mademu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Namna gani unaiba mademu wakali wakiwa na wanaume zao mabishoo sehemu za viwanja./Bata

    Haya maisha ni burudani kuna wanaume masharobaro akili finyu anakuja sehemu za bata huku ana pesa mbuzi kama elfu50 tu then anavimba, anamleta demu huku haja exhaust fully likes za demu kwenye mitoko wao wanadhani Heineken na savanna ndio kila kitu. Sasa mimi silaha yangu kuu huwa ni kula...
  2. Visa vya Wanawake wa Wrong Number

    Salamu wakuu. Asee leo nina mzuka wa kutoa stori ya wrong number. Asee katika miaka yangu ya ujana sina kazi ila najishughurisha tu na mitikasi ya mtaani, sasa sku moja nimechil geto nikasema wacha nikosee number mara mbili ilienda kwa machizi na kuwambia wrong number sasa mara ya tatu ikaenda...
  3. Hivi kwanini yale mabinti chama la wana kitaa lakini ukienda wewe mwingine unapigwa cha mbavu?

    Habarini wakubwa kwa dogo, poleni kwa miahangaiko ya usiku na mchana rejea head hapo juu kitaa huwa hawakosekani mademu kama hao unakuta jamaa wanakwambia unamchek huyo demu maji kijiko kimoja tu. Hapo Abdalah wa kwa mzee mataluma kapita hapo akina juma chogo kashakula hapo Rashid chaung'aga...
  4. C

    Napenda sana mademu ila siwapati

    Kwema ndugu zangu, Kama kichwa cha habari kinavyosomeka nimekuwa napiga sana mademu verse lakini naambulia vibuti, sijui tatizo Nini wakuu hebu nipeni mbinu mbadala
  5. Kwanini sisi wanaume wa 1980s tunapendwa sana na mademu wakali kila sehemu?

    Habarini nyote, Nimefanya kautafiti ka rasha rasha ni hivi mademu wakali wengi wanatupenda sisi wanaume wazaliwa wa 1980s kuliko hayo makundi mengine. Na kila mikoa ninayozunguka kibiashara kote vybe ni hilo hilo. Tusaidiane majibu kwa nini iko hivyo? Ni hayo tu 🙏🙏🙏
  6. Restaurants zenye mademu wakali Bongo

    Greetings Kitty Chasers na my fellow Pussy prowlers, Wanasema kama unapenda Quality Women lazima uwe unajua kusoothe a lonely Vag***a na uwe na bone strength ya nguvu ya simba, warembo wazuri na matata, pia wanaviwanja ambavyo wanapenda kuhang kwenye siku tofauti za wiki, ukiyajua maeneo haya...
  7. Mbona wanawake wa Marekani wapo very happy 24/7 to compare na hawa wa huku Tanzania?

    Nilikuwa YouTube Muda huu naangalia video za Jack wa USA this guy anaweka content za wanawake wa Marekani most of them wapo happy kwanza wazuri wakipewa salamu wanaitikia kwa bashasha kubwa Sana. Njmegundua huku Tanzania umasikini wa uchumi umewafanya mademu kuwa watu wa hovyo Sana Hawana raha...
  8. Mademu bandia wa ELON MUSK marobot wawa gumzo Duniani

    Nina mpango wa kukununua moja nimpeleke kwangu aise yanavutia madude unaambiwa yanatoa huduma zote tofauti kuzaa tu
  9. Nimekoma, yule mwanamke ni chuma ulete

    Habari wana jf, Moja kwa moja kwenye mada, katika pita pita hapa na pale nikiwa mkoani manyara alimaarufu kama mkoa wa Wambulu mix Wamasaai na wengine wanajiita Wairaq sijui kwanini wanajiita hio ila ni walewale Wambulu lugha ni moja kila kitu. Siku moja ilikuwa ni siku ya mnada ndani bahati...
  10. Leo ndio siku ya kuwaacha mademu wangu wote nitumie mbinu gani nibakize mmoja tu?

    Habari ndio hiyo. Siwatakini nyie wote, namtaka mmoja tu kati yenu nyie wote. Watu wa takwimu wameshindwa kuniweka mmimi kwenye category yangu special, nina mademu 14 ila mmoja tu ndio nimempenda. Kawazidini nyie wengine wote akili, ujuzi, maarifa na kila kitu. Nyie wengine mmemzidi mwenzenu...
  11. C

    Nimeamua kuachana na mademu

    Kwema wandugu, Nimeona kufukuzia watoto wazuri inanidistract Sana nisifikie malengo yangu so naona Bora nipige chini nianze kufocus kwenye Mambo ya kujitafutia maendeleo.
  12. Wanaume tumekuwa Madini Ghali sana. Tumeanza kugombaniwa na Mademu. Natunza tu Nguvu zangu...Nitawala....

    Nikitizama huku naona mashoga wanaongezeka.... Nikigeuka kule wasio na nguvu za kiume nao wanaongezeka.... Naamka napiga pushups.. Nikicheck tena kwa mbali kule wacheza pool au wazee wakujichukulia sheria mkononi wanaongezeka....natabasamu.. Yaani unakuta kakijana kanalamba lamba lips tu kama...
  13. Nimeamua kuacha kutafuta dada poa

    Nawasalimu ndugu zangu Huu uzi ni sawa na mrejesho wa uzi wangu uliopita juu ya sintofahamu yangu kuhusu upatikanaji wa Dada poa maeneo ya Mbezi Mwisho Nawashukuru wadau walichangia, wakanielekeza machimbo. Nami nilihakikisha nafika ili nipate mbususu, basi nilifika eneo hilo Lubumbashi Bar...
  14. Mademu wa kihaya na kichaga

    Merhaba! Nikiri kutoka kwenye moyo wangu ukinimbia Nichague demu gani kutoka bara kati ya mhaya na mchaga mimi nitamchagua muhaya kutoka kwenye moyo sema tu nilikosea kuoa mchaga tu na najuta sana aisee. Mademu wa kihaya kwanza wako romantic, hawana dharau,wana heshima na wanajua sex kunako...
  15. Tujuane tuliowahi kurogwa na wapenzi wetu na tukajua baada ya kumulika

    Magreth wa Kondoa ambae uliolewa mkoani Shinyanga Kwa ndoa kabisa alinipenda akawa demu wangu nisijue historia yake, mdada mashallah kumbe Witch hatari, bana eeh kumbe amenilenga nimuoe kaelewa shoo, mi nataka shoo za mpito. Nikapata ghetto jirani na maskani yake, akataka atambulike pale...
  16. M

    Anasema hanitaki, lakini anaona wivu nikivusha wanawake wengine

    Muuza Kangala nina wakati mgumu sana. Maana huyu mwanamke ananichanganya. Kama miezi mitatu tulizinguana naye. Baada ya kizinguana naye mpaka leo anazingua kunipa puchi. Mimi nikivusha wanawake anamaindi, kuna siku nilivusha mwanamke ile nataka kuchapa nikasikia anapiga simu. Sasa hivi kila...
  17. M

    Tupia moja ya Mbinu wanayoitumia hasa Wake / Mademu za Watu wakijua Kesho wanaenda 'Kukusaliti' na Mwanaume Mwenzako....

    Nizijuazo..... 1. Usiku ukirejea atakutafutia Kosa la Makusudi ili Mgombane na apate sababu ya Kukunyima Nyuchi yake. 2. Usiku atajifanya Kuumwa ghafla na hata Kulazimisha muende Hospitali ya Karibu ila Asubuhi atakupa Mrejesho kuwa anajisikia vizuri. 3. Ukiwa nae Unakula Sebuleni au...
  18. Sababu za kisayansi kwanini Mwanaume anayevaa vizuri hung'oa wanawake wengi wakali kuliko mwenye gari

    When I was a lil bow wow (a very young boy) I was thinking just like you. Nilikuwa nafikiri kwamba ukitaka kung'oa mademu wakali lazima umiliki gari. So tangu enzi hizo dream yangu kuu ilikuwaga nikija kupata mkwanja basi kitu cha KWANZA kununua nitanunua gari ili niwa vutie mademu. But...
  19. Wanawake weusi wana joto kali sana

    Baada ya kufanya research ya kutosha Kwa kutumia sampuli zaidi ya 50 nimejiridhisha kwa 100% kuwa mademu weusi ni watamu na wana joto kali kuliko weupe. Pengine ni kwasababu ya kile tulicho fundishwa kwenye sayansi kuwa rangi nyeupe huakisi mwanga wakati nyeusi husharabu mwanga mimi sijui ila...
  20. Changamoto za wanawake wanaoweka 'bleach' kichwani

    Nilikutana na mademu kama watatu ivi wenye breach kichwani nyakati tofauti tofauti na kufanikiwa kupata utamu wa asili kiraisi mno bila ata kutumia nguvu lakin sasa kimbembe hawa mademu ni shida Ving'ang'anizi adi walikuwq wananifanya nihame mitaa na kuwa chukia tena. Mwanamke wa kwanza Uyu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…