maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania CCM nguvu mnayoitumia kutetea wakubwa wenu, muitumie hivyo hivyo kutupigania na kutuletea maendeleo sisi wananchi wa Tanzania

    Asalam alaikum Ndg zangu Mapendo Daimaa Tumsifu Bwana wetu yesu kristo Ndg zangu kwa kitamaduni za kiTanzania salamu ni kitu cha Muhimu sana kwa Jamii zetu mbalimbali hapa Nchini. Nawasalimu wote WAKUBWA kwa WADOGO. Naomba Tusogee kwenye Mada tajwa hapo Juu, Kama raia wa JAMHURI, Tanganyika...
  2. JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Vitu vs Watu, vipi sasa hivi?

    Wakati wa Magufuli alishutumiwa na Upinzani hasa CHADEMA kwamba ni maendeleo ya vitu yaani SGR, Ndege, Bwawa la kuzalisha umeme> 2000 MW, Flyovers vyote hivi walikejeli ni maendeleo ya vitu. Sasa leo hii wako Madarakani kuna maendeleo ya nini? Maji hakuna, Umeme hakuna, Usalama wa raia na mali...
  3. JamiiForums Tanzania Ronaldo: Tangu kuondoka kwa Ferguson maendeleo ya Man United ni sifuri

    Cristiano Ronaldo ameishutumu Manchester United kuwa imemsaliti na kudai kuwa hana heshima kwa kocha wake, Erik ten Hag kwa kuwa yeye (kocha) hajaonesha heshima kwake (Ronaldo). Amedai kuwa Ten Hag na watu wengine watatu ndan ya Manchester United walikuwa wakitengeneza mazingira ya kutaka...
  4. JamiiForums Tanzania Arusha na Moshi ndio moyo wa Dar es Salaam, pasipo mapato kutoka hizi sehemu mbili Dar maendeleo yake yangekuwa taabani sana

    ✓Rejea kichwa Cha habari Apo juu Ni ukweli usio pingika imebainika wazi wazi tokea kitambo ( Uhuru) mpaka Hivi Sasa, Mapato mengi Sana yanayo tokana na sekta ya UTALIII yamekuwa yanatolewa upande wa kaskazini mwa TANZANIA yaani kutoka mkoa wa (KILIMANJARO), na (JIJI LA ARUSHA), Kwani sehemu...
  5. JamiiForums Tanzania Dkt. Ndugulile: Internet ni nyenzo Muhimu kwa Maendeleo

    Aliyewahi kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Faustine Ndugulile amesema kuwa Internet ni nyenzo muhimu kwenye kuchochea maendeleo. Kupitia andiko lake kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter, Dkt. Ndungulile amesisitiza umuhimu huduma hii kupatikana kirahisi, kwa gharama...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Utabiri: CCM haitoleta Katiba Mpya wala Maendeleo ya kweli

    Wakuu, Muombe sana Mungu, nimeona uwanja ukiwa na giza nene sana na njia haipo kabisa. Yaani hawa jamaa kamwe hawatokubali katiba mpya labda wananchi waidai kwa njia nyingine lakini wao kama wao hawana wazo la katiba mpya. Na inaonekana suala la maendeleo ya dhati nalo itakua ndoto maana...
  7. JamiiForums Tanzania Ni wakati dhahiri wa kutafakari maendeleo ya sayansi na teknolojia katika nchi yetu

    Ndugu wanaJamiiForums ni matumaini yangu mu bukheri wa afya. Siku chache tumepokea na kushuhudia ajali mbaya iliyotokea mjini Bukoba. Suala ni kuwa mpaka sasa tumekuwa katika harakati za kuijenga nchi yetu katika misingi bora ya sayansi na teknolojia ya hali ya juu kwa kuandaa miradi mbalimbali...
  8. JamiiForums Tanzania Shaka na porojo za maendeleo imara. Serikali haina kikosi wala vifaa vya uokozi katika majanga

    Majuzi hapa tumemsikia katibu wa propaganda wa CCM akijimwambafy kuhusu uimarishwaji wa kila sekta nchini kupitia serikali ya CCM. Ameenda mbali zaidi kutuita sisi wakosoaji kama.maadui wa mama na tunamtakia mabaya hivyo azibe masikio achape kazi aachane na sisi wanafiki. Katika posti zangu...
  9. JamiiForums Tanzania Maendeleo hayana chama wala ukabila au udini. Prof. Lipumba angetuvusha kama angeteuliwa kuwa Waziri wa Mipango, aliivusha Rwanda

    Haina ubishi kwamba huyu mnyamwezi ni mahili sana wa mipango ya kiuchumi. Anatambuliwa na nchi mbali mbali hapa duniani. Mafanikio ya kiuchumi na mipango mizuri ya nchi kama Rwanda yametokana na mchango wa nguli huyu waliyemkodi kwa mwaka mmoja nchini kwao. Hata Uganda walimtumia. Watu kama...
  10. JamiiForums Tanzania Kauli ya RC Makalla kuhusu uhaba wa maji ni sawa na kusema hatutaki Maendeleo

    Imenishangaza sana kusema suala la maji ni 'Kudra za Mungu'. Nimefikiria kama tuko serious na maendeleo. Labda nianze kwa kuwapa tafsiri ya maendeleo tofauti na ulizoea kuzisikia awali. Maendeleo ni uwezo wa mtu kuyadhibiti mazingira yake (Ability to command the environment). Hii inaenda sawa na...
  11. B

    JamiiForums Tanzania DC Muro na ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo wilayani Ikungi

    DC MURO NA ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO- IKUNGI. Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Mhe. Jerry Muro pamoja na Kamati ya Usalama ya Wilaya wataanza ziara ya kukagua miradi ya maendeleo Wilayani Ikungi kuanzia tarehe 01 hadi 04 Novemba, 2022. Ufuatiliaji na Utekelezaji wa Ilani ya...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ana uchu wa maendeleo

    Leo ni ile siku tuliyokua tunaisubiri kwa hamu kujua matokeo ya sensa kwa maendeleo ya jamii matokeo haya ya sensa yametoka mapema zaidi ukilinganisha na miaka mingine kwasababu ya kutumia mfumo wa kidigitali na uchu wa maendeleo alionao Rais Samia Suluhu. Rais Samia Suluhu amesema kua...
  13. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa sawa Maendeleo ya vitu ni maendeleo ya wananchi

    Barabara alizosimamia zinasaidia kila sekta ya uchumi hapa nchini. Hospital, Zahanati na Mashule aliyojenga yanawasaidia watanzania kujenga uchumi. Misingi ya kusimamia rasilimali za umma aliyoiweka inawasaidia Watanzania leo hii
  14. JamiiForums Tanzania Jengo Jipya la Makao Makuu ya ACT Wazalendo Ngome ya Maendeleo na Amani

    JENGO JIPYA MAKAO MAKUU YA ACT WAZALENDO NGOME YA MAENDELEO NA AMANI Naangalia picha ya jengo la Makao Makuu ya ACT Wazalendo lililoko Magomeni Mikumi. Jengo hili limepewa jina la Maalim Seif Sharif Hamad. Hakika ni jengo la kisasa linalovutia sana. Nina kawaida kila nionapo jambo basi mimi...
  15. JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma simamieni miradi ya maendeleo kwa uadilifu

    NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deo Ndejembi amewataka watumishi wa umma nchini kuwajibikaji kikamilifu katika kusimamia miradi ya maendeleo inayotekelezwa nchini ikiwemo ujenzi wa madarasa, zahanati, vituo vya afya na miundombinu ya barabara na...
  16. JamiiForums Tanzania Tofauti na wachaga, kwanini wakabila mengine hayaendelezi makwao na hawapendi kurudi kwao?

    A. MAENDELEO (Kujenga kwao) Mtu ana mafanikio makubwa huku mjini ana nyumba ya kisasa, gari nzuri, kipato cha uhakika, n.k lakini huko kwao hali ni mbaya, Nyumba imekaa kimasikini mpaka aibu, bati lina kutu,ndani vitanda vimechoka, jikoni sufuria ni za kale, n.k… Huu ni uungwana kweli ? kuna...
  17. JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania ni sumu kwa maendeleo ya nchi

    Great Thinkers Kama wewe ni great thinker wa ukweli utakuwa umeshalingundua hilo. Ngoja nitaje mambo machache 1. Rais akiingia madaraani miaka mitano ya kwanza ni kuunda serikali tumbua yule, weka huyu, komesha wafitini wake, badilisha wakuu wa mikoa /wilaya nk. 2. Kipindi cha pili miaka...
  18. JamiiForums Tanzania 2022 Haya ndio makabila yanaongoza kwa maendeleo

    Zingatio 1: Simo katika kabila lolote kwenye hii orodha, sina mgongano wa kimaslahi wa kunifanya kupendelea ama kuchukia makabila niliyotaja. zingatio 2: kuwa ndani ya haya makabila haimaanishi watu wote wa kabila hilo wafanikiwa, hata idadi ya wenye mafanikio makubwa ndani ya haya makabila...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Dhana ya kuoa mtumishi mwenzake ili wasaidiane kimaendeleo imemponza

    Hamna aliojua mwanzoni kwamba it will end into tears, ila nyie mabinti wa Machame Mungu anaona. "Kwa sababu wote tulikuwa wa tumishi tulikubaliana mshahara wake ufanya maendeleo ya familia na wa kwangu utusaidia kwa substance ya kila siku, vikoba na mikopo tuliokopa yote kununulia plot ya...
  20. JamiiForums Tanzania Kiboko ya maendeleo ile wengine walishindwa

    Mama Samia tuokoe sisi maskini na usisahau kumkamata Biswalo ambaye katudhulumu sisi wanyonge bila makosa yoyote. Najua naye yule angekuwepo angekamatwa pia kwa kudhulumu watu uhai na pesa zao. Maskini Nimrodi Mkono kapalalyse kisa alifilisiwa na pesa yake kuchukuliwa kwenye account zake
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…