madarakani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Mwananchi kuchaguliwa viongozi

    Kwa CCM na tume yao ya uchaguzi na maadili ili iendelee kubaki madarakani kwao huu sio uhaini?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ya Tanzania tangu mwaka 1992 hadi 2025. Niya Hisani Kuomba, Kupewa na mtawala wa Ki-imla aliyopo madarakani?

    Demokrasia ya Tanzania tangu mwaka 1992 hadi 2025. Niya Hisani Kuomba, Kupewa na mtawala wa Ki-imla aliyopo madarakani?
  3. Knock life

    JamiiForums Tanzania Je uchaguzi ukifanyika 2027 , hawa wabunge na wao wataendelea kubaki madarakani ?.

    Je uchaguzi ukifanyika 2027 , hawa wabunge na wao wataendelea kubaki madarakani ?.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nimefanya tathmini ya gharama halisi ya miradi yote tangu awamu ya 6 iingie madarakani ni 8.7 tilioni tu

    Nimefanya tathimini ya miradi yote iliyofanywa na serikali ya awamu ya 6 nikapata gharama halisi ni 8.7 Tilioni. Hii inajumuisha miradi yote iliyosajiliwa chini ya tume ya mipango kwa wastani wa miradi 1300 inayojengwa kote nchini ikiwemo ile ya ufadhili na ubia. Jumla ya deni la taifa ambalo...
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Naichukia CCM ila sioni utayari wa Watanzania kuiondoa madarakani.

    Kati ya Watanzania zaidi ya millioni 60 huenda ni Watanzania laki 5 tu ndio wako tayari kuiondoa madarakani CCM, wengine wapo tu kufuata upepo. Atakayewapa kula siku ya uchaguzi huyo ndiye watampa kula. 0.0001% ya Watanzania ndio wana moja mbili tatu kuhusu Tanzania na siasa . Ila majority ya...
  6. G

    JamiiForums Tanzania SHULE ZA MSINGI ZAIDI YA 468 ZIMEJENGWA TANGU RAIS SAMIA ALIPOINGIA MADARAKANI

    Tangu kuingia madarakani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan mwaka 2021, shule za msingi mpya zaidi ya 468 zimejengwa huku vyumba vya madarasa zaidi ya 15,000 vipya vya msingi na Sekondari vimejengwa, lakini kama haitoshi kumejengwa shule za awali 1,600 ambazo...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti halmashauri Iringa anasema diwani au mbunge aliyeko madarakani, maamuzi ya CCM, ni jina lazima lirudi kugombea tena

    "Bahati nzuri Kwa Mwaka huu Kwa maamuzi ya Chama, awe mbunge awe Diwani jina lazima lirudi, yaani hapo wametusaidia sana, hapo hamna namna lazima lirudi" - Steven Mhapa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Pia soma: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
  8. Damaso

    JamiiForums Tanzania Je DPP wa Tanzania Anawajibika Kwa Watanzania au wachache waliopo Madarakani?

    Ni kitu cha kwaida kuona kuwa mfumo wa kisheria wa nchi yoyote, mchakato wa haki na uwajibikaji ni msingi muhimu wa utawala bora. Hapo ndipo tunapozungumzia, nguvu na mamlaka ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) ambayo ni sehemu ya muhimu katika kuhakikisha kuwa haki inapatikana bila upendeleo...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Africa Kusini wasipoitoa ANC madarakani mapema itakuwa kama Haiti siku moja

    Majambazi na wezi wanakwida watu, wanawapukutisha hadharani na kufanya mauaji kiholela sana kama vile hakuna kitu kinaitwa police au magereza.
  10. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Lissu na Heche achaneni na sherehe za kumtoa Mbowe madarakani. Mjue mpaka leo Soka hajapatikana nyie mnafanya tafrija

    Tunaona bado mpo mnasherekea kumtoa Mbowe madarakani. Heche kachinja ng'ombe 20 na kapikiq wakurya sefuria 68 za ubwabwa. Lissu alifanya kufuru Ikungi watu wamekunywa komoni, wameitwa watambikaji kumzindika asiguswe kwenye kiti cha chairman, ni mwendo wa sherehe back to back za kumng'oa...
  11. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hiki kizazi ndo kinachoibakiza CCM madarakani. Hukiambii kitu kikakuelewa

    Kataa ukubali Kizazi hiki ndo mtaji mkubwa sana wa Ccm. Ccm kwenye kampeni zao Huwa wanakirinda Kwa wivu mkubwa mno. Kizazi hiki kinakiambia ccm imetulea.Ccm imeleta Amani Nchi hii nk. Kizazi hiki kikiisha wanaobaki ni vijana wachache tu ambao hawajitambui Bado ndo supporters wakubwa wa ccm...
  12. Harvey Specter

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yatupilia mbali ombi la kibali cha kupeleka maombi ya kufanyia mapitio uhalali wa Makamu wa Rais, Dr. Mpango kuendelea kubaki madarakani

    Mahakama Kuu imetupilia mbali ombi la Wakili Tenzi Anthony Nyundulwa (Mleta Maombi) la kuomba kibali cha kupeleka maombi Mahakama Kuu kufanyia mapitio uhalali wa Makamu wa Rais, Dr. Philip Mpango kuendelea kubakia madarakani kufuatia taarifa za kuwasilisha barua ya kujiuzulu katika nafasi hiyo...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nchi za Ulaya nazo ziungane na Marekani kukata misaada. Ajira zikikosekana, ndio watanzania wataelewa kwanini CCM inafaa kuondolewa madarakani

    Miongoni mwa watu ambao watakuambia mimi sifuatili siasa, ni bsadhi ya hawa wenzetu wanaofanya kazi karika mashirika ya kimataifa na kulipwa hela nyingi kiasi kwamba waona siasa kwao haina maana. Mimi naomba na nchi za Ulaya nazo zisitishe misaada kama Marekani ili wote tuongee lugha moja juu...
  14. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania Siri ya kudumu kwa CCM madarakani ni nini?

    Kwa kifupi sana, naomba kujuzwa ni namna gani hiki chama kikongwe kabisa cha ukombozi barani Afrika na kama sio duniani, chenye alama ya "Jembe na Nyundo" kimeweza kuendelea kusalia madarakani mpaka leo hii February tano 2025, huku kukiwa hakuna hata chembe au dalili yoyote ya kung'olewa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA muungeni mkono Luhaga Mpina

    Huu ndio ushauri wangu kwa CHADEMA mpya chini ya Mwenyekiti, Tundu Lissu. Nakumbuka makama wake, John Heche, siku Lissu anaingia ofisini kwa mara ya kwanza, aliahid kuwa wataanza kuanika madudu mbalimbali na alitoa mfano wa uagiza wa mabehewa ya treni(kama ni mapya, yamepigwa rangi, n.k)...
  16. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Mikakati ya Kuitoa CCM madarakani ; muhimu Tundu Lissu awe Mwenyekiti

    REFORMS za Tundu Lissu endapo Atashinda; Moja, kufanya reform ya katiba ya Chadema na kuweka UKOMO wa atmost 5 years. Pili, ni kukirudisha chama kwenye HIMAYA ya wanachama. Ownership iwe kwa wanachama. Tatu, …. ni kuongeza mapato ya chama, chama kiwe na mali zake binafsi na miradi yake...
  17. The Father of All

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bila kura za Kanda ya Ziwa, CCM inaweza kubaki madarakani?

    Baada ya kifo cha Magufuli na Samia Suluhu Hassan kuanza kuachana na yule aliyemtengeneza, kumekuwa na juhudi za makusudi kwake na chama cha Mapinduzi kushikilia dola. Hata hivyo, wawili hawa wanajua kuwa bila ya kura za Kanda ya Ziwa, hakuna anayeweza kushika madaraka nchini. Tokana na...
  18. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Baada ya Syria ya Assad Je, sasa ni zamu ya Egypt ya Sisi ? Movement ya kumtoa madarakani yahofiwa kuanza

    Baada ya utawala wa Assad kuangushwa Syria, yahofiwa movement inayofuata ni ya kuondosha utawala wa Misri wa Sisi. Movement hiyo ni January 25 Revolutionaries Movement. Je, hawa wapiganaji watafanikiwa ? https://x.com/BroderickM_/status/1878204005450690640?t=mV3t7TJCfbPpIy2Ta18SXw&s=19...
  19. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania HOJA NGUMU: Kutetea FAM kuendelea kusalia madarakani ni sawa na kukiri CHADEMA ni chama kilichosheheni vilaza

    Jambo hili haliwezekani ndani na nje ya sayari yetu. Chama cha kupigania demokrasia kuwa na mtu ambaye haamini kama kuna watu wanaweza kuchukua nafasi yake Chama cha kupigania demokrasia hakiwezi kuwa na mwenyekiti mmoja kwa miaka zaidi ya 20 Kwa sisi watu wenye akili kidogo tafsiri ya hili...
  20. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi, ni kwanini Mbowe anatumia nguvu kubwa kubaki madarakani?

    Wasalaam Inashangaza sana kuona mtu mzima bwana Mbowe anatumia nguvu kubwa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA ili hali wanaCHADEMA wamemkataa na wanataka mabadiliko ndani ya chama na nchi kwa ujumla. Iko wazi kabisa Mbowe anashirikiana na maCCM kuhakikisha anaendelea kuwa madarakani na kuendelea...
Back
Top Bottom