maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sababu zinazopelekea viongozi kukingiana vifua pale wanapotakiwa kuwajibishwa kisheria, madhara yake katika maendeleo ya Taifa

    -Kwa zaidi ya asilimia 90% viongozi wetu wanapatikana kupitia michakato ya kisiasa. Either kwa kuteuliwa na kiongozi wa kisiasa au kuchaguliwa na wananchi na wadau kupitia chaguzi zilizowekwa na zinazotambulika kisheria. -Chama cha kisiasa hasa hapa kwetu nchini ni kama familia ambayo ina...
  2. E

    JamiiForums Tanzania SoC04 Elimu yetu yahitaji mabadiliko makubwa ili kuharakisha maendeleo ya nchi

    Elimu ndio silaha na nguzo kuu ya taifa lolote hapa duniani. Tanzania kama nchi inapaswa kulitazama suala la ubora na aina ya elimu wapewayo wananchi kama inakidhi mahitaji ya sasa ya nchi hasa ukizingatia dunia kuwa karibu zaidi katika nyanja mbalimbali mfano ajira, biashara na mawasiliano. Kwa...
  3. JamiiForums Tanzania CCM, wananchi na maendeleo ni Sako kwa Bako

    Yaani CCM imeambatana na kuandamana sambamba na dhamira njema ya maendeleo kwa wanaichi wake, kisiasa kijamii na kiuchumii, napendwa mno, viongozi wake wanakubalika sana aisee. Hakuna namna ya kuidhoofisha wala kuitenganisha CCM, wananchi na maendeleo, hawa ni daima sako kwa bako mpka kueleweka...
  4. X

    JamiiForums Tanzania SoC04 Elimu ya Teknolojia ya kisasa iwe kipaumbele mashuleni kuendana na utandawazi na maendeleo ya sayansi duniani

    UTANGULIZI Wizara ya elimu imezindua mtaala mpya wa elimu karibuni wenye maboresho mbalimbali ambayo binafsi naona bado hayakidhi matakwa ya kasi ya sasa ya ulimwengu kisayansi na kiteknolojia. Bado tumelenga kuzalisha kundi kubwa la wasomi wasio na uwezo wa kuendana na maendeleo ya sayansi na...
  5. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 Jinsi ya kujenga taifa na jamii yenye maendeleo endelevu bila kuvunja misingi na miiko ya jamii na taifa

    Kama inavyoaminika katika Taifa lolote lolote misingi ya maendeleo hutokana na uwepo wa rasilimali zilizopo kwenye Taifa hilo,Taifa misingi yake ni Jamii zinazolizunguka taifa hilo, hivyo Uimara wa taifa hutegemea uimara wa jamii zinazolizunguka,Taifa lolote ili liitwe taifa ili liweze kuendelea...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Kijaji: Tanzania ina viwanda 13 vya kuunganisha Magari

    Taarifa hii iwafikie wabishi wote popote walipo, kwamba, ndani ya Tanzania kuna viwanda vya magari 13 Waziri wa Viwanda Dkt Kijaji amethibitisha --- Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji amesema kuwa Tanzania ina jumla ya viwanda 13 vya magari, kati ya viwanda hivyo, viwanda...
  7. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuwekeza katika kilimo cha matumizi ya teknolojia kunaweza kuwa kichocheo cha maendeleo makubwa ya kilimo Tanzania

    UTANGULIZI Tanzania, kama nchi nyingi zinazoendelea, inakabiliwa na changamoto nyingi katika kilimo, ikiwa ni pamoja na uzalishaji mdogo, upotevu mkubwa wa mazao baada ya mavuno, na utegemezi mkubwa wa hali ya hewa. Hata hivyo, matumizi ya Teknolojia za Kilimo yanaweza kubadilisha hali hii na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Serikali ya Uthubutu, Uwajibikaji mzuri kwa maendeleo bora katika Sekta ya Elimu

    Tofauti na awamu nyingine za maraisi waliopita , serikali ya sasa chini ya awamu ya sita ikiongozwa na Raisi wa jamuhuri wa muungano wa Tanzania Mhe. Samia Hassan inaonesha kujenga shule nyingi Kwa ajili ya kutataua changamoto ya ukosefu wa madarasa. Zaidi kuwepo wa Elimu ya bure mashuleni bila...
  9. JamiiForums Tanzania Wanawake wapewe fursa ya kushiriki michezo kwa maendeleo

    JAMII imetakiwa kubadili mitazamo hasi juu ya suala la ushiriki wa wanawake katika michezo mbalimbali ili nao waweze kupata haki yao ya msingi ya kuchangamana kupitia michezo hiyo. Wito huo umetolewa na mtaalam wa masuala ya kijinsia na mwandishi wa habari mkongwe nchini, Bi Hawra Shamte...
  10. JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Ndani ya kipindi cha miaka miwili, Serikali imeshawaajiri Maafisa Maendeleo ya Jamii zaidi ya 2140

    SERIKALI YAONGEZA AJIRA KWA WATUMISHI WA USTAWI WA JAMII WANANCHI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KULINDA MAADILI Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Ridhiwani Kikwete ameliambia Bunge kuwa ndani ya kipindi cha miaka miwili serikali imeshawaajiri...
  11. JamiiForums Tanzania Naomba Malumbano mbashara na kijana Lucas Mwashambwa juu ya mambo ya msingi kuhusu Maendeleo ya Taifa hili.

    Wasalam, Kwa kipindi kirefu tumeshuhudia wanabodi wengi wakisifia na kuimba mapambio ya kukisifu chama cha mapinduzi CCM kuwa Kimefanya mambo makubwa na yakupendezwa bila kusahau mapungufu yake. Naomba jamii forum tukubaliane muda na siku ili malumbano yetu yawe mubashara hapa kwa jukwaa kila...
  12. JamiiForums Tanzania Bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa mwaka 2024/25

    Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imewasilisha Bungeni Bajeti ya Tsh. 67,905,259,000 inayotarajiwa kutumiwa na Wizara hiyo katika kipindi cha mwaka 2024/25 Katika wasilisho lake Bungeni, Waziri Dkt. Doroth Gwajima amesema Tsh. 47,487,079,000 kati ya Fedha hizo...
  13. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Bahari ya maarifa: Safari ya Prince kuelekea Tanzania tuitakayo katika maendeleo ya tasnia ya habari na mawasiliano

    Katika pembe ya kusini mwa Tanzania, katika kijiji kidogo kilichofichwa na milima na misitu, kulikuwa na kijana mmoja aitwaye Prince. Prince alikuwa na ndoto kubwa ya kuleta mageuzi katika tasnia ya habari na mawasiliano nchini Tanzania. Aliamini kuwa kupitia nguvu ya habari na mawasiliano...
  14. JamiiForums Tanzania SoC04 Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu itumie mfumo wa kidigitali kupokea na kufuatilia matukio ya kijamii

    JINA LA MFUMO: JAMII SALAMA (JASA) UTANGULIZI. Wizara ya Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wanawake na makundi maalumu inakabiliwa na ukosefu wa mfumo bora wa kupata na kufuatilia taarifa za kijamii zinazohusu matukio mbalimbali ambayo yapo kinyume na sheria kitu kinachopelekea watu wengi kufanyiwa...
  15. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania yenye mabadiliko na maendeleo

    Tanzania tuitakayo yenye wakazi wenye maisha na maendeleo makubwa ni Tanzania yenye mambo yafuatayo tena yakiwa katika ubora wake. 1. Mfumo bora wa uchaguzi na wenye kuzingatia haki na maendeleo katika jamii ya watu husika, kuwe na mfumo utakaohakikisha kiongozi anatimiza yale aliyoahidi wakati...
  16. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kilimo ni sekta mama hapa nchini haya yafanyike kwa maendeleo ya taifa

    UTANGULIZI. Pamoja na jitihada za serekali katika kuimarisha sekta ya kilimo lakini bado Kuna changamoto nyingi ambazo ni vifaa duni,ukosefu wa mitaji,ukosefu wa elimu,kukosekana Kwa masoko ya uhakika, bidhaa kukosa ubora unaotakiwa sokoni na kukosa namna bora ya kuhifadhi mazao Yao n.k Hivyo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Mpya yenye mabadiliko ya maendeleo na kujali raia wake

    Awali ya yote napenda kumshukuru Mungu kwa kutupa amani katika nchi yetu ya TANZANIA pia nawashukuru JAMIIFORUMS kwa kuweza kuandaa hili shindano ambo litaleta mawazo ya kufikia kwenye TANZANIA TUITAKAYO miaka ya mbele. Pili katika kuzungumzia mjadala wa TANZANIA TUITAKAYO napenda...
  18. JamiiForums Tanzania SoC04 Mchango wa Imani, elimu na siasa katika maendeleo ya nchi yetu. Je, inawezekana Tanzania kuwa na sura mpya?

    Utangulizi. Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Mjadala huu si kwaajili ya kuisema vibaya serikali au chama chochote cha siasa, wala kudhalilisha jamii yoyote ya kitanzania bali ni kwa ajili ya kujenga, kama mwanchi wa kawaida nimeona baadhi ya vitu ambavyo ni vikwazo...
  19. JamiiForums Tanzania SoC04 Mwongozo wa Maendeleo: Njia ya Tanzania kuelekea Uchumi Endelevu na Usawa

    Kwa kuwa maendeleo ni mchakato wa pamoja kati ya serikali na wananchi, hapa kuna hoja kadhaa ambazo zinaweza kuchangia maendeleo makubwa Tanzania ndani ya miaka 5 hadi 25 Ila katika kila point ntakayotoa ELIMU ni kipaumbele changu 1. Elimu Bora na Endelevu: Kuwekeza katika elimu ya msingi...
  20. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Maneno ya Hekima ya Maendeleo kutoka kwa Rais Museven wa Uganda yafaa kutekelezwa Tanzania

    Uzee dawa, Uzee hekima. Maneno ya Rais Museven kwenye mkutani wa viongozi wakuu barani Afrika kuhusu maendeleo. Msikilize mwenyewe kwenye hiyo video hapo chini. Bigup sana Museven.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…