John Magufuli became president of Tanzania on 5 November 2015 following the 2015 general election, until his death in 2021. After assuming office Magufuli asserted a strong stance against public spending, and discouraged foreign travel by senior government officials. He made his first foreign visit to Rwanda in April 2016, five months after assuming office. The following is a list of presidential trips made by John Magufuli while in office.
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) katika kutekeleza majukumu yake ya kuhamasisha Umma matumizi ya chapa ya bidhaa na huduma zinazozalishwa Tanzania, "Made in Tanzania" imeandaa banda maalum kwenye mkutano wa nchi za SADC
Banda hilo linalokutanisha wajasiriamali...
Tanzania yazinduwa Ndege zake Made in Tanzania kwa mara ya kwanza na kupatiwa Leseni ya kuruka na Mamlaka ya Anga nchini Tanzania TCAA kwa mara ya kwanza baada ya kukamilisha vigezo vyote.
Hii inahitaji kuwa basis ya national dialogue; Tanzania haijafika tu kwenye stagnation ya democracy kama wengi wanavyodhani, bali kuna other fronts ambazo ukizimulika deeply utagundua kwamba zinaanguka.
Hii tafsiri yake ni kwamba, wakati serikali yetu ikiendelea ku pump uchumi ukue kwa...
Mwanafunzi wa Mwaka wa Tatu wa Shahada ya Awali ya Sayansi katika Mifumo ya Habari za Afya (HIS) kutoka Shule Kuu ya Uuguzi na Afya ya Jamii (SoNPH), Lucas Allen Haule ameibuka Mshindi wa Kwanza wa bunifu ya Utengenezaji wa Nembo ya Made in Tanzania ambapo lilihusisha zaidi ya washiriki 80...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amezitaka wizara zinazoshughulika na biashara kutoka Tanzania Bara na Visiwani kuhakikisha kuwa wazalishaji wote wa bidhaa nchini wanatumia nembo ya “Made in Tanzania.” Lengo la hatua hiyo ni kuongeza utambulisho na...
Haya ni maneno yatakayotumika kuwakilisha bidhaa iliyozalishwa au kutengenezwa Tanzania.
Hongera Rais Mwinyi kwa kuzindua nembo hii ya kihistoria.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Itakuwa ni lazima kwa bidhaa zote kwenye mashindano ya sabasaba kuwa made in Tanzania, sio sawa hata kidogo kuchukua bidhaa China au India na kwenda kudisplay kwenye maonyesho ya sabasaba hilo sio Lengo
Na pia kwenye maonyesho ya nane iwe ni tractor lazima liwe made in Tanzania na sio assembly...
Mimi Logoriddim (JF - expert member since 2013, nimefanikiwa kufika katika 3 bora ya shindano la kutafuta nembo ya brand ya MADE IN TANZANIA. Shindano hili limeandaliwa na TanTrade.
Shindano limefikia hatua ya kupigiwa kura ili kupata nembo bora zaidi. Kura inapigwa katika app ya Instagram...
Taarifa hiyo imetolewa jana Juni 11, 2025 na Meneja wa Uhusiano kwa Umma na masoko wa Tan Trade Lucy Mbogoro jijini Dar es Salaam akiwahimiza wananchi kuchangia kwa kupiga kura kuchagua miongoni mwa alama zilizochujwa kutumika kama chapa bora ya utambulisho wa bidhaa za Tanzania
===
Mamlaka ya...
Wanabodi
https://youtu.be/OSGYViDqx8Yhttps://youtu.be/oqwZRhin8ek
https://youtu.be/EEMSp2L7MZk
Niko hapa jengo la PSSSF Golden Jubilee Hall, DSM, Wadau Sekta Nguo na Mavazi wa Kitanzania, wamewataka "Watanzania kuvaa, zilizobuniwa na wabunifu wa Kitanzania, na nguo za kushoneza zaidi, na kuvaa...
These results reflects the way things are as of today October 17, 2024.
This report provides a breakdown of medicinal products registered in Tanzania, focusing on the product categories and performance of key manufacturers. The data highlights significant trends in the production of...
Kampuni ya Airplanes Africa Limited (AAL) yenye makao yake Morogoro, imetangaza kuanza safari za ndege tatu za kwanza zilizotengenezwa Tanzania, aina ya Skyleader 600. Mkurugenzi wa AAL, Bw. David Grolig, alisema ndege moja imetua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kama sehemu...
Ili kufikia maono ya "Tanzania tunayotaka ifikapo 2040," ya kuweza kuunda vyombo vya moto nchini Tanzania serikali inaweza kuchukua hatua kadhaa za kimkakati kusaidia wabunifu wanaotengeneza helikopta kwa kutumia injini za magari na magari kwa kutumia injini za pikipiki. Hatua hizi zinapaswa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.