machine

A machine (or mechanical device) is a mechanical structure that uses power to apply forces and control movement to perform an intended action. Machines can be driven by animals and people, by natural forces such as wind and water, and by chemical, thermal, or electrical power, and include a system of mechanisms that shape the actuator input to achieve a specific application of output forces and movement. They can also include computers and sensors that monitor performance and plan movement, often called mechanical systems.
Renaissance natural philosophers identified six simple machines which were the elementary devices that put a load into motion, and calculated the ratio of output force to input force, known today as mechanical advantage.Modern machines are complex systems that consist of structural elements, mechanisms and control components and include interfaces for convenient use. Examples include a wide range of vehicles, such as automobiles, boats and airplanes, appliances in the home and office, including computers, building air handling and water handling systems, as well as farm machinery, machine tools and factory automation systems and robots.

View More On Wikipedia.org
  1. let the caged bird sings

    Guardiola the machine

    Absolutely amazing scenes at the Etihad. Last time I saw this was at the same Etihad in 2012 And yesterday I couldn't resist my tears after observing Gudiola in tears. Actually it was my first time to see This Spanish dude in that situation. And then where are they those morons used to...
  2. J

    photocopy machine nzuri

    naomba kujua photocopy machine( black and white) all in one nzuri ambayo ni heavy duty kwa stationery ya kuanzia m1 to m3 used but in good condition
  3. Cordy bnei shirk

    INAUZWA Brand new ice cream machine

    2 Tanks (6litre each) 2,499,000Tsh 0673206639 Tupo kariakoo, Aggrey street.
  4. V

    INAUZWA Blood Pressure machine for sale

    Nauza digital blood pressure machine iko katika hali nzuri sana. Bei sh 140000.00 mazungumzo yako. Punguza gharama za kwenda kucheck BP kwenye clinic .simu 0712652110
  5. h120

    Uzi maalumu wa Co2 laser engraving machine, ushauri, msaada, vipuri, utengenezaji

    Kwa wale wote wanaomiliki au ku operate machine tajwa hapo juu, basi karibuni sana nimefungua uzi huu mahsusi kabisa kuwakutanisha watumiaji wa machine hizo, lengo ni kukabiliana na changamoto mbalimbali kwenye uendeshaji na utunzaji wa hizo machines. Kuna baadhi ya watu waliagiza machine hizo...
  6. Neyahoo

    Perpetual motion machine

    Perpetual motion machine; can we create one Katika pitapita zangu kwenye vitabu namekutana na hiki kitu perpetual motion, ambacho wanadai mpaka saiv ni theoritical Yan haiwezekan practically coz inaviolet some laws of physics. But nkajiuliza are there already laws which are set for everything on...
  7. Esokoni

    INAUZWA Jiunge na Dirm VFD uokoe 50% ya EFD machine, ni bora, salama kisasa zaidi

    HABARI NJEMA... katika kipindi hiki cha kufunga na kuanza mwaka mpya, na kufanyiwa makadilio ya kodi za TRA, ninayo furaha kubwa kukujuza wewe Mfanyabiashara kuwa unaweza kuokoa mpaka 50% ya garama za kununua mashine za EFD endapo utajiunga na mfumo wa Dirm VFD ambao ni mbadala wa EFD machine...
  8. polokwane

    Rais Samia, baada ya madarasa kituo kinachofuata kiwe vifaa tiba vya msingi kama mashine za Ultrasound, Haematology, Analyserachine na X-ray

    Kukosekana kwa vifaa hivi kwenye vituo vya afya vingi imekuwa changamoto kubwa kwa matibabu Ushauri baada ya kufanya vizur kwenye madarasa sasa nguvu ihamishie huko pia kuna vituo vingi vikubwa vya afya vyenye hadhi ya kuwa na vipimo hivyo lakini havina hali inayo pelekea wangonjwa kusafiri 20...
  9. JAMBONIA LTD

    Calculations za VAT kupitia EFD machine

    Habari wakuu! Naomba kuelimishwa kidogo, nataka kufanya biashara na Supermarket moja hapa jijini Dar, wameahidi kuchukua mzigo mkubwa iwapo ntakuwa namiliki risiti za EFD kwaajili ya VAT. Kwa lengo wakati nawauzia basi niwatolee hiyo electronic receipt. Sasa naomba ushauri je kumiliki hicho...
  10. T

    Natafuta machine mpya ya kutengeneza juice ya miwa

    Habari ya mwaka mpya wakuu, mwaka wa 2022. nawatakia kila la heri yote, sasa natafuta machine ya kutengeneza juice ya miwa, machine mpya, ni wapi naweza inunua au ni wapi naweza enda kuangiza moja, nasikia hata VETA wanauda machine aa hizo, naomba ushauri wenu waku, natangulia shukrani zangu
  11. Matata25

    INAUZWA Nauza Printer Epson L805 na Photocopy machine Ricoh MP 2000 L2

    Nauza Printer Epson L805 imetumika mwaka mmoja tu. Inaprint sticker na picture vizuri na haibaguwi karatasi. Pia inaprint CD. Printer hii haina tatizo lolote kabisa. Inapatikana Mwanza Nyamagana Barabara ya Balewa karibu na Nyanza Shule ya Msingi. Bei ni 350,000 Tsh. Picture zake ziko chini...
  12. N

    INAUZWA Mashine ya kuhesabia hela (Money counter machine)

    Mashine ya kuhesabia Hela bei ya offer 330,000/= Free delivery Condition: New Tupigie 0745146690 / 0656190449 Ofisi yetu ipo Kinondoni Studio CHRISTMAS OFFER
  13. Ritchy Breezy

    Nahitaji ps4 machine

    Hello.. nina hitaji ps4 used,mwenye ako nayo au kuuza nicheki kwa 0622902768 mhusika awe mwanza..nipo mwanza pia.
  14. No SQL

    INAUZWA Water Pump,Printer,samsung Note 9, Bati Alaf na washing Machine

    Water pump Leo =300k Printer canon na Hp=200k Canon: inahitaji toner Hp: printhead imekufa Samsung note 9=400k Washing machine( von hotpoint 10kg) = 50k Washing machine: upande wa ku spin haufany kazi Bati alaf la kigae gage 28 zipo 15pcs= 800k Mazungumzo yapo..
  15. M

    7 Important reasons why Smart and intelligent people talk less

    Most smart people prefer to be quiet for the following reasons: 1. Most of them are generally introverted. The brightest people are generally introverted. a strong correlation between intelligence and introversion. This is not to say that the brightest people are always introverts or that...
  16. kyagata

    Wife anataka kunigeuza sex machine

    Oya, hivi kwa week inatakiwa kugegedana mara ngapi coz naona wife anataka kunifanya kuwa sex machine yake? Yaani kila akigeuka tu anataka mpini hajui kuwa me nakuwa nimechoka sometimes. Nifanyaje ili kumpunguza speed?
  17. D

    Urine Chemistry Analyzer AX-1688 Machine inauzwa.

    Hii machine inapima mkojo maabara ni ya kisasa inatumia strips ambazo zimeundwa kwaajili ya hii machine ( strips za machine moja haziingiliani na machine nyingine kama manufacturers ni tofauti) inaprint majibu hapo hapo, hahitumii muda mwingi ukilinganisha na toleo la zamani. Ni nzuri na imara...
  18. D

    Urine Chemistry Analyzer AX-1688 Machine inauzwa

    Hii machine inapima mkojo maabara ni ya kisasa inatumia strips ambazo zimeundwa kwaajili ya hii machine ( strips za machine moja haziingiliani na machine nyingine kama manufacturers ni tofauti) inaprint majibu hapo hapo, hahitumii muda mwingi ukilinganisha na toleo la zamani. Ni nzuri na imara...
  19. D

    Urine Analyzer Machine inauzwa AX-1688 from German

    Hii machine inapima mkojo maabara ni ya kisasa inatumia strips ambazo zimeundwa kwaajili ya hii machine (strips za machine moja haziingiliani na machine nyingine kama manufacturers ni tofauti) inaprint majibu hapo hapo, hahitumii muda mwingi ukilinganisha na toleo la zamani. Ni nzuri na imara...
Back
Top Bottom