Naomba kushare, hivi urembo wa madirisha na kona vipo kwenye fashion au ni vimepitwa na wakati? Na kama vipo, vipi huko mbeleni?
Binafsi navutiwa na huo urembo ila nakuwa nakuwa nasita kuweka!
Wadau wa ujenzi nilikuwa nahitaji madirisha ya aluminum ila kuna mdau moja anayehusika amenijibu kuwa bei dirisha la aluminum ya rangi ya silver nitofauti na ya rangi nyeusi na kwamba nyeusi ni ghali, je kuna ukweli hapa au ni upigaji,
Nawasilisha anayefahamu anisaidie
Gas hutusaidia kutunza mazingira yetu, misitu yetu, pia ni salama endapo kanuni za kiusalama zitafuatwa ikiwapo, kuweka madirisha makubwa katika majiko yetu!
==========
Your Gas Stove Might Be Emitting Cancer-Causing Chemicals—Even When You’re Not Cooking.
And Children’s Are At Double The...
Wakuu habari, Naomba kaushauri kidogo, nimemaliza kunyanyua kiboma changu, nataka maoni kwa wale waliotangulia kujenga
Je, ni kipi sahihi kuanza nacho kati ya kuweka.madirisha ya grill na mageti, ama kutulia kwanza na kuezeka ndipo niweke madirisha natanguliza shukran
Serikali ya Taliban Nchini Afghanistan imetoa agizo jipya ikipiga marufuku ujenzi wa madirisha kwenye majengo ya makazi yanayoweza kuangalia maeneo yanayotumiwa na Wanawake, kama jikoni na visima vya maji vya kijamii ambapo Kulingana na taarifa yao hatua hiyo inalenga kuzuia kile wanachokiita...
Habari, nauza mbao za mti wa Eucalyptus, kwa majina ya kiswahili unajulikana kama Mlingoti, Mkaratusi, Mti Mbao, Mbao nyekundu. Mbao zina ubora, size zimejaa na bei ni rafiki (ya shambani). Mbao hizi ninachana mwenyewe maeneo ya Mgololo, Mufindi (Iringa) na Uchindile, Mlimba (Moro).
SIFA ZA...
Natumai mko poa kabisa
PENDEZESHA NYUMBA YAKO KWA ALLUMINIUM
_natengeneza madirisha ya alluminiu
_milango ya alluminium & viooo
_partion za mahoficini & duka la dawa & hopitali
_vioo vya saloon kike na kiume
_kama uliweka madirisha tunafanya repair kama vioo havitembei vizuri ama wavu kuchanika...
Katika mchakato wa ujenzi wa madarasa ya shule za msingi, kuna masuala kadhaa ya kuzingatia kuhusu matumizi ya madirisha ya aluminium bila kuweka nondo. Kwanza, ni muhimu kujua ni muda gani madirisha haya ya aluminium yatadumu bila kuharibika, hasa ikizingatiwa kwamba watoto na wanafunzi mara...
Habari ya ijumaa. Nategemea mko na amani ya moyoni kwa kiwa Leo ni siku ya ijumaa.
Madirisha ya nondo na fremu ya mbao yanauzwa. Kulikuwa na servant quarter inajengwa yakabaki hayo madirisha 2 kwa kuwa design ya ujenzi ili adilika. Yapo madirisha mawili. Jumla bei sh 90,000. Urefu futi 4 upana...
Mimi nakumbuka ilikuwa ni mwaka 2008 nikiwa katika pita pita zangu nikafika kwenye mjengo mmoja wa maana ulikuwa na madirisha ya vioo vile vyeusi si nikaanza kujiangalia vile vioo huku nikiwa najikenurisha mara bila kujua kuwa kumbe ndani kuna mtu ananitizama mara gafla lile dirisha...
Habari za muda huu!
Nipende kumshukuru mama Samia Suluhu kwa kuniamsha salama. Nimeamka umeme hamna niko likizo nikasema nijilaze sasa kero ni Ndege aise wanagonga madirisha ya chumbani kwnagu mpaka naonea vioo huruma. Kwa ambaye anapitia hii changamoto huwa unafanyeje? Eneo nililoko ni Rombo km...
Wengine tumeumbwa na Midadi hasa tukiona Minaniliano madirishani huwa tunatamani hata tuje kuomba Kolabo, ila huwa tunashindwa tu.
Halafu ukijiona upo juu Ghorofani usidhani uko peke yako na huonekani kwani kuna Wengine (hasa GENTAMYCINE ) tuna Macho ambayo yakiona tu Kitu cha mbali basi...
MBUNGE CHEREHANI AKABIDHI MADIRISHA 15 (MILIONI 4) KUKAMILISHA NYUMBA YA KATIBU WA UWT WILAYA YA KAHAMA
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe.Dkt Emmanuel Cherehani amekabidhi Madirisha 15 yenye thamani ya TZS. Milioni 4,162,000/- kukamilisha nyumba ya Katibu wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Wilaya...
Kwa mujibu wa @FARPostZA, FIFA imeifungia klabu ya Yanga kusajili wachezaji kwa madirisha matatu (3) mfululizo baada ya kushindwa kumlipa fidia ya kuvunja mkataba aliyewahi kuwa Kocha wao Luc Aymael.
Kocha huyo raia wa Ubelgiji ambaye pia amewahi kuzifundisha Free State Stars na Polokwane City...
Hii imekuwa ni kero ya muda mrefu sana sana sana, unaenda benki unakuta kidirisha kimoja au viwili tu ndo yana wahudumu mengine yote "closed" na nyomi la watu ni kubwa, watu wamekaa muda mreefu na hakuna kinachofanya na meneja kuangalia urgency na kuamrisha Watendaji wake kusaidia wateja...
Ndugu zangu kuna mgogoro wa ardhi unaondelea hivi sasa maeneo ya Majoe na mtu anayedai kwemba hilo ni eneo lake. Mwanzoni mwa mwezi huu zaidi ya nyumba 48 wakazi wake walitolewa kwenye nyumba zao kwa amri ya Mahakama ilihali kesi ya msingi bado ipo Mahakamani.
Wananchi wamekosa kabisa...
Behewa 14 za SGR zimeanza kuwasili nchini Tanzania kutoka nchini Korea
Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
Mwonekano wa jengo la zahanati ya Kijiji cha Mtakuja iliyopo Wilaya ya Ruangwa ambayo imeshatumia Tsh. Milioni 75 hadi sasa.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi amemwagiza Kamanda wa TAKUKURU wilayani Ruangwa kufanya uchunguzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.