madaraka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Rais Samia amefanya vizuri ndani ya miezi saba madarakani

    Oktoba 19 imetimia miezi saba tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie madarakani kuliongoza Taifa hili. Kuna mengi ameyafanya vizuri sana, na mengine hakufanya kwa usahihi, lakini kutokana na kwamba siku ya sherehe hatafuti sababu ya kuhuzunika, basi leo nitandike jamvi nimsifu kwa machache. Mimi...
  2. F

    Mzee Loy Ole Sabaya aliwahi kuwa DC Kama kijana wake. Alimsomesha mwanaye nchini Marekani. Ushamba wa madaraka kautoa wapi?

    Ktk uchunguzi wangu nimebaini kuwa baba mzazi wa Lengai Ole Sabaya Mzee Loy Ole Sabaya aliwahi kushika nafasi mbalimbali serikalini ikiwa ni pamoja na UDC. Pia nimekuja kugundua Sabaya alipata elimu yake nchini Marekani. Sasa Cha kujiuliza mbona watoto wa viongozi wastaafu ni waadilifu? Mbona...
  3. CHADEMA si chama cha wananchi, ni kikundi tu cha watu wanaotaka kushika madaraka

    Hiki chama ni kundi tu la watu wanaotaka madaraka. Ukiangalia ugomvi wao wote na dola, kelele zao zote karibu asilimia 90 vinahusu wao kuingia madarakani. Huwezi kuta CHADEMA wanaingia matatani na vyombo vya dola kisa walikusanyika kutetea wakulima wanaonyonywa na vyama vya ushirika...
  4. Tunisia: Wananchi waandamana kupiga Rais Saeid kushikilia madaraka

    Waandamanaji wamekusanyika katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Tunis, kupinga Rais Kais Saied kushikilia Madaraka Ni maandamano ya kwanza tangu Kiongozi huyo Mkuu wa Nchi kutangaza kumfuta kazi Waziri Mkuu na kusitisha shughuli za Bunge Julai 25 Rais Saeid bado hajafanya uteuzi wa Waziri Mkuu au...
  5. Viongozi wafuatao washitakiwe, aidha wako kwenye madaraka au wamestaafu

    Habari, Kama taifa ni vyema tukaishi kwa misimamo thabiti. Ni vizuri tukaanza kuwajibishana bila kuoneana aibu ili kuleta fundisho kwa vizazi vya sasa na vile vinavyokuja. Napendekeza viongozi wafuatao washitakiwe haraka, maana wamelitia taifa hasara. 1. Waziri wa maliasili na katibu mkuu wa...
  6. Somalia: Rais amuondolea madaraka Waziri Mkuu kwa madai amekiuka Katiba

    Rais Mohamed Abdullahi Mohamed amemuondolea Waziri Mkuu, Mohammed Hussein Roble, Madaraka ya kuajiri na kufukuza kazi Watumishi akidai Kiongozi huyo amekiuka Katiba. Amesema kusitishwa kwa madaraka ya Waziri Mkuu kutaendelea hadi baada ya kumalizika Uchaguzi. Kitendo hicho kinaendelea...
  7. B

    Tupiganie Katiba Mpya: Madaraka Matamu Wachonga Mzinga ni kama Wote

    Amesikika Samia Suluhu Hassan akisema hatuna rais mwanamke. Akiendelea kasema rais mwanamke tutamweka 2025. Amesema huyu tunayemwona sasa kaingia kwa kudra za Mola tu. Ni wazi kuwa mheshimiwa huyu kesha nogewa kama mwonja asali vile. Tamaa yake iko sasa kwenye kuendelea kuwa rais 2025. Hii...
  8. Utamu wa vyombo vya Dola kuonjeshwa ladha ya madaraka matamu ya kisiasa

    Wadau nawasalimu wote Kila mmoja kwa imani na itikadi yake. Baada ya salamu napenda kujikita katika kufafanua mada Kama kichwa Cha uzi kinavyojieleza. Wote Ni mashahidi katika awamu ya tano tuliona jinsi vyombo vya Dola hasa tiss na polisi vilivyotumika kumlinda RAISI magufuli hasa...
  9. S

    Posho za Madaraka kwa Watendaji wa Kata: Wakurugenzi wamemdharau Waziri Ummy?

    Ni takribani miezi miwili na nusu tangu Bunge letu tukufu la Jamhuri ya Muungano liliopotisha Bajeti kuu ya Serikali ya mwaka 2021/2022 ambapo na mambo mengine lilipisha watendaji wa kata kulipwa posho za madaraka na Halmashauri na malipo hayo yakawekwa kwenye mabaadiliko (Ammendement) ya...
  10. T

    Viongozi wa kisiasa mnaua vipaji na viongozi vijana vijana kwa matumbo yenu na ulafi wa madaraka

    Naandika kwa uchungu na kwa hisia thread hii nikiwanyooshea kidole viongozi wa kisiasa kuuwa ndoto na vipaji vya vijana wanao taka kuibuka ktk siasa. Hii sio sawa na haikubaliki moja ya sifa ya kiongozi bora ni yule anajuwa anatakiwa kuandaa kundi vijana kwa ajili yalushika nafasi nyeti za...
  11. P

    Rais Samia Suluhu tumia madaraka yako mwachie huru Mbowe

    Kwa heshima kubwa Mheshimiwa Rais SSH nawasilisha kwako ombi maalum kwamba, kwa mamlaka uliyo nayo na kwa kutumia ofisi zilizopo kikatiba mwachie huru Ndg. Freeman Aikael Mbowe. Hoja yangu naijenga katika misingi ya kuliponya Taifa na majeraha ya chuki na kutokuelewana. Mhe. Rais nakariri...
  12. Gerson Msigwa amelewa madaraka, anadhani kila mwananchi ana kipato kama chake

    "Kumekuwa na malalamiko ya vifurushi vimepanda, lakini niwaambie sisi ni kati ya nchi 5 Afrika zenye gharama za chini za bando, ziko baadhi ya nchi za Ulaya ambazo gharama zake ni kubwa, ninafahamu iko nchi ambayo unanunua GB 1 kwa Dola 15"- @MsigwaGerson #MsemajiWaSerikaliPress...
  13. Madaraka ni dhamana ya muda mfupi sana, kutoka kupigiwa magoti hadi kusindikizwa nje ya Ikulu

    Rais wa zamani wa Zambia Edgar Lungu anatajwa kuwa miongoni mwa viongozi wa kiafrika waliopenda kuabudiwa , ilifikia hadi Mawaziri kumpigia Magoti . Picha ya Chini akisindikizwa kuondoka Ikulu baada ya kukataliwa na wananchi kwenye sanduku la kura Kwenye maisha ya kila siku tunapaswa...
  14. B

    Wenye madaraka na mamlaka tendeni haki

    Haya yanayozungumzwa juu ya ukosefu wa haki yanatia doa na dosari nchi yetu. Jeshi la polisi limekuwa ni mtuhimiwa namba moja kwa ajili ya uonevu. Ipo mifano hai huko barabarani jinsi rushwa ilivyotamalaki. Lakini pia kuna vituo km Oysterbay na Central DSM, kule wamejaza mali za watu kama...
  15. CCM ni kama ndio wenye uchu wa madaraka

    Habarini wapendwa wadau wa jf. Kiukweli kabasa chama Cha ccm kwa Sasa nchini mwetu kimegeuka kero na kinatia hasira Sana kwa maneno na matendo yao, chama hiki hakijali Tena haki za watanzania walioupande wa upinzani unafikiri Hawa si watanzania, hasa linapokuja swala la madaraka wanaona wao...
  16. R

    Mbinu 10 zinazotumiwa na CCM kulinda madaraka

    1. Kesi za kubumba kama vile ugaidi, uhaini, kukamatwa na madawa ya kulevya, uhujumu uchumi n.k. 2. Kufunga watu bila kesi zenye mashiko (detention without trial - kumbuka mashehe wa Zanzibar); 3. Makosa ya mtandaoni na faini kubwa kubwa. TCRA ni agent wao mkubwa wa ukandamizaji. 4. Kutangaza...
  17. Mgawanyo wa Mamlaka: Ni sahihi IGP kuthibitisha usalama wa Chanjo, Tiba au dawa fulani?

    Nikiacha tamko la IGP kuwa tuwapuuze wale wanaopinga kuchanjwa Covid ambao Mh. Waziri wa Afya amewaita Vibwetere, Azim Dewji akiwashambulia kuwa wanaingilia fani zao na kwenda Mbali zaidi kwa UVCCM na baadhi ya wabunge kuwashambulia kwa maneno mbalimbali. Sitaki kuwauliz hawa wote kuwa miaka ya...
  18. Bunge, Katiba, Madaraka

    Wasalaam Bunge Ili uwe mbunge lazima uwe mwanachama wa chama cha siasa,chama kina kupa dhamana,kama sivyo basi itokee utashi wa Raisi akuteue!!.. Mfumo wa Bunge letu na wabunge wenyewe ni tishio kama siyo kichekesho!!..hakuna sheria wanazotunga kwaajili ya serikali na wananchi na siyo...
  19. CCM kuondoka Madarakani siku zake inahesabika

    Kila nikimtazama mambo yanayoendelea kwa mfano hili la kukataa katiba mpya wazi wazi tena bila sababu za msingi, ni wazi kabisa kua chama hakiko mbali kuondoka ni suala la muda tu. Huwezi kukana mwongozo wa kitaifa ambao unajua kabisa moyoni mwako mazingira ya sasa yanaendani na mwongozo...
  20. M

    Nafasi za madaraka elimu

    Mwenye kujua hizi nafasi za kimadaraka mfano afisa elimu au kuwa mkaguzi wa shule huwa zinapatikanaje
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…