maendeleo ya jamii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wizara ya Afya Tanzania

    Mafanikio ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO TAARIFA KWA UMMA MAFANIKIO YA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO KWA MIAKA 60 YA UHURU WA TANZANIA BARA. Ndugu Wananchi, Disemba 2021 nchi yetu inaadhimisha...
  2. LellozWho

    Muotesha mti si lazima afaidi kivuli na matunda yeye mwenyewe

    Lengo ni kuakisi Suala zima la mendeleo ya nchi yetu/wazawa. Kelele nyingi zinapigwa kua nchi haiendelei Kama zilizotangulia. Maisha magumu mtaani. Ukweli ni kwamba Watanzania tunataka MAENDELEO lakini tunaogopa MABADILIKO. (Fact) Maana halisi ya heading yangu ni kwamba: Kuifanya nchi...
  3. T

    SoC01 Maendeleo binafsi, ni Maendeleo ya Jamii nzima

    “Maendeleo binafsi, ni Maendeleo ya Jamii nzima”. Habari zenu, ndugu wana Jamii Forums, haswa jukwaa hili la "stories of change". Ni tumaini langu sote tu wazima wa afya. Andiko hili litaangazia juu ya ukombozi wa fikra. Kama ifuatavyo; Mtaji wa kwanza wa Maendeleo binafsi ni Ukombozi wa...
  4. A

    SoC01 Kukumbushia Ahadi Za Serikali Ni Sehemu Ya Maendeleo Ya Jamii Yetu

    Jamii yenye ukamilifu wa huduma ni ile inayojitosheleza kupata huduma zote za msingi zinazohitajika Kila siku. Bahati mbaya sana iliyopo ni kukosekana Kwa baadhi ya huduma za msingi katika jamii yetu ya watanzania wengi na hata huduma zinazopatikana hazikidhi mahitaji kwa ukamilifu. Ili baadhi...
  5. J

    Katiba Mpya ni msingi wa maendeleo ya jamii tukiipata tumepata mkombozi

    Na Chu Joe Leo nataka tuzungumze kuhusu umuhimu wa katiba mpya lakini kabla ya kuelezea kuzungumzia hilo ngoja nikueleze maana ya katiba ambayo ni mkusanyiko wa sheria mama inayoainisha misingi mikuu ya kisiasa na kuonyesha madaraka na majukumu ya serikali. Baada ya kipindi kirefu kupita...
  6. C

    Story of changes: Katiba ni msingi wa maendeleo ya jamii tukiipata tumepata mkombozi wa demokrasia

    Na Chu Joe Leo nataka tuzungumze kuhusu umuhimu wa katiba mpya lakini kabla ya kuelezea kuzungumzia hilo ngoja nikueleze maana ya katiba ambayo ni mkusanyiko wa sheria mama inayoainisha misingi mikuu ya kisiasa na kuonyesha madaraka na majukumu ya serikali. Baada ya kipindi kirefu kupita...
  7. A

    Kazi za kujitolea nazo ni muhimu katika maendeleo ya Jamii

    Kazi za kujitolea ni kazi ambazo mtu au watu wanaamua kufanya kwa ajili ya lengo la kutoa msaada katika jamii. Misaada hiyo inaweza ikawa katika mfumo kifedha, mawazo,elimu na nguvukazi, kulingana na mahitaji ya jamii inayosaidiwa. Kuna baadhi ya watu huwa wanahisi kuwa kazi za kujitolea ni...
  8. Stiv

    SoC01 Kuelekea Uchumi wa Wananchi

    PAMOJA TUNASHINDA Kumekuwa na mapambano na vita dhidi ya umasikini, nchi imekua ikibadilisha sera na kauli mbiu kila utawala mpya ukiingia, Licha ya jitihada zote hizo takwimu zinaonyesha ya kuwa kuna maendeleo ya serikali ki takwimu na watu wake wakisalia katika mkwamo ule ule wa umasikini...
  9. T

    SoC01 Uongozi bora kwa maendeleo ya Taifa

    “UONGOZI BORA KWA MAENDELEO YA TAIFA” Wengi tunajua sifa mbalimbali za viongozi bora waliopo na hata waliopita, basi sasa naend kueleza vitu vichache kwa upana zaidi juu ya viongozi ama uongozi bora kwa maendeleo ya familia,ukoo,mtaa,kijiji,kata nk mpaka kwa ngazi ya Taifa. Kiongozi bora ni...
  10. M

    SoC01 Tuachane na ushirikina, uchawi tupate maendeleo

    Lengo la makala haya ni kuonesha kwamba kuendekeza ushirikina au uchawi na waganga wa kienyeji (wapiga ramli) kunaathiri maendeleo ya jamii. Tuachane na hiyo imani maana badala ya kutusaidia kusonga mbele, tunajenga chuki, uadui na moyo wa kulipiza kisasi kwa kuwadhania wengine ndio vyanzo vya...
  11. David Jesus

    Wamjua kiongozi aliyeliliwa na jamii baada ya kuiletea maendeleo?

    •MAENDELEO ni MAFANIKIO Jambo ambalo mtu anapambana ayafikie. •Hamu na shauku ikoje ya kupata maendeleo? Harakati zote za mwanadamu kuwa na maisha mazuri na wakati mwingine tumeyatafsiri mtu akipata chakula cha kutosha,chombo cha usafiri(baiskeli,Pikipiki,gari n.k), nyumba nzuri n.k...
  12. Mstahiki Mea

    SoC01 Nafasi ya Vyombo Huru vya Habari katika Maendeleo ya Jamii

    Vyombo vya habari vimekuwepo kwa karne na karne tangu kuanza kugunduliwa kwa teknolojia ya habari na mawasiliano, vikiwa na kazi kubwa ya kuhabarisha umma, na kuimulika jamii kiujumla. hata hivyo kufikia sasa Vyombo vingi vya habari hasa katika nchi za kiafikra vinashindwa kutimiza majukumu...
  13. Ms Beatrice

    Natafuta kazi yoyote, nimesoma Maendeleo ya Jamii

    Habari, Mimi ni Binti Nina miaka 24 Niko arusha. Ninatafuta Kazi. Niko tayari kufanya Kazi yoyote halali eneo la Arusha. Nina elimu ya chuo kikuu, kupitia kozi ya maendeleo ya jamii. Nina uwezo wa kuwasiliana vizuri, kufanya Kazi kwa usimamizi Mdogo au bila usimamizi na kuleta matokeo mazuri...
Back
Top Bottom