Madereva nchini Kenya wamekumbana na mpango mpya wa NTSA wa digital fines unaotoza faini instant kupitia mfumo wa Traffic Management Solution (TMS). Mfumo huu ulilenga kupunguza face-to-face interaction na polisi barabarani ili kupambana na corruption.
Kwa sheria hizi mpya, makosa madogo kama...
Shirikisho la Kimataifa la Wafanyakazi wa Uchukuzi (ITF) limeitaka serikali ya Mali kuchukua hatua baada ya wimbi la mashambulizi mabaya ya msafara kuwalenga madereva wa malori ya usafirishaji mafuta.
'Wafanyikazi wa usafiri ni muhimu ili jamii zihudumiwe - haistahili waachwe bila ulinzi', ITF...
Kituo kipya cha tozo (Toll Plaza) cha Tom Mtine kwenye barabara ya Ndola–Sakania huko Ndola, Zambia kimefunguliwa rasmi leo Jumamosi (22 Februari 2026).
GHARAMA ZA TOZO
K0.00 – Magari madogo, daladala/mini basi, na magari mepesi (yamesamehewa kwa muda)
K100 – Mabasi yenye zaidi ya viti 30
K850...
Kwako Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Dr .Aaron Kagurumjuli , MADEREVA wa mkataba tumekuwa tunacheleweshewa mishahara kila mwezi hivo kupelekea kufanya kazi kwa mawazo,
Kazi yetu inahitaji kuwa vizuri kimwili na kiakili ,mishahara imekuwa Hadi tarehe 15 ndio inatoka ,hii sio fair kabisa...
Chama cha Madereva wa Malori Tanzania, (TATAMATA) kimetoa siku mbili kwa Serikali kushirikiana nao kumtafuta aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Godlove Materu , la sivyo madereva wote wa chama hicho hawatafanya kazi kuanzia Februari 10, 2026 mpaka apatikane.
Kwa mujibu wa viongozi wa chama...
Nauli za Bajaj jijini Mwanza imekuwa tatizo hususani majira ya usiku, kutoka Mjini hadi Nyegezi Stand kwa Bajaji zenye route ya Buhongwa to Mwanza Mjini, madereva wanajipangia nauli kiholela kutoka shilingi 1,000/= hadi 2,000/=.
Askari usalama barabarani wanajitahidi sana kutoa elimu ya Usalama barabarani lakini mara nyingi kama haizingatiwi na wanaonekana kama wanapiga kelele ni vyema hatua zikachukuliwa kuhusu vitendo hivi hii ni maeneo ya barabara ya Ngulelo kuna uendeshaji wa bajaji kunyanyua mguu mmoja na kutembea...
Madereva kadhaa wa Bolt walifanya maandamano hadi makao makuu ya kampuni hiyo yaliyopo Kinondoni, Dar es Salaam, siku ya Jumatatu, Februari 2, 2026, kupinga tozo kubwa na ongezeko la punguzo kwa wateja.
Madereva hao walifika nje ya ofisi hizo majira ya saa 4:00 asubuhi, lakini walitawanywa na...
Husika na kichwa hapo juu,
Mimi ni dereva wa mabasi ya abiria Mkoa wa Rukwa. Nimeshindwa ku-renew leseni yangu kutokana na kukosa cheti cha PSV C PLAIN.
Hivyo, nilipata taarifa kuwa Chuo cha VETA Mpanda kimekuja Rukwa kutoa mafunzo ya udereva wa Public Service Vehicles (PSV) na Heavy Duty...
Anonymous
Thread
mabasi
maderevamadereva wa mabasi
malori
masomo
rto
rukwa
Wakuu kwa wiki kadhaa sasa mitandaoni kumeenea habari za madereva hasa wa Tanzania na Zambia kupata matatizo nchini Congo. Kuna hadi ambao wamepoteza maisha. Kimsingi dereva akiingia tu Congo usalama unakuwa mashakani. Huko kuna vikundi vya kihalifu vinavyopora malori.
Je, nini kifanyike...
Mnakumbuka wae madereva wa Lori Tanzania walirudishwa nyumbani kutoka Qatar walipoenda interview kwa kushindwa kuendesha malori ya kisasa.
Na wasiwasi na hizi ajira 500 za pikipiki za huko Falme za kiarabu watarudishwa.
adriz de mbusii
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata madereva watano wa magari ya kubebea wagonjwa kwa tuhuma za kubeba abiria kinyume cha sheria.
Kamanda wa Polisi mkoani humo, SACP Alex Mkama, amesema madereva hao waliokuwa wakisafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Kagera wamekamatwa kufuatia...
Kamanda habari ikufike 9Dec ni maandamano ya amani hata wewe unakaribishwa sana na si vurugu kama ulivyotooha wewe!
===============
Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe ACP. Mahamoud Hassan Banga amewataka Madereva Bajaji mkoani Njombe kuwakataa baadhi ya Watu wanaohamasisha kushiriki katika vurugu...
Wakuu.
Ijumaa nina iyo safari kutoka Dar kwenda Moro, ambako nitafanya kazi flani kama masaa 6-8 katika ofisi ya serikali kwahiyo lazima uwe muda wa kazi, then nitatakiwa kwenda Kigoma, by jumatatu niwepo hapo kuna issue, then back Dar.
Google Maps ananiambia nina kilometa 2,500 kwenda...
Jaman hebu tazameni katika suala la taksi Mtandaoni hasa huduma ya Bolt.
Madereva wanalia 😢 sana kisa commission zao, na ni kweli ni kandamizi sana, 25% ya nauli kweli 😢 kwa mfano safari ya Sh 10,000 Bolt wanakata takribani Sh 2,500 inabaki 7,500.
Hapo hutoa pesa ya mafuta kwa hiyo safari...
Jeshi la Polisi hivi karibuni limeanzisha mkakati wa kuboresha utaratibu wa leseni za Udereva kwa kuwataka madereva ili kukidhi sifa za madaraja waliyonayo wapate kozi kuhuisha sifa zao katika daraja lake la leseni.
Kero iliyopo sasa hivi ni urasimu wa vyeti kuchukua muda mrefu kusomeka kwenye...
Yaani ukitaka kujua unachelewa pita njia za Ubungo, Kimara, Mwenge na Tegeta ndani ya dakika 30 utaona ving'ora kama vinne vimepita na vimulimuli
Nimejiuliza hivi kila gari linatakiwa kuwa na king'ora na kimulimuli? Na ni wakati gani vinatakiwa kutumika?
----
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa...
Kuna dada mmoja amebakwa na dereva bolt baada ya kupanda bolt hio akiwa tungi.
Unapokuwa viwanja kuwa na mtu wako ili ukilewa akupe kampani sio unaonda pekee ako mtaishia kubakwa na madereva bolt
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.