchumi kwa kuanzisha miradi mbali mbali inayoweza kuimarisha hali ya nchi kwa mfano teknologia imetumika kuvumbua kama ndege na meli ambazo zimesaidia sana kuinua uchumi wa nchi moja hadi nyengine, watu husafirisha bidhaa...
  11. JamiiForums Tanzania SoC01 Tanzania mpya lazima iwatunze vijana wake na kuushughulikia ukuaji wa kizazi cha vijana

    DUNIA NI YA NANI? Dunia ni yenu (vijana), pia ni yetu (wazee), lakini katika uchambuzi wa mwisho, ni yenu. Nyinyi vijana, mkiwa mmejaa hamasa na nguvu, maisha yenu ndio kwanza yanachanua, ni kama jua la saa mbili au tatu ya ahsubuhi. Matumainio yetu (Wazee) yapo juu yenu. Dunia ni yenu...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Upo uzembe mkubwa kwa Serikali kusimamia fursa katika miradi ya maendeleo tuliyokopa

    Nimeenda mradi wa maji mmoja tunaoutekeleza hapa nchini kwetu kwa kutumia mkopo wa mabilioni kutoka "EUROPEAN INVESTMENT BANK" pamoja na AFD. Mabilioni haya tuliyakopa tunatekeleza mradi huo kwa kutumia kampuni ya kichina. Kampuni imeajiri wahandisi watanzania wanne na anayelipwa fedha nyingi...
  13. JamiiForums Tanzania SoC01 Uandaaji wa mazingira tamanishi na uboreshaji wa Sekta ya Elimu kwa tija ya maendeleo ya taifa katika sekta zote

    Habari wanaJF na wasomaji wote wa andiko hili. Hongereni na pilikapilika za ujenzi wa taifa. Utangulizi. Kumekuwa na misemo mingi sana ambayo imekuwa ikielezea maana na umuhimu wa elimu kwa mtu mmoja mmoja, familia, jamii na taifa kwa ujumla. Misemo kama: elimu ni ufunguo wa maisha, elimu ni...
  14. JamiiForums Tanzania SoC01 Afya ya akili mtaji kwa vijana

    Afya ya akili ndio msingi wa maendeleo kwa kijana yeyote mwenye chachu yakuweza kufanikiwa au kufikia malengo fulani ambayo amejiwekea. Katika kipindi cha ujana vipo vingi ambavyo kama vijana tumekua tukivifanya wenda tukifahamu madhara ya tukifanyacho au pengine hatukuwa na ufahamu juu ya...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” lasaidia Afrika kuboresha miundombinu ili kupata maendeleo

    Huu ni mwaka wa nane tangu China itoe pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja”. Katika kipindi hicho, ujenzi wa miradi ya ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika kutokana na pendekezo hilo umepamba moto, na kusaidia nchi za Afrika kuboresha miundombinu ili kupata maendeleo ya uchumi. Hali...
  16. JamiiForums Tanzania SoC01 Kwa Rasilimali Zilizopo Tanzania, Tunastahili kuwa na Maendeleo haya tuliyo nayo?

    1: UTANGULIZI. Tanzania katika miaka ya hivi karibuni imepata maendeleo mazuri katika nyanja za kisiasa kiuchumi na katika ustawi wa jamii. Ingawa bado nchi inakumbana na changamoto kubwa za kimaendeleo, kama vile rushwa ongezeko kubwa la watu magonjwa na kukosa usawa wa mgawanyo wa mapato...
  17. JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Chalinze tumepata maendeleo makubwa ndani ya muda mfupi wa uongozi wa Rais Samia

    Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete aishukuru Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais wa JMT Mhe. Samia Suluhu Hassan. Kazi Nzuri inayofanywa na Serikali yetu ya Awamu ya Sita Chini ya Uongozi wa Mhe. Samia Suluhu Hassan ndani ya Kipindi hiki cha Miezi Sita katika...
  18. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kagera: Jitihada za kuleta Maendeleo na kuondoa Umasikini uliokithiri

    MAENDELEO NA KAGERA Dhana ya maendeleo watu wengi huitafakari tofauti kabisa. Wataalamu wengi husema maendeleo ni ile hali ya kutoka kwenye hali duni kwenda kwenye hali bora( hali yenye unafuu kuliko ya awali) Watu wengine hudhani maendeleo ni mfano kupatikana kwa umeme, barabara safi tena za...
  19. JamiiForums Tanzania Tiba asili ina mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa

    Kaimu Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) upande wa taaluma Prof. Samweli Kabote akifunga maadhimisho na maonesho ya wiki ya tiba asili ya mwafrika Kanda ya Mashariki yaliyofanyika kwenye viwanja vya Soko Kuu la Chifu Kingalu Manispaa ya Morogoro. Mkurugenzi wa...
  20. JamiiForums Tanzania SoC01 Lishe Bora ndio Msingi wa Maendeleo ya Jamii na Taifa kwa ujumla

    Kiuhalisia kabisa jamii nyingi za kitanzania kuanzia wananchi wa kawaida mpaka viongozi wa maeneo husika wakiserikali na hata wale wasio wa kiserikali imekuwa ni kawaida sana kutumia muda mwingi na nguvu kubwa sana kupambana na changamoto zilizozoeleka ambazo ndio zinaonekana kwamba ndio viini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…