mabomu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Marekani kuanza kuamsha mabomu yake ya nyuklia

    Haka kadunia ketu naona tunaelekea kukafuta hivi hivi tukiona. ======== AIKEN, U.S. -- While China is bolstering its nuclear capabilities, the U.S. -- the first country to produce atomic weapons, in 1945, and the world's top economic and military superpower -- is facing a deeply worrying...
  2. Lebanon yashushiwa mabomu na IDF

    Israel bado wanaonya, ifahamike hawajafanya kitu Lebanon, hapa wanaendelea kuonya tu. Endeleeni kuwachokoza ila msije mkalalamika na kulia lia kama inavyotendeka Gaza. ======= Israeli strike in Aita Shaab (AP) The recent Israeli airstrikes in southern Lebanon have reignited memories of the...
  3. Naftal Benet: Tusipoifuta Hamas na kuwapiga islamists terrorists wataipiga mabomu London na New York

    NAFTAL BENET anahojiwa sasahivi kwenye kipindi cha hard talk BBC anasema yeye mwenyewe kama komando alishiriki vita ya 2002 na kuwateketeza magaidi. Pia anasema waaipoipiga HAMAS sasa na kuvunja vunja magaidi ya kiislamu basi kuna siku yatazilipua LONDON NA NEW YORK. Na mwisho amemalizia kwa...
  4. Matukio ya kulipua mabomu kule Arusha yaliisha baada ya hawa mashehe wanaohukumiwa sasa kukamatwa

    Naipongeza mahakama kwa kuwatia hatiani hawa wapuuzi walioua na kujeruhi wengine kwasababu ya itikadi za kipumbavu. Mtu yeyote atakayefundisha kama yule marehemu ilunga anapaswa kushughulikiwa mapema kabla hayajatokea maafa kama yale ya arusha na zanzibar.
  5. Marekani yaipa Israeli mabomu ya kufumua mahandaki, yaani linapiga hadi kunako

    Hiyo Gaza muisahau, inazidi kufanywa shamba... The U.S. has provided Israel with large bunker buster bombs, among tens of thousands of other weapons and artillery shells, to help dislodge Hamas from Gaza, U.S. officials said. The surge of arms, including roughly 15,000 bombs and 57,000...
  6. Maputo: Polisi watumia Mabomu ya Machozi na Kujeruhi Waandamanaji wanaopinga Matokeo ya Serikali za Mitaa

    Polisi Jeshi la Polisi jijini Maputo limetumia Mabomyu ya Machozi kuwatanya Waandamanaji wa Upinzani huku wengine wakijeruhiwa kutokana na kupinga matokeo ya Uchaguzi uliofanyika Wiki moja iliyopita wakidai Chama Tawala (FRELIMO) kiliiba Kura. Maandamano hayo yanafuatia uamuzi mwingine wa...
  7. Tff na serikali , hakikisheni,mageti yanafunguliwa mapema ,hatutaki Tena habari za mabomu na kupiga watu bila sababu

    Habari ndiyo hiyo upumbavu wa kufungua mageti saa nane na huku mkijua mifumo yenu ni slow na niyakizamani mtaleta maafa siku ya ijumaa ! Mtu akitoa pesa yake aheshimiwe ,utapeli wakupiga watu bila sababu tutakuja kutoka na roho ya mtu ! Nimewapa onyo mjifanye wajuaji ,
  8. Kanisa kongwe Gaza limehifadhi Waislamu waliokimbia mabomu, limewapokea kwa upendo

    Wengi wamehojiwa na kusema kwa walivyopokewa yaani hawajaona upendo kama huo kwa muda mrefu. Hongereni sana Wakristo kwenye hilo kanisa, waonyesheni inawezekana kuishi na watu bila kuwachinja kwa jina Mungu, na kwamba dini inapaswa kuwa kitovu cha amani na utulivu..... =========================...
  9. Uganda, polisi wakamata mabomu ya magaidi yenye mlengo wa kiislamu yaliyokuwa yamepangwa kulipua makanisa

    Matukio kama haya ndio hufanya mapagan wasioabudu katika Mungu wanatushangaa sisi tunaoabudu maana mtu anakuja kabisa kupanga kuwalipua mabomu wakati mnaabudu ili mfe, huku akijiaminisha anachokifanya ni ibada kabisa kwa 'mungu' wake. ========================== Ugandan police foiled a bomb...
  10. Kazi chafu: Hamas wanategeshea mabomu wanaohama Gaza Kaskazini ili kuwatisha wabaki, wanawasingizia Israel kuwalipua wanaohama

    Hamas wanategesha mabomu kwenye magari yanayohamisha watu Gaza kaskazini, Hamas hawaoni taabu kuua wapalestina kwa lengo la kutengeneza propaganda kuwasingizia Israel ndio wanafanya haya mashambulizi
  11. Kiwanda cha mizinga Urusi chalipuliwa mabomu ya drones na Ukraine

    Jamaa wanajipigia viwanda, kila siku wanabishana baina yao kipi wapige leo.... Strike drones attacked the Russian Smolensk Aviation Plant, where Kh-59 missiles are produced, on 1 October, with three of the four drones hitting the target. Source: press service for Defence Intelligence of...
  12. Miji miwili ya Urusi yapigwa mabomu ya drones na Ukraine

    Mifumo ya Urusi imeshindwa kuzuia mvua ya mabomu ya drones.....miji inapigwa kizembe sana. SCREENSHOT Drones attacked the Russian cities of Smolensk and Sochi on the morning of 1 October. Explosions can be heard on videos shared on social media. Source: Ostorozhno, Novosti (Careful, News)...
  13. Z

    Al Merrikh: Timu yenyewe ni ya wakimbizi, haishiriki ligi, inacheza huku ikiwaza mabomu yanavyopigwa nyumbani!! Kuifunga siyo kipimo!!

    Kumsukuma mlevi si kipimo kuwa una nguvu!! Timu ya Al Merrikh ni wakimbizi, wanalazimika kucheza ugenini, hakuna ligi huko kutokana na vita, wanacheza huku akili iko nyumbani wakiwaza mabomu yanavyotishia uhai wa jamaa zao! Kuna ajabu gani kuifunga timu kama hiyo!! Kuifunga na kufurahi ni...
  14. Ukraine wanatumia drones kugundua mabomu yaliyofukiwa na wanajeshi wa Urusi waliotoroka mapambano

    Wenzetu teknolojia zao ziko mbali sana, yaani drone inapaa na kumulika hadi chini ya ardhi na kugundua mabomu, Warusi waliposhindwa mapambano walifukia mabomu na kutoroka. A demonstration of the thermal vision of the new military-grade drone in Kyiv, Ukraine, on June 20. Alex Chan Tsz Yuk/SOPA...
  15. DOKEZO Mabomu ya machozi yanarindima Magu mjini

    Habarini wanajamvi, Leo kuna gari Moja ndogo ya abiria (hiace)imegonga watoto wawili wa shule na kuwaua karibu na sheli moja hivi. Sasa kuanzia asubuhi wananzengo wamefunga Barabara zote kuu hasa Ile ya Mwanza-Musoma. Gari linalolazimisha kupita linapigwa mawe balaa. Magari mengi yashaharibiwa...
  16. Kama mbwai iwe mbwai: Ukraine kupiga mabomu meli zinazopeleka mizigo Urusi

    Urusi juzi ilitangaza kupiga meli zinazoenda Ukraine, haya na Ukraine wamejibu, watapiga meli za mizigo zinazopita baharini kwenda Urusi. KYIV, July 20 (Reuters) - Ukraine's Defence Ministry said on Thursday it would consider all ships travelling to Russian ports and Ukrainian ports on the...
  17. Ukraine yafurahia shehena ya mabomu haramu, wako tayari kuyatumia

    Kamanda wa vikosi vya ardhini wa Ukraine Colonel General Olesksandr Syrskyi amekiri kupokea shehena ya mabomu haramu yanayoripuka kwa kuchawanyika na kwamba wataanza kuyatumia siku za hivi karibuni. Wakati huo huo waandishi wa habari wameiona mizinga aina ya American M777 howitzers karibu na...
  18. Msafara wa Raila Odinga wapigwa Mabomu ya Machozi akiongoza Maandamano

    Maandamano hayo ni wito wa Kiongozi huyo wa Upinzani kutoka Muungano wa Azimio kuelekea Jijini Nairobi yakiwa na lengo la kupinga gharama kubwa za maisha na Utawala wa Rais Ruto. Pia, Raila Odinga ameanzisha kampeni ya kukusanya Saini Milioni 10 za wananchi ili kupata uungwaji mkono wa...
  19. Wanaume wa Leo tumekuwa mabomu

    Muda wowote tunalipuka. Ushahidi upo humuhumu, nyuzi nyingi ni kulalamika tu wanawake hivi wanawake vile na mengine mengi lakini wanawake wenyewe hawalalamiki. Mzani umehama wanaume kwa sasa ni dhaifu mno kwenye afya ya akili, vitu vidogo tu tunatoka relini. Ni nini hiki?
  20. Panya "Ronin" kumpiku magawa kwa uteguaji mabomu

    Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimesema panya dume "Ronin" anayefanya kazi ya kutafuta mabomu na vilipuzi nchini Cambodia, uwezo wake ni mkubwa unaokaribia kumzidi mtangulizi wake panya Magawa. Ofisa Mawasiliano wa Mradi wa Apopo SUA, Humphrey Makusa, alisema hayo juzi katika kituo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…