Ndege wanapiga piga madirisha ya chumbani kwangu. Nifanyeje?

mike2k

JF-Expert Member
May 12, 2016
1,458
3,127
Habari za muda huu!
Nipende kumshukuru mama Samia Suluhu kwa kuniamsha salama. Nimeamka umeme hamna niko likizo nikasema nijilaze sasa kero ni Ndege aise wanagonga madirisha ya chumbani kwnagu mpaka naonea vioo huruma. Kwa ambaye anapitia hii changamoto huwa unafanyeje? Eneo nililoko ni Rombo km 2 kutoka msitu wa mlima Kilimanjaro.
 
Endelea kusifu na kuabudu
 
Watakuwa wanajiona kwa nje.
Hapo hakuna namna labda ubadili aina ya kioo
 
Kama Kuna kibanda Chao juu ya nyumba yako watoe kama hakipo paka Sumu hapo kwenye kiooo na wao huwa wanacheza hapo eti wanajiangalia na kupiga hata huku kwangu kigamboni walikuwa ndo michezo Yao ila nilipo paka dawa sijawahi kuwaona tena
 
Unawaua bila sababu. Hao wanajichezea tu, ungewaacha. Hata kwangu huwa wanafanya hivyo. Kuna muda hata Kunguru huja na kufanya hivyo hususani asubuhi sana.
 
Habari za muda huu!
Nipende kumshukuru mama Samia Suluhu kwa kuniamsha salama. Nimeamka umeme hamna niko likizo nikasema nijilaze sasa kero ni Ndege aise wanagonga madirisha ya chumbani kwnagu mpaka naonea vioo huruma. Kwa ambaye anapitia hii changamoto huwa unafanyeje? Eneo nililoko ni Rombo km 2 kutoka msitu wa mlima Kilimanjaro.
Tutachukua nyumba yako iwe moja ya vivutio hapo jirani na geti la mlima Kilimanjaro la Rongai.
Tunataka kuwe kituo cha bird watching wewe unasemaje?
 
Habari za muda huu!
Nipende kumshukuru mama Samia Suluhu kwa kuniamsha salama. Nimeamka umeme hamna niko likizo nikasema nijilaze sasa kero ni Ndege aise wanagonga madirisha ya chumbani kwnagu mpaka naonea vioo huruma. Kwa ambaye anapitia hii changamoto huwa unafanyeje? Eneo nililoko ni Rombo km 2 kutoka msitu wa mlima Kilimanjaro.
Mkuuu tunapitia changamoto sawa.na wqnasumbua ile midaa yaa kuanzia saa moja asubuhi .nilisha kosa mbinu ya kuwadhibitii kabisaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom