machinga

For the town in Malawi, see Machinga, Malawi. For the district of Malawi, see Machinga District.The Machinga are an ethnic and linguistic group based in Lindi Region on the southern Indian Ocean coast of Tanzania. In 1987 the Machinga population was estimated to be 36,000 people.

View More On Wikipedia.org
  1. Ushauri kwa Wanaotetea Machinga: Poleni sana, Mlishindwa kufanya kipindi chenu kwa kukosa maarifa! Tulieni wenye maarifa wawaoneshe inavyofanyika

    Huu ujumbe umwendee Humphrey Polepole, wenye chuki wote na Mama Samia wakiongozwa na kile kikundi kilichotaka kuigeuza Tanzania nchi ya kikabila na kikanda! Kwanza poleni sana! Naona mnateseka sana pale Mama Samia anapofanikiwa jambo! Mnajaribu kuzua mambo juu ya mambo ili kumtingisha Mama wa...
  2. U

    Machinga ni yupi?

    Machinga ni yupi? Nimeanza na swali baada ya kuona post ya mdau akielezea athari za kiuchumi baada ya machinga kuondolewa katikati ya jiji na mikoa mengi au hapa miweke sawa kwa lugha ya Rais wetu kuwapanga wamachinga toka sehemu isiyo kuwa rasmi kuwapeleka sehemu rasmi sasa hapo kutokana na...
  3. Gharama za kuwaondoa machinga zibebwe na viongozi wa mitaa

    Kasi ya kuwahudumia wananchi kutatua kero zao inapungua kutokana na rasilimali watu, fedha, vifaa na muda kuelekezwa kwenye kitatua shida ambazo zimezalishwa na viongozi tuliowapa madaraka na kuwalipa kwa Kodi zetu. Wakati mmachinga wa kwanza anaanza kuweka biashara sehemu isiyo sahihi viongozi...
  4. Machinga waandamana Mwanza leo

    Mytake: Hakika Magufuli asingeruhusu watanzania wa hali ya chini kunyanyasika ndani ya nchi yao. Tupo zama hatari sana kwa wasio na pesa.
  5. B

    Ni fedhea Viongozi wa CCM kuandaa zoom meeting kuwajadili machinga. Ni Machinga gani ana muda wakuingia zoom kushiriki mjadala?

    Nimeana Zungu na wengine wameitisha mkutano kupitia Zoom kujadili kadhia ya machinga kuondolewa baadhi ya maeneo kwa lengo lakutaftiwa maeneo mengine. Swali ninalotaka kujiuliza, hiki kiburi cha hawa viongozi kwenda Zoom kuwajadili machinga wanakitoa wapi? Kwamba walishindwa kuwatetea Bungeni...
  6. Tusinunue bidhaa za machinga kwenye maeneo yasiyoruhusiwa

    Tuachane na wale wanaotaka jambo la kuwapnag machinga liende vibaya kwa maelngo yao ya kisiasa. Ni lazima miji yetu ipangike, kila mtu afanye biashara kwa ustaarabu. Tuisaidie serikali ya Rais Samia kufanikisha jambo hili kwa kuacha kununua bidhaa za machinga wanaokaa kwenye maeneo ambayo...
  7. D

    Kongole kwenu viongozi kwa hili; Walichokuwa wanakifanya machinga ni utapeli, uchafuzi na kero

    Naomba kutoa pongezi zangu za dhati kabisa kwa viongozi wote walioratibu zoezi hili la kuondoa machinga katika maeneo yasiyofaa! Ni nadra sana kuona zoezi linafanyika kwa hekima kubwa kama hili! Pasipo unafiki busara kama hii imekua adimu kwa mda mrefu sana! Hakuna asiyejua kwamba tatizo la...
  8. RC Makalla: Machinga wakirudi maeneo waliyohamishwa, nitakuwa sitoshi kwenye nafasi yangu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amewataka watendaji wa mitaa kulinda maeneo yao, kuhakikisha wamachinga waliohamishwa hawarudi tena maeneo hayo, wakikuta kibanda watajua watendaji wanahusika. Amesema wamachinga wakirudi katika maeneo waliyohamisha itamaanisha yeye hatoshi kwenye...
  9. Machache haya yataiokoa Serikali na Machinga wake

    MACHACHE HAYA YATAIOKOA SERIKALI NA MACHINGA WAKE. Anaandika, Robert Heriel Awamu ya tano ilisitisha Ajira za kila mwaka, ilikuwa awamu ambayo serikali ilipunguza kuajiri Kwa Asilimia kubwa Hali iliyoleta Malalamiko Kwa wasomi waliohitimu vyuoni. Katika kutatua changamoto hiyo ya Ajira, ndipo...
  10. K

    Machinga warudi mikoani wakalime,kilimo hiki kinalipa

    Nimewasikia wafanyabiashara wa kariakoo wakipendekeza serikali iwarejeshe machinga vijijini wakalime. Nimewasikia wanasiasa wakiunga mkono hoja hii wakidai endapo vijana watajiajiri kwenye kilimo maisha yatakuwa mazuri kwao na familia zao. Niliposikia kauli hizi nikajiuliza machinga ni wakina...
  11. Kwa Mara ya Kwanza nimeona Mafanikio ya Serikali kwenye suala la Machinga, Hongera Serikali ya Awamu ya Sita

    Amani iwe nanyi wanabodi! Wakati Mama Samia anatangaza mkakati wake wa kuwapanga upya machinga kwenye maeneo mbalimbali, nilibarikiwa kuwa mmoja wa watu wa mwanzo kabisa kutoa ushauri wangu humu! Ushauri huu niliutoa kwenye Thread hii hapa chini...
  12. Unawezaje kumtoa machinga katikati ya mji halafu akakae nje ya mji?

    Nimekuwa nikifuatilia sakata la kuondolewa wamachinga katikati ya miji ili kuwapeleka maeneo maalum pembezoni ya mji. Ni hadithi inayonifanya kucheka sana kila nikiisikia. Kwanza ni jambo lisilowezekana kwa 90% na pili ni hadithi inayojirudia mara kwa mara. Serikali inaweza kuwaondoa wamachinga...
  13. M

    Nilivunja kimdoli cha kibata kando ya barabara nikapigwa kwenzi

    Sisemi vibaya! Ila hawa ndugu zetu ni wababe sana kwa watembea kwa miguu! Majuzi juzi tu natoka Msimbazi napita kando ya barabara nakumbuka kulikuwa na mdada anauza korosho na karanga, kwa mbele kidogo kulikuwa na mauzo ya kapeti ya mnada! Kumbe lile kapeti kwa mbele bwana kuna jamaa anauza...
  14. Wanaowatetea machinga kuondolewa maeneo yasiyo rasmi kwa biashara wana uelewa mdogo

    Kila kitu kina mpangilio katika maisha.. Huwezi kufanya kinyume na mpangilio na ukijaribu kufanya hivyo matokeo yake ni zogo na kupaganyika. Kwenye hili la machinga lilikosa mpangilio..Na likafugwa na wanasiasa kwa maslahi binafsi ya kisiasa.. Sasa kama tumeamua kurudi kwenye mpangilio lawama...
  15. Utatuzi wa wamachinga ilikuwa ni kuwatoza kodi. Hiyo ndo ingeleta Win-Win kwa machinga na Serikali

    Niliwahi kuleta uzi wangu hapa kuhusu hili suala mwezi August, kwenye stories of change kwa lengo la kutoa ushauri kwa serikali wa namna bora ya kukabiliana na hili suala...
  16. Viongozi wa machinga Dar wakumbana na vurugu wakiwapanga wenzao

    Viongozi wa Machinga Dar es Salaam walijitolea kuwapaga wamachinga wenzao wa Msimbazi, Kariakoo ili kutii amri ya Serikali ya kutofanya biashara maeneo yasiyo rasmi. Baadhi ya machinga wameonesha upinzani kiasi cha kuzua vurugu ambapo polisi walilazimika kuingilia kati ili kuwaokoa viongozi...
  17. Huwenda hizi ndizo zama za mwisho kwa CCM kuiongoza Tanzania, nikitafakari kifo cha Rais John Magufuli na hili la Machinga nafsi yangu inaniambia kitu

    Kwa mambo hayo mawili naiona Tanzania mpya ikija kwa kasi ya ajabu, na tuelewe ya kwamba watu wa chini kama hawa machinga ndio wamekuwa chachu ya kuleta mabadiliko katika nchi za wengine. Tujaribu kukumbuka kilichotokea tunisia december 17/12/2020 baada ya machinga anayeitwa “Mohamed Bouazizi”...
  18. B

    Viongozi walewale waliopongeza machinga kupewa Uhuru ni haohao Wana bomoabomoa,Je, tutamkumbuka?

    Kuna watu ndani ya mfumo wa Serikali na chama Tawala wameshaona wananchi si kitu. Leo wakisikia mtu mmoja kasema funga wanasifia, kesho wakisikia fungia wanaendelea kupiga makofi. Watu wa aina hii wameqafanya wananchi kukosa dira na mwelekeo kwa sababu leo wanawaambia wananchi kaeni hapa na...
  19. K

    Baada Ya 'Machinga' Kukiona cha Mtema Kuni..! Bodaboda Wa Mjini Kati Kaeni Chonjo

    Wahenga Wana msemo Wao... 'Mwenzio Akinyolewa Wewe chako Tia Maji'. Tamko la Kuondolewa Machinga Likiendelea kwa Kasi huku Mabanda Sehemu Mbalimbali Yakiendelea Kuvunjwa Jijini Dar Kwa Mzee Amos Makalla. Ni Vema Bodaboda wa mjini Kati Wajiandae Kisaikolojia maana Chochote Kinaweza Kutokea...
  20. Uzazi wa mpango ni suluhu ya matatizo mengi ikiwemo umachinga uliokithiri

    Binadamu yoyote tofauti na wanyama ili aweze kukua vizuri, apate maendeleo na astawi anahitaji msaada, uangalizi na muongozo wa muda mrefu wa wazazi, familia, ndugu, marafiki, majirani na Serikali. Anahitaji apatiwe chakula bora, mavazi bora, makazi, na elimu bora tangu akiwa mdogo hadi angalau...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…