machafuko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Katambi: Machafuko na uhalifu unaoendelea leo duniani unatokana na mmomonyoko wa maadili

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema hayo leo Machi 16, 2026 wakati akiwatunuku zawadi Wakaguzi na Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza na Idara ya Uhamiaji waliofanya vizuri zaidi katika utendaji kazi.
  2. N

    Serikali, alikeni Emirates, Qatar Airways waweke temporary Hub JNIA wakati huu wa machafuko

    Ushauri wa bure kwa serikali, Ndege nyingi za mashirika ya Uarabuni zimepaki na zinakula hasara kutokana na vita vinavyoendelea, kwa nini msiondoe kodi zenu zenye utitiri mwingi na transit visa fees kisha kualika makampuni haya yaweke hub ya muda hapa Julius Nyerere International Airport? Tuna...
  3. Mhafidhina07

    Machafuko ya Disemba 9 hayana sura ya Kisiasa bali ni chuki ya Mihemko ya kidini

    Naamu Hakuna Msiba unaokosa Matanga na ukiona Moshi ujue kuna Moto Utawaka au Umewaka. Bado Watanzania tupo katika Majonzi ya Ndugu zetu waliopata Maafa ya D29 ambapo ni masikitiko makubwa yanatokana na dhamira ya watu wachache kujitafutia umaarufu na Kujilimbikizia Mali kupitia Majukwaa...
  4. Sifi Leo

    Kwa kauli ya Mh SPIKA Zungu, Kuna uwezekano Mama yake na zungu alikimbia machafuko uko South Africa akiwa na ujauzito wa Zungu je huyu ni Raia?

    Kwenye ibada ya KUMWAGA Jenista Mhagama, Mh Zungu alipewa nafasi ya kutoa shukurani kwa MH RAIS dhidi ya mchango wake kwa msiba ule, Akiwa mbele ya waombolezaji zungu alieleza jinsi alivyowai kuuliza na Hayati jenista mhagama, alivyowai muuliza dhidi ya Jina la zungu yakuwa alilipata wapi...
  5. Mikopo Consultant

    PostGE2025 Bila maandamano kuundiwa sheria na muongozo; basi tutegemee machafuko kutokea kila yakitokea maandamano

    Kuyaruhusu na kuyarahisisha maandamano, ndo mbinu nzuri ya kuzuia machafuko yanayotokana na maandamano. Maandamano yakifanywa kuwa kitu cha kawaida kwa watanzania; basi ustaarabu wa kuandamana utajengeka kwa watanzania; kwa makundi mbalimbali kwenye jamii (wafanyakazi, wanafunzi, wazee, vijana...
  6. M

    PostGE2025 Ni nani katoa kibali kwa hii website kutengenezwa inayoonyesha picha na videos zaidi ya 600 za machafuko?

    Idara zetu zipo makini kweli ? nani katoa kibali kuruhusu website hii inayozagaa kwenye magroup kupewa ruhusa ya kuwekwa kwenye serva ? Pia kuna sehemu ya kurekodi majina, tuna uhakika gani hayo majina ni ya kweli na si ya kutunga ? https://tanzaniamassacre.org/Massacre Hii sio sawa...
  7. F

    Kanisa Katoliki lilikuwa na lengo la kuleta machafuko nchini DRC

    Katika Historia inaonyesha Kanisa Katoliki ni jadi yao kuchokonoa akiwepo Rais wasiyemtaka au akishinda wasoyemtaka. Hii sio Tanzania au DRC tu. Hata Rwanda mauaji ya 1994 vivyo hivyo. Kanisa Katoliki lilikua na lengo la kuleta machafuko nchini DRC kwa kutaka kumtangaza muumini wao.
  8. Pakome

    Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka

    Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka Tanzania ni Taifa bora sana duniani hasa pale linapolinganishwa kinidhamu, watu wake ni wapole na wakaribu na hii ndiyo sifa kubwa tuliyo nayo...
  9. Idugunde

    PostGE2025 Kurejesha na kulinda heshima ya Taifa letu Rais Samia ajiuzulu, uchaguzi urudiwe tukiwa na Katiba mpya

    Taifa letu limechafuka. Sio tu kuwa limepata doa kama yeye mwenyewe rais Samia alivyosema bali limechafuka. Anaonekana kuwa sio rais halali na ameingia madarakani kwa mtutu wa Bunduki kwa kumwaga damu za raia wasiomtaka kuwa kiongozi wao. Waangalizi toka jumuia ya SADC waliweka wazi kuwa...
  10. M

    PostGE2025 Gerson Msigwa: Vyombo vya habari vya nje vimechapisha na kutangaza taarifa za upande mmoja na kupotosha kuhusu machafuko wakati wa uchaguzi

    Msemaji Mkuu wa Serikali amedai kuwa Vyombo vya habari vya nje vimeandika habari ya upande mmoja kuhusu machafuko wakati wa uchaguzi "Kumejitokeza wimbi kubwa la vyombo vya habari hasa vyombo vya habari vya nje kuchapisha na kutangaza habari ambazo ni za upande mmoja na wakati mwingine kufanya...
  11. H

    Maneno yanayotamkwa na mashehe yanahamasisha machafuko nchini lakini hawachukuliwi hatua kwasababu tu wanawatetea CCM

    Kama Taifa tumefikia hatua mbaya ni Kama vile hatuna kiongozi kwa huyo kila mtu anajikuta kambale wanaongea chochote wanachojisikia. Hawa wanajiita waadhiri wa kiislamu kwa kweli kauli walizotoa si za kiungwana zinahamasisha machafuko ya kidini na mgawanyo wa kijamii lakini hakuna hatua...
  12. ELI COHEN

    Ogopa sana hii connection inayoendana sambamba kuleta machafuko na taharuki duniani. "UKOMNONISTI-MLENGWA WA KUSHOTO-ITIKADI KALI"

    Kila muoneaji na mkandamizaji hapa duniani ni rafiki mkubwa wa china na urusi na analindwa kimaslahi na wao. Kila machafuko yanayotokea dunia kwa asilimia kubwa yanafadhiria na syndicates za kutoka mashariki ya kati. Liberals sasa Wameona vitabu vya kishoga vimepigwa marafuku, sasa wameanza...
  13. K

    Watanzania wengi bado hawana uelewa wa kujikinga na machafuko

    Chiefs heshima kwenu... 1 Poleni sana kwa kila mmoja aliyeguswa kwa namna moja ama nyingine kutokana na shughuri ya ukombozi wa taifa lenu wenyewe. 2 Nikiri kuwa kuna idadi kubwa ya waliopoteza maisha huku wakiwa si washiriki wa maandamano. 3 Pamoja na hayo ,nimegundua watu wengi hawana...
  14. President of China

    Siri ilyiojificha nyuma ya nafasi ya Kenya katika kuchochea machafuko nchini Tanzania chini ya kishawishi cha kupigania demokrasia

    Na Dkt. Geus Mbadika Nyaisanga Dar es Salaam, Tanzania Uchaguzi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliofanyika tarehe 29 Oktoba 2025 uliandika ukurasa mwingine muhimu katika safari ya kidemokrasia ya nchi tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992. Mamilioni ya Watanzania...
  15. THE BIG SHOW

    Hongera sana serikali kwa kuanzisha mkakati wa kuwasaka vinara wa machafuko

    Friends and Our Enemies... La mgambo limeliaaa,La mgambo limeliaa.. Serikali sasa imetangaza msako,dhidi ya wale wezi,walanguzi,wahaini na wanaohujumu miundombinu ya taifaa... Lilikuwa ni suala la muda tuh kabla ya mkono wa sheria kuwafikia hawa vibaka na wahamasishaji wao wa fujo na wizi kwa...
  16. Pulchra Animo

    Orodha ya Wasaliti Wakuu Wa Taifa la Tanzania Waliolitumbukiza Kwenye Machafuko ya Mwaka 2025!

    Kwa maoni yangu, wafuatao ndio wasaliti wakuu waliolitumbukiza taifa letu kwenye machafuko lililomo hivi sasa. Wapo wengi, lakini mchango wa hawa ndio mkubwa zaidi. 1. Jakaya Mrisho Kikwete 2. Samia Suluhu Hassan 3. Hamza Johari (Attorney General) 4. Francis Mutungi (Msajili, Vyama Vya Siasa)...
  17. M

    John Heche akamatwa akiwa Mahakama Kuu akijiandaa kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu

    Makamu Mwenyekiti Bara wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) John Heche mapema leo asubuhi amekamatwa na jeshi la Polisi Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, alipofika kwa ajili ya kufuatilia shauri la uhaini linalomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu. Pia soma > John...
  18. October 2pm

    Kuna majitu yanataka machafuko wakati hata chakula hayana ndani. Tutayashughulikia

    Wanahamasisha machafuko. Yanachochea kila saa huko mitandaoni. Yanataman nchi ichafuke. Ng'oo tutayashughulikia. Na bado
  19. Just Pray

    GE2025 Bashungwa: Hakuna chama zaidi ya CCM chenye uzoefu wa kuongoza nchi yetu bila kuingia kwenye machafuko ya kivita

    Mgombea ubunge wa Karagwe, Innocent Bashungwa amesema kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama pekee chenye uwezo wa kuendelea kuongoza Serikali bila nchi kuingia kwenye machafuko. Bashungwa ameyasema hayo jana Oktoba 10, 2025 katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika katika Kijiji cha...
  20. BigTall

    GE2025 Bashungwa: CCM ndicho chama pekee chenye uwezo wa kuongoza Serikali bila nchi kuingia kwenye machafuko

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Karagwe ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC), Innocent Bashungwa, ameendelea na kampeni za kuomba kura za Mgombea wa Urais, Ubunge na Udiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Karagwe kwa kueleza kuwa CCM ndicho chama pekee chenye uwezo wa...
Back
Top Bottom