maendeleo ya jamii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. HEARTZ

    Msaada kwa kupata ajira digrii ya mipango na maendeleo ya jamii

    Habari wanajamii wenzangu,Mimi nimemaliza chuo mwaka 2022 kozi ya MIPANGO na MAENDELEO ya JAMII ,naombeni kwa mtu yeyote mwenye kusaidia kupata nafasi ya Kazi kwenye kampuni au taasisi yeyote , nitashukuru sana.
  2. Analogia Malenga

    Maafisa biashara, maendeleo ya jamii na maendeleo ya vijana wana kazi gani?

    Hawa watumishi ni muhimu sana, lakini tunajua kazi zao, maana bado maendeleo ni kizungumkuti, vijana wanahama miji yao kwenda kutafuta fursa sehemu nyingine. Japo sio vibaya wao kuhama, lakini maafisa hawa si ndio inabidi wafikirie namna ya kuongeza fursa ili vijana wabaki kwenye maeneo yao. Je...
  3. Ojuolegbha

    Kulekea Wiki ya Ustawi wa Jamii Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Nandera E. Mhando ameendesha kikao cha Wamiliki wa Vituo vya Kulelea Watoto Wadogo

    #Matukiokatikapicha Kulekea Wiki ya Ustawi wa Jamii Kamishna wa Ustawi wa Jamii kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Nandera E. Mhando ameendesha kikao cha Wamiliki wa Vituo vya Kulelea Watoto Wadogo Mchana, Makao ya Watoto na Nyumba Salama ikiwa ni...
  4. technically

    Katiba ya Tanzania irekebishwe kuwe na sifa kuu ya kuwa Mbunge iwe Msomi wa Sheria,Uchumi, Maendeleo ya jamii na maswala ya fedha!

    Huu ni ushauri Pia waonyeshe mradi wowote waliowai kufanya kupitia elimu yao. Na waonyeshe matatizo na changamoto zilizopo kwenye majimbo yao na vipi watazitatua. Waseme ni jinsi gani wataisimamia serikali.! Bungeni kupeleka vilaza inachosha Sana Waangalie wanaoenda kuchukua form vilaza...
  5. S

    Usaili wa kuandika msaidizi maendeleo ya jamii daraja la pili

    Tafadhali mwenye maswali ya usahili utumishi msaidizi maendeleo ya jamii daraja la pili au whatsup group anisaidie
  6. Dkt. Gwajima D

    Bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii kwa mwaka 2025/26

    Wasaalam. Bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa mwaka wa fedha wa 2025/26 itasomwa tarehe 27 Mei, 2025. Karibuni kwa ufuatiliaji. Ahsanteni sana.
  7. Abti

    Wana-JA niokoeni nitoke mnipe connection.

    Kwa heshima na taadhima kwenu Wana-JA Mungu ashukuriwe na mtaji wa pumzi ninapumua na afya njema ila swala la kiajira nimekwama nishapita kwenye jukwaa la ajira ila nimeona nije na hapa maana jukwaa hili lina nguvu sana kama mdogo wenu, kijana mwenzenu na kijana wenu nipo hapa kama tittle...
  8. REJESHO HURU

    ugawaji wa majimbo kwa sasa ni ustawi wa maendeleo ya jamii zetu au maslahi binafsi ya watu

    Ukikaa unawaza je kuna haja ya kuendelea kujaza wabunge bungeni na kulipana posho na kuongezea serikali mzigo na kuacha huduma za kijamii zikiendelea kudozorota mfano afya na elimu ambazo miundombinu inajengwa ila mashuleni walimu hakuna vitendea kazi hafifu, kwenye afya majengo yapo wahudumu...
  9. B

    Ridhiwani Kikwete agawa pikipiki 14, vishikwambi na spika kwa maafisa Maendeleo ya Jamii ili kurahisisha kazi zao

    Ni mkakati wa kuhakikisha Wananchi wanafikiwa kirahisi kuhudumiwa. Halmashauri ya Chalinze yatenga Bilioni 2.2 kwa Wanawake, Vijana na Walemavu. Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani...
  10. M

    KERO Barabara ya kutoka Tengeru kuelekea Chuo cha mifugo(LITA), Chuo cha maendeleo ya jamii (TICD) ni kero

    Jamani barabara ya kutoka Tengeru kuelekea Chuo cha mifugo(LITA), Chuo cha maendeleo ya jamii (TICD) ni mbaya Sana. Hii ni barabara muhimu Sana kwani inaenda kwenye taasisi muhimu za serikali. Pia husaidia wakazi mbalimbali kuleta bidhaa zao hasa siku za soko la Tengeru jumatano na jumamosi...
  11. Titus Christian Katunzi

    Msaada: Mimi nmesoma Elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii, hivi Kuna uwezekano wa kubadilishwa kutoka kwenye ualimu nikaenda ustawi wa jamii?

    Naomba msaada plz. Mimi nmesoma Elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii, hivi Kuna uwezekano wa kubadilishiwa muundo kutoka kwenye ualimu nikaenda kufanya kazi Uastawi wa jamii au maendeleo ya jamii? , na je maendeleo ya jamii scale yao ya mshahara ni zaidi ya ualimu? Naomba kueleweshwa kwa...
  12. Cute Wife

    Tunawasaidaje wanawake ambao wanapitia kwenye ukatili lakini hawaelewi kama wanachokipitia ni ukatili?

    Wakuu, Huyu mama ni tukio lililotokea Dec 27, mkoani Arusha ambapo mama huhu akiwa mjamzito alichezea kichapo cha mbwa koko kutoka kwa mume wake, na baada ya haya yote aliomba polisi wamkanye mume wake apunguze kumpiga kwakuwa bado anampenda. Uzi wa tukio hili uko hapa. Nimekutana na video...
  13. J

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Riziki Pembe Juma atembelea JamiiForums

    DAR: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, (Zanzibar) Riziki Pembe Juma ametembelea Ofisi za JamiiForums jijini Dar, leo Oktoba 28, 2024. Ziara yake ililenga kujenga mashirikiano katika maeneo anuai ikiwemo kuwalinda na kuwajengea uwezo Watoto na Wazazi wao hasa katika...
  14. G

    Usaili wa Afisa Maendeleo ya Jamii Msaidizi upoje?

    Naomba mwenye kujua interview za Afisa maendeleo ya jamii msaidizi dalaja la pili maswali yake yakoje ya written na oral?
  15. Princesswaprince

    SoC04 Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wazee katika Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia wanawake na makundi maalum

    Wizara ya maendeleo ya jamii, jinsia, wanawake na makundi maalum. Ningependa Tanzania niitakayo kupitia wizara hii ikajitathmini na kufanya maboresho katika maeneo kadhaa kutoka katika sera zake kwa mfano wazee, hawa wamekuwa hawaangaliwi ipasavyo hii ndio maana wazee wengi hali yao kiuchumi...
  16. Frajoo

    SoC04 TASAF ianzishe benki ya maendeleo ya jamii

    Utangulizi. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilianza kutekeleza mradi wa mfuko wa maendeleo ya jamii yaani Tasaf, kuanzia mwaka 2000.Lengo ni kutokomeza umasikini kwa wananchi. Mpango ukawa ni kujenga kinga ya jamii kiuchumi,na katika katika maboresho ilipofika mwaka 2012 kama...
  17. Pfizer

    Ridhiwani Kikwete: Ndani ya kipindi cha miaka miwili, Serikali imeshawaajiri Maafisa Maendeleo ya Jamii zaidi ya 2140

    SERIKALI YAONGEZA AJIRA KWA WATUMISHI WA USTAWI WA JAMII WANANCHI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KULINDA MAADILI Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Ridhiwani Kikwete ameliambia Bunge kuwa ndani ya kipindi cha miaka miwili serikali imeshawaajiri...
  18. Roving Journalist

    Bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa mwaka 2024/25

    Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imewasilisha Bungeni Bajeti ya Tsh. 67,905,259,000 inayotarajiwa kutumiwa na Wizara hiyo katika kipindi cha mwaka 2024/25 Katika wasilisho lake Bungeni, Waziri Dkt. Doroth Gwajima amesema Tsh. 47,487,079,000 kati ya Fedha hizo...
  19. Exformer

    Find me if you are Interested

    Nimehitimu Degree ya Uchumi wa maendeleo ya jamii(Community Economic Development) mwaka 2022. Experience: Nina uzoefu wa mwaka [1] kama Afisa maendeleo ya jamii katika shirika la WORLD VISION TANZANIA-DODOMA. Nimefanya majukumu kama: *Field Officer * Kuibua vikundi vya ujasiruamali na...
  20. Jerry Farms

    SoC04 Vita dhidi ya Ujinga: Elimu kombozi kwa maendeleo ya jamii

    Ni nyumbani kwa mzee Masalu! Ubishi mkali unatokea kati ya mzee Masalu na kijana wake ambaye hataki Shule. Hataki shule kwa madai ya kua haoni mwanga mbele! Hali hii imeanza kuota mizizi katika jamaa nyingi za kitanzania, wazazi na vijana wameanza kuwa na wasiwasi na shaka juu ya dhana nzima ya...
Back
Top Bottom