madini

Abū al-Ḥasan ʻAlī ibn ʻAbdillāh ibn Jaʻfar al-Madīnī (778 CE/161 AH – 849/234) (Arabic: أبو الحسن علي بن عبد الله بن جعفر المديني‎) was a ninth-century Sunni Islamic scholar who was influential in the science of hadith. Alongside Ahmad ibn Hanbal, Ibn Abi Shaybah and Yahya ibn Ma'in, Ibn al-Madini has been considered by many Muslim specialists in hadith to be one of the four most significant authors in the field.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Sheria ya Madini ya mwaka 2017 imechangia kuongeza Trilioni 7.2 kwenye mfuko mkuu wa serikali kwa miaka 6

    Mabadiliko ya sheria za uchimbaji madini ya mwaka 2017 imechangia kuingiza Trilioni 7.2 kwa miaka 6 kwenye mfuko mkuu wa serikali ambazo zisingepatikana kama hakungekua na mabadiliko ya sheria hiyo. Hii ni sawa na wastani wa Trilioni 1.2 kwa mwaka inatotokana na mabadiliko ya hiyo sheria kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Doto Biteko anahujumu tume ya madini, zaidi ya miezi 2 mtandao wa malipo haufanyi kazi

    Kwa masikitiko makubwa Tume ya madini imeshindwa kupokea malipobau kutoa namba ya kulipia malipo ya aina yeyote sasa ni miezi 2. Waziri Doto Biteko jiongeze hali sio nzuri na serikali inahitaji kodi
  3. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Tanzania yasaini mkataba wa ugavi wa madini na Tesla ya Elon Musk

    Wakati maombi yake ya leseni ya kutoa huduma za intaneti kupitia kampuni yake ya Starlink yakiwa yamewekewa kigingi na masharti ya serikali, Bilionea Mmarekani Elon Musk amepenya kwenye soko la Tanzania ambapo atanunua malighafi ya kutengenezea betri za magari ya umeme. Taarifa iliyotolewa kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Siku madini yakiisha DRC na vita inaisha hapohapo

    Hivi Africa kweli tulipatiwa uhuru au ilikuwa ni hadaa? Angalia congo watu wake wanavyouawa kisa nchi za magharibi zinataka kuchota Mali kwa kupitia kwa kagame na mseveni thru M23. Hawa M23 wanapew asilaha na ufaranasa na marekani kwa kupitia Rwanda kw akagame. Kwa nini nchi za Africa tusiungane...
  5. JamiiForums Tanzania Uchenjuaji wa makinikia yenye dhahabu

    Katika uchenjuaji wa makinikia yenye dhahabu wawekezaji wengi hulia kwa kuwekeza fedha nyingi na kupata faida kidogo au hasara. changamoto hii hutokana na uzembe wa mtalaam mwenye dhamana ya kuchenjua makinikia hayo yenye dhahabu kwani wengi huangalia maslai yao binafsi ilihali wanajua...
  6. JamiiForums Tanzania Faida katika sekta ya madini

    Katika uchenjuaji wa dhahabu wawekezaji wengi hulia kwa kuwekeza fedha nyingi nakupata faida kidogo au hasara. Changamoto hii hutokana na uzembe wa mkemia aliekabidhiwa kwani wengi wao hufanya kazi kwakuangalia masilahi yao binafsi na sio bosi hivyo wengi hukosa kutoa ushauri mzuri kwa bosi na...
  7. JamiiForums Tanzania Hoja za Lissu ni zilezile za tangu aje Tanzania kugombea Urais 2020

    Aisee Lissu hana jipya; ni matatizo yake binafsi na jamii inayafahamu sana maana taarifa za yeye kushambuliwa na kukimbilia Ulaya sio jambo gani masikioni mwa watanzania kama ni pole tulimpa sana sasa maisha lazima yaendelee tu ,kwa waliosomea mambo ya habari watakubaliana na mimi kuwa kama...
  8. JamiiForums Tanzania Nahitaji Connection ya Madini ya Sapphire

    Habari Wakuu, Naomba kujua nitapata wapi Madini Haya kwajili ya Ununuzi. spinal sapphire aquamarine tourmaline Tafadhali Watanzania wenzangu tusaidiane tusifanyiane choyo.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

    Ni asubuhi tulivu siku ya Jumamosi tarehe 21 Januari hapa Jijini Mwanza. Macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa hapa Jijini Mwanza kutakakofanyika shughuli kubwa ya kisiasa ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. Chadema Leo inazindua Rasmi mikutano ya kisiasa baada ya kuzuiwa kwa miaka...
  10. JamiiForums Tanzania Madomo zege njooni tupeane madini namna ya kutongoza mwanamke mgumu

    Iwapo mwanamke anaonyesha dalili za kukutongoza ambazo umependezwa nazo, haitakua jambo zuri kwako kama utapuuza swala hili kwa kufanya matendo yasiyotakikana. Baadhi ya wanaume wengine wanaweza kudai kuwa wanawake ambao wanatongoza waume hawafai kukubalika kwani si kawaida. Well, jibu ni kuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaume tumekuwa Madini Ghali sana. Tumeanza kugombaniwa na Mademu. Natunza tu Nguvu zangu...Nitawala....

    Nikitizama huku naona mashoga wanaongezeka.... Nikigeuka kule wasio na nguvu za kiume nao wanaongezeka.... Naamka napiga pushups.. Nikicheck tena kwa mbali kule wacheza pool au wazee wakujichukulia sheria mkononi wanaongezeka....natabasamu.. Yaani unakuta kakijana kanalamba lamba lips tu kama...
  12. JamiiForums Tanzania Askari 7 wanaodaiwa kumuua Mfanyabiashara wa Madini kupandishwa Kizimbani Januari 11

    Kesi ya mauaji inayowakabili maofisa saba wa polisi mkoani Mtwara imepangiwa tarehe nyingine ya kusikilizwa kutokana na upelelezi kutokamilika. Watuhumiwa hao jana walifikishwa kwa mara nyingine mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Mtwara na kupangiwa kusikilizwa tena Januari 11, mwaka huu...
  13. JamiiForums Tanzania Zimbabwe yapiga marufuku usafirishaji nje Madini ya Lithium

    Wizara ya Madini na Maendeleo imesema mauzo yote ya Madini ya Lithiam nje ya Nchi yamesitishwa baada ya Uchunguzi kuonesha kuna upotevu wa Tsh. Trilioni 4.2 kila mwaka kutokana na kuuzwa kama Madini Ghafi badala ya kutengeneza Betri halisi. Lithium inayofahamika kama Dhahabu Nyeupe hutumika...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Maonyesho ya Sanaa ya madini ya fuwele (crystal) ya Njia ya Hariri yafanyika mkoani Guangdong, nchini China

    Maonyesho ya Sanaa ya madini ya fuwele (crystal) ya Njia ya Hariri yamefanyika mjini Zhuhai, mkoani Guangdong, nchini China. Maonyesho hayo yamekusanya zaidi ya vito 30 vya fuwele kutoka maeneo maarufu ya uzalishaji wa madini hayo duniani kote.
  15. JamiiForums Tanzania Faini ya Tsh. Bilioni 1 dhidi ya Mgodi wa Williamson Diamond yazua mjadala kwa wadau wa Madini

    Inawezekana kabisa Baraza la Kitaifa la Usimamizi wa Mazingira (Nemc) lina sababu za msingi sana za kuipiga faini ya Tsh. Bilioni 1 (kama dola 434,782.6 kampuni ya Williamson Diamond Limited (WDL), lakini wanamazingira wameonesha wasiwasi kuhusu uamuzi huo. Clay Mwaifwani, mratibu wa mradi...
  16. JamiiForums Tanzania Mwongozo wa kuanza biashara ya madini A - Z

    Kwa wale wanaohitaji kufaham kinagaibaga biashara ya madini kitabu hiki kitakupa mwanga wa wa kujua yafuatayo 1.Aina za madini na mahali yanapopatikana nchini Tanzania 2.Bei ya madini sokoni na yanauzwaji 3.Jua namna ya kupata leseni za uchimbaji wa madini , ununuaji wa madini na usafirishaji...
  17. JamiiForums Tanzania Utajiri wa nchi ni akili za Watu sio rasilimali kama madini na nyinginezo

    UTAJIRI WA NCHI NI AKILI ZA WATU, SIO RASILIMALI KAMA MADINI N.K. Anaandika, Robert Heriel. Huwaga namshangaa mtu anayesema nchi yetu ni Tajiri. Kwa kweli sio tuu anachekesha Bali pia anaonyesha jinsi alivyokuwa mjinga na asiyeweza kufikiri sawia. Kama nikiulizwa hivi leo sababu gani...
  18. JamiiForums Tanzania Chato: Raia wa Burundi akamatwa na AK47 iliyotumika kwenye mauji ya mchimbaji madini

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo amesema wanamshikilia raia huyo kwa tuhuma za kuingia Nchini kinyume cha Sheria na kumiliki silaha ambayo imekuwa ikitumika katika matukio ya uhalifu Kamanda amesema silaha hiyo ilitumika kwenye mauaji ya mchimbaji mdogo Tegemeo Rashid aliyeuwawa...
  19. JamiiForums Tanzania Wacongo wangejitambua tangu wakati wa Lumumba wangefika mbali sana

    Hawa Wacongo wangejitambua enzi za Lumumba wakifanikiwa sana wameamua kutumia nguvu ya umma kuungana na kuandamana kuutangazia ulimwengu kwamba wanaibiwa madini yao mwizi wanamfahamu ,na bahati nzuri mwizi anajulikana. Nawatakia kila kheri kwenye MAPINDUZI .
  20. JamiiForums Tanzania Ujenzi Mradi wa Umeme Bwawa la Julius Nyerere wafikia 74%, Kamati ya Nishati na Madini yaridhishwa

    Ujenzi wa mradi wa Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere umefikia 74%, hatua ambayo imebainishwa na Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini iliyofanya ziara katika mradi huo Oktoba 15, 2022. Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Stella Manyanya amesema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…