Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.
1JIMBO LA ZANZIBAR
Hili tayari ni kama Jimbo linalojiendesha maana tayari lina utawala wake binafsi,
2. JIMBO LA KASKAZINI (Northern Zone state)
Mji mkuu: Arusha
Maeneo: Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Tanga
Kazi kuu:
Utalii (Ngorongoro ,Kilimanjaro)
Kilimo cha mazao ya biashara
Huduma za...
Kumbe sio usa tu pekee imesaidiwa na wayahudi katika maendeleo ya tecnolojia hata urusi pia ambayo tunaaminishwa itasaidia iran imesaidia pakubwa sana na wayahudi katika maendeleo ya tecnolojia hapa kuna list ya wanasayansi wakubwa wa urusi wenye asili ya kiyahudi na gunduzi zao 1. Andrei...
Kama hii imewai kukutokea umetoka sehemu moja au eneo moja ulikuwa na wazo la kufanya jambo fulani au biashara ulivyofika eneo hilo ukaghairi au ulikuwa na confusion(kujiuliza sana )na mwisho kuliacha sababu ni hii
Katika kila eneo kuna kuwa na energy(nguvu) fulani kwa mambo fulani ndani ya...
China imefikiria upya usalama wa moto hasa katika majumba makubwa na kwa kupitia AI imepata muarobaini wa jambo hilo.
Katika jaribio lililodhibitiwa, watafiti waliwasha moto ndani ya jengo kubwa. Ndani ya sekunde chache, mfumo huo unaoendeshwa na AI ulihisi joto joto hilo la moto kwa mbali na...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Februari 24, 2026 amekagua maendeleo ya Mradi wa Ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi yaendayo Mikoani unaotekelezwa katika eneo la Bondeni City katika Halmashauri ya Jiji la Arusha.
Mradi huo ambao utagharimu shilingi bilioni 14.3 una lengo la kuboresha...
Rejea title, rejelea jukwaa.
Ukitaka mada za maana nenda siasani kule ukqjionee vioja. Watanzania wanafki sana, tuambizane ukweli kwa kutoambizana kweli.
Niyasemayo ni haki, na dhahiri shahiri tumezidi ufinyangu na ubazazi. Na baadhi ya ndugu zangu hasa wa kusini kule tumbunguze mitishamba na...
Walichofanya kampuni ya maroboti kutoka China Unitree Robotics katika sherehe za mwaka mpya wa kichina 2025 na hii ya juzi tu hapa ni kuonesha kwa namna gani haya mataifa makubwa kama China walivyo shupalia suala zima la AI na maendeleo yake.
Lakini mimi hii teknolojia ya AI toka kuanza...
Sote ni mashahidi dhidi ya umoja, umadhubuti, umakini na umahiri wa serikali sikivu ya CCM iliyoundwa na inayoongozwa na makada kindakindaki wa chama cha mapinduzi DR.SAMIA, DR.NCHIMBI NA DR.MWIGULU, kwamba imebeba chachu ya maendeleo halisi Tanzania.
Kabisa inaonyesha wananchi wana shauku na...
“Kutumia Usahili wa Kina ni njia bora ya kuhakikisha kuwa Tanzania inapata wabunge wenye sifa, ujuzi, na maadili mema. Hii si tu inakuza maendeleo ya jimbo na taifa, bali pia inahakikisha wananchi wanapewa wawakilishi wanaowakilisha kwa ufanisi na uwajibikaji.”
Hivyo ,Kuna haja ya kuwafanyia...
Tanzania
Benjamin Mkapa Stadium (Dar es Salaam)
Ujazo: 60,000
Gharama: $90M (Initial Construction), $12M (Renovations)
Maendeleo: Renovations finalizing
Vyanzo: IPP Media (https://www.ippmedia.com/the-guardian/business/read/special-report-2024-05-23-185807), Wakala wa Majengo Tanzania – Paul...
Serikali yaiomba China kuunga mkono jitihada za kuendeleza miundombinu ya kisasa ili kuhakikisha Tanzania iko tayari kuwa mwenyeji mwenza wa Kombe la Mataifa ya Afrika 2027 (AFCON) pamoja na majirani zake wa Afrika Mashariki.
Ombi hilo lilitolewa Ijumaa, Februari 6, na Naibu Waziri wa Mambo ya...
Bungeni tunataka kusikia uwajibikaji na kero za watanzania zinatatuliwa hata tukisifia wananchi au rais haiwezi kuleta maendeleo.
Suala la sifa halina msingi ya maendeleo kwa wananchi wala maendeleo kwa rais wala kwa wabunge wala kwa washirika ni la kipumbavu sana.
Tangu warsha ya kwanza ya mafunzo ya Luban ilipozinduliwa mwezi Machi 2019 nchini Djibouti, China imeanzisha jumla ya warsha 11 za Luban katika nchi 10 za Afrika. Kwa kuzingatia falsafa ya “kuwapatia nyavu na kuwafundisha uvuvi badala ya kuwapa samaki”, warsha za Luban zimejitahidi kuendeleza...
Hili suala linaumiza sana; nje ya kuwa ni sehemu ya majukumu yake.
Wana vikundi wanaopata mkopo anawadai hela katika kila milioni moja anataka 50,000. Hii si sawa kabisa.
Hawa wana vikundi wanaokopa ni wajasiriamali wadogo na hiyo hela wanarudisha.
Habari zenu?
Nimekaa na kufikiria kitu ambacho kina ukweli ndani yake, kitu kinachorudisha maendeleo ya vijana chini ni kamari.
Leo ukipoteza 1000 baada ya siku 10 ni 10,000. Baada ya siku 100 laki 1. Hapo unajikuta ndani ya siku 100 umeshinda mara 3. Maana kuna watu wana lost zilizokithiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.