Nimekuwa nikifuatilia taarifa mbalimbali mitandaoni hadi sasa nimegundua kuwa taarifa inayofatiliwa kwa kiwango kikubwa ni kesi ya mchongo aliyobambikiwa Jabali la siasa ambapo hata machawa wameipa kipaumbele, sasa swali langu ni je hawa machawa wamemtelekeza mama yao aliyepatwa msiba wa baba...