maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wananchi wameridhika na tozo kwa kuwa fedha zinazopatikana zinaelekezwa kwenye miradi ya maendeleo

  2. D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uboreshaji wa huduma za afya unavyoweza kuchochea maendeleo ya taifa

    UTANGULIZI Huduma za afya ni jumla ya huduma za umma zinazotolewa ili kuboresha afya ya wananchi. Mfano wa huduma za afya ni pamoja na uboreshaji wa mazingira ya kufanyia kazi kwa watumishi katika vituo vya afya na hospitali,ujenzi wa miundombinu ya kutolea huduma za afya, malipo bora kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Si rahisi watu kufanana namna ya kufikiri na kutoa maoni! 'Critics' lazima ziwepo ili kufikia maendeleo endelevu!

    Kwamba kwenye nchi hii haitakiwi kuwa na maoni tofauti? Kwamba kila mwenye maoni tofauti ni mpinzani wa maendeleo? Basi watafukuzwa wengi!
  4. G

    JamiiForums Tanzania Sensa kwa maendeleo? Hapana

    Tumekuwa tukiaminishwa kuwa lengo la sensa ni kuisaidia serikali kupata takwimu zitakazosaidia kugawa keki ya taifa kulingana na idadi ya watu katika sehemu husika. Hiyo inabaki kuwa nadharia tu ila kiuhalisia sio hivyo. Tumeshuhudia wilaya kama Chato na sehemu nyingine wanakotoka viongozi...
  5. JamiiForums Tanzania Neno hili 'Maendeleo'

    Ni gumu sana kulielezea au kulifahamu. Kila mtu ana tafsiri yake juu ya maendeleo. Japan imeendelea. Japan ina uwezo mkubwa wa kutengeneza magari na wananchi wake wana kiwango cha juu cha hali ya maisha. Pia wana barabara za juu kwa juu. Lakini Japan haina bomu la nuklia. Marekani imeendelea...
  6. JamiiForums Tanzania Sensa kwa maendeleo, jiandae kuhesabiwa...

  7. JamiiForums Tanzania SHAKA: Igunga ni shamba darasa kwa miradi ya maendeleo

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka H. Shaka (MNEC) ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Igunga kwa usimamizi mzuri wa Fedha za Miradi ya Maendeleo na kuiita ni "Shamba Darasa la Miradi ya Maendeleo". Ndg. Shaka (MNEC) ameyasema hayo akiwa kwenye Kituo cha Afya...
  8. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu changamoto ya maendeleo

    Elimu ni nguzo muhimu inayohitajika katika kujenga maendeleo ya taifa lolote duiani. Halikadhalika kwa nchi yetu ya Tanzania, elimu ni msingi mkubwa unaohitajiwa. Lakini kwa masikitiko makubwa, bado elimu inayotolea nchini mwetu haijaweza kuwa yenye tija toshelezi katika kuleta maendeleo...
  9. JamiiForums Tanzania Dodoso za sensa, shiriki kikamilifu kwa maendeleo ya nchi yetu

    Ndugu zangu naomba niwataarifu kuwa Sensa ya Watu na Makazi 2022 itahusisha madodoso manne: 1: Dodoso la Jamii 2: Dodoso la Sensa ya Watu na Makazi 3: Dodoso la Makundi Maalum 4: Dodoso la Majengo 1. Dodoso la Jamii litaanza kwa kumuhoji mwenyekiti au mjumbe wa kitongoji au mtaa juu ya uwepo wa...
  10. JamiiForums Tanzania CCM yashangazwa na urasimu wa mifumo kutumika kama utetezi wa miradi ya maendeleo kutotekelezwa kwa wakati

    Katibu wa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka ameonesha kukerwa kwake na tabia ya fedha ya miradi ya maendeleo kucheleweshwa kwa kisingizio cha urasimu wa mifumo ya ulipaji kutofunguka kwa muda mrefu jambo ambalo linakwamisha baadhi ya miradi utekelezaji wake kuenda kwa kasi na haraka kama...
  11. JamiiForums Tanzania Tunacheleweshana bure na maendeleo ya Taifa yanachelewa

    Ndg wanajukwaa kumekuwa na tabia ya ubaguzi ktk utoaji mikopo ya manispb kwa vijana.Mfano hai ni manispaa ya Songea mkoani Ruvuma. Miaka mi3 nyuma niliunda kikundi tukaakisajili, tukafungua akaunti tukandaa mchanganuo. Kabla hawajatutembelea ikaibuka hoja dhaifu eti miongoni mwa barua ipitie...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kufunua siri za maendeleo ya miaka hii kumi: Kurejeshea watu anga ya buluu, mawingu meupe na nyota zinazometa

    INTRO: Takriban kilomita 180 mashariki mwa Beijing, mji mkuu wa China, kuna mji unaoitwa Tangshan, ambao ni mji mkubwa zaidi wa chuma katika Mkoa wa Hebei, unaochangia takriban moja ya nane ya uzalishaji wa chuma nchini China. Zamani Tangshan ilikuwa mojawapo ya miji yenye uchafuzi mkubwa zaidi...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kufunua siri za maendeleo ya miaka hii kumi: Zaidi ya watu milioni 9.6 waliohamishwa katika maeneo maskini waanza maisha mapya

    INTRO: Katika vita dhidi ya umaskini, jumla ya watu maskini milioni 98.99 nchini China wameondolewa kwenye umaskini uliokithiri. Miongoni mwao, zaidi ya watu milioni 9.6 wameondolewa kwenye umaskini kupitia kuhamishwa kwenye maeneo maskini na kupelekwa maeneo yenye huduma zote. Utaratibu huu wa...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kufunua siri za maendeleo ya miaka hii kumi: Mabadiliko katika Mto Manjano na Mto Yangtze ya China katika muongo mmoja uliopita kwa mtazamo wa setilai

    INTRO: Mto Manjano na Mto Yangtze ndio mito mama ya taifa la China. Ulinzi wa Mto Mama siku zote limefuatiliwa na mkuu wa China, Xi Jinping. Katika miaka kumi iliyopita, Mto Manjano umekuwa ukifanya kazi ya "ziada" katika masuala ya kuleta mazingira ya kijani, kurejesha ikolojia na kurudi kwenye...
  15. JamiiForums Tanzania SoC02 Umuhimu wa siasa za mrengo wa kushoto (Ujamaa au Communist) katika maendeleo ya haraka ya Taifa

    Utangulizi Mawazo ya siasa za ujamaa yalichagizwa Sana na mwana falsafa mashuhuri katika Karne ya 19 aliyeitwa "Karl Marx" lakini katika Karne ya 20 Nchi nyingi duniani ziliipokea siasa ya ujamaa kwa vitendo. Urusi ya kale (USSR) pamoja na jamuhuri ya watu wa china yalikuwa ndio mataifa ya...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Sensa na Maendeleo yetu vina uhusiano mkubwa kweli?

    Tangu 1961 tumekuwa tukifanya sensa na kuahidiwa kuwa sensa inasaidia kuleta maendeleo kwa kujua idadi ya watu. Swali: mbona sasa ni miaka zaidi ya 60 tunafanya sensa na hatuna maendeleo ya Maana?
  17. JamiiForums Tanzania Agost 23, tujitokeze kwa wingi kuhesabiwa ili kuiwezesha Serikali kujipanga kimipango mkakati ya SMART, kutuletea maendeleo.

    Wanabodi, Kwa Maslahi ya Taifa Jumapili ya leo
  18. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Afya za watanzania ni rafiki kwa maendeleo ya nchi?

    Ndugu zangu nawasalimu kwa lugha adhimu kabisa ya kiswahili...... Najua wengi wetu hususani vijana wenzangu kila mara tunapoianza siku mpya kwetu ni kama kuingia vitani kupambania ukombozi wa taifa letu, haijalishi umeajiriwa au umejiajiri. Mtu yoyote anayejihughulisha na shughuli halali ni...
  19. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Maendeleo ya uchumi wa mtu binafsi katika kukuza uchumi wa nchi za Afrika

    Maendeleo ya mtu binafsi tu namaanisha hali ya kiuchumi ya watu Katika taifa, katika umiliki wa mali, elimu na siasa pia vitu hivi huchochea kwa kiasi kikubwa Maendeleo ya taifa kiujumla mtu mmoja mmoja katika taifa Wakiwa na uwezo mzuri wa kiuchumi Tunaweza kukuza uchumi wa nchi pia. Kwa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Ushiriki wa wananchi nguzo muhimu kwenye kuleta maendeleo

    Ushiriki wa wananchi katika mambo mbalimbali ya kijamii ni muhimu sana katika kuleta maendeleo kwenye jamii husika. Serikali ikiachiwa ifanye kila kitu wenyewe bila kushirikisha wananchi kwa umoja wao ama kwa makundi ni vigumu kufikia malengo yaliyowekwa, na kwa kufanya hivyo itakuwa ni sawa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…