Mamlaka ya Kupambana na Dawa za Kulevya Zambia (DEC) imemkamata Ahmed Muharram (40), raia wa Tanzania anayetajwa kuwa mlanguzi mkubwa wa dawa za kulevya, katika oparesheni maalum jijini Lusaka.
Katika msako huo, DEC ilikamata jumla ya kilo 1,380.8 za bangi, zikiwemo kilo 221.2 zilizofichwa...