Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.
Silaha ya mwanadamu ni fikra na katika historia ya maendeleo ni fikra mpya ndio zilizofikisha wanadamu tulipo leo katika kuelezea maendeleo yetu.
Majuzi tumepeleka ‘James Webb’ telescope zaidi ya mile million 100 na sayari yetu ilipo na scientific reasoning ya hali ya juu ilitumika ili kuweza...
Hali ya usalama barani Afrika mwaka 2021
Viongozi wa Afrika wamejitolea kwa muda mrefu kuondoa mizozo ya silaha, kukuza amani ya kudumu na maendeleo barani Afrika, ili kufikia malengo yaliowekwa na Umoja wa Afrika.
Hata hivyo, malengo ya kuondoa kabisa mapigano na migogoro hayajafanikiwa kama...
Timu za Tanzania hasa Yanga, Simba na Azam zimejiimarisha sana kusajili wachezaji nyota kutoka nje ya nchi. Ingawa kwa kufanya hivyo kumeichangamsha sana ligi ya NBC mwaka huu, kinachosikitisha sana ni kwamba hali hiyo pia inadidimiza sana vipaji vya ndani, hivyo kuifanya Taifa Starts ibaki...
Zoom Saturday
Watch Tanzania inakualika kushiriki Mkutano wa Zoom utakaofanyika Disemba 18, 2021 (Jumamosi) kuanzia saa 10 kamili hadi 12:30 jioni.
Mada: Mjadala wa Kitaifa juu ya ukuaji wa Sekta ya Madini na mchango wake katika maendeleo ya Wananchi
Muda ukifika utaweza kujiunga na kushiriki...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka Wakuu wa Wilaya, Wabunge na Serikali za Mitaa kutoa ushirikiano mzuri kwa Wananchi badala ya kufanya ubabe Migodini.
Amesema, "Wabunge ambao maeneo yenu miradi hii ipo, iwasaidie kujenga Maendeleo na nchi sio iwajenge ninyi binafsi. Kuna ile...
Tanzania hatuna uwezo wa kutengeneza karatasi sembuse uzi wa kishona nguo.
Kwa miaka 60 fikra zetu zimeshikiliwa na siasa. Sio wananchi pekee bali kuanzia viongozi wa ngazi ya juuu kabisa hadi chini.
Fikra chanya na huru ndio maendeleo yenyewe au la tuamue kutumia mfupi wa kijima kama China...
Ukweli unapaswa kuwekwa ndani ya historia yoyote inayoandikwa ili kizazi na kizazi kiweze kupata ukweli wa masuala yanaojili na kuendelea.
Hayati Magufuli katika utumishi wake wa umma zaidi ya miaka 25 alipigania maendeleo ya barabara hapa nchini.
Kila mtanzania ni shahidi juu hili na hivyo ni...
Maendeleo huletwa na wananchi wenyewe kwa kulipa kodi, ni jukumula Serikali kuhakikisha inatengeneza sera na namna bora ya kuhakikisha kila Mwananchi analipa kodi,
Serikali ya awamu ya Sita iliona ni bora kuziingiza kodi kwenye miamala ya simu ili kila unapofanya muamala ikatwe kodi moja kwa...
Uzinduzi wa matumizi ya anwani za makazi Jijini Mwanza viwanja vya shule ya msingi Buhongwa B ambapo mgeni rasmi ni Spika Mstaafu na Kamisaa wa Sensa ya watu na makazi Mhe. Anne Semamba Makinda.
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ni miongoni mwa Nchi 10 za Afrika ambazo Uchumi unakua kwa kasi. Pia, imekuwa na utulivu wa Mfumuko wa Bei na Thamani ya Fedha.
Ameeleza, "Tumeona viashiria vya Maendeleo kwenye Maendeleo ya mtu. Tumeweza kupunguza kiwango cha umasikini...
Mamlaka ya Serikali za Mitaa zinajukumu la kusimamia idadi kubwa ya miradi ya maendeleo inayotekelezwa nchini. Miradi hii yenye lengo la kutoa huduma za kijamii, hutekelezwa kwa fedha za ruzuku inayotumwa kutoka Serikali Kuu na kiasi fulani huchangiwa na mapato ya ndani ya Halmashauri husika...
Na Fadhili Mpunji
Wakati dunia inatafakari mambo yaliyojadiliwa na makubaliano yaliyofikiwa kwenye mkutano kuhusu kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi COP26 uliofanyika huko Glasgow Scotland, suala la uwajibikaji kwenye kukabiliana na tatizo hilo limekuwa gumzo tena, na China kwa...
Mimi ni mtu naependa consistency, mtu akishakua unpredictable siwezi kumuelewa.
Leo Zitto anashinda mitandaoni anamsema Marehemu Magufuli kwamba aliharibu uchumi, hakuna kitu alichofanya na kumbebesha lawama zote za udhaifu ama inefficiency ya serikali ya awamu ya sita kwamba ilisababishwa na...
Awamu ya tano kona kona zilikua nyingi na huu sio wakati wa kumlaumu yoyote, kila mtu anajua propaganda na uongo na maamuzi ya mtu mmoja yalitawala. Wanufaika wakatumia kila njia kuziba mifumo wananchi na kuwatisha kwa kila namna. Kama tukifatilia mienendo ya awamu ya tano ni Rais Samia na...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Maendeleo ya Nchi huletwa na Wananchi wake. Amesema hayo akiwa kwenye Mkutano wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Zanzibar.
Amesema Sheria za Tanzania Bara na Zanzibar zimetoa Uhuru (usiovunja Sheria) kwa watu kufanya kazi. Ameongeza kuwa ataendelea...
Wakati wa mwwshimiwa kikwete tuliaminishwa kwamba
1. Soon mgao wa umeme utakua historia. Akatoka madarakanai kaacha mgao unaendelea.
2. Tukaimbishwa nyimbo za uchumi wa gesi. Kiukweli wanasiasa Mungu anawaona. Ule wimbo ulikoishia anayeweza kuelezea serikali ya CCM.
3. Akaja Mweshimiwa JPM na...
Miaka sitini ya Uhuru inaendana na malipo ya wabunge kila mwezi ukilinganisha na uhalisia wa majimbo?
Kwanini kila kikao cha bunge ni hoja za maji maji.Hatuna mbinu mbadala maji kiwe kipaumbele?
IGUNGA: KAZI NA MAENDELEO
Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe Nicholaus George Ngassa, ameungana na Wananchi na Mafundi kushiriki ujenzi wa vyumba vya madarasa vya Shule za Sekondari.
Serikali imelipatia Jimbo la Igunga Shilingi Milioni Mia Nane na Themanini (Tshs 880,000,000) kwa ajili ya ujenzi wa...
Itamsaidia nini mwananchi kuwa na Uhuru wa kumchora Rais na Kumtukana atakavyo na huku hakuna Huduma za muhimu kama Elimu, Hospitali, Miundo Mbinu, Umeme na Maji?
Yaani kuwa mwanasiasa wa Chama cha Upinzani atakuwa huru kufanya na kusema atakayo then mwananchi anakosa huduma muhimu ndo iwe...
Kila mtu ni sehemu muhimu ya maisha yake katika nchi huru kama Tanzania. Kupiga hatua katika maisha ni kiu ya kila mmoja mwenye afya njema na akili timamu hivyo sio Jambo baya kwa mtu kuwa mfano mzuri wa kufanikiwa kupitia kipaji chake alichojaliwa na mwenyezi Mungu. Tanzania ni nchi iliyojaliwa...