Picha: Jinsi Lebanon kunawaka moto ya mabomu ya Israel

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,663
48,440
Lebanon wanaendelea kupokea adhabu kwa ajili ya Hezbollah...

AFP__20240208__34HU2JH__v2__HighRes__IsraelLebanonPalestinianConflictBorder-640x400.jpg

Three civilians were killed in an Israeli strike on a residential building in the south Lebanon city of Nabatiyeh this evening, a Lebanese security source says.

“Three civilians dead in the Israeli strike, including two women,” a security source tells AFP, requesting anonymity as they are not authorized to speak to the media.

There is no immediate comment from the IDF on the strikes, which came after a rocket attack on Safed killed one and wounded several others.
 
Hivi Hezbollah huko Lebanon ni sawa na boko haram huko Nigeria na alshabab huko Somalia?
Ni chama cha siasa cha kishia chenye jeshi lenye nguvu kuliko jeshi la nchi na Kipo kwa ajili ya kutetea Washia.

Lebanon hadi miaka ya 80 ilikuwa ni Kama Taifa la Kikirsto Ila wakimbizi wa Kipalestina na Silaha za Iran zikabadili kabisa demographics yake kabisa.
 
Aaaaaiiiseeee! Kwa hiyo jamii ya wakristo imemezwa?
Kuna Waislamu na Wakristo wa asili hapo Jordan. Jamii ya Walebanon wana mixer ya Uarabuni na tamaduni za Kifaransa. Mapishi sana, kuvaa vizuri, mandhari mitaani, utulivu mida ya jioni huku wanapiga kahawa na vilevi kama cognacs, wine na champagne. Walikuwa na maisha flani ya kushawishi wataalii, tuseme uchukue Zanzibar alafu watu wawe wa uchumi wa kati tu na wastaarabu. Mwarabu akija anakuta vitu vyake, Mwafrika anakuta vyake na mzungu vilevile. Kila mmoja anatoshelezwa na anakuwa amazed na mchanganyiko.

Walivyokuja hao wajuaji wa Kipalestina wakaleta sheria zao, ikawa vigumu kuvumilia tamaduni nyingine, wakafanya imani iwe ya msimamo mkali. Wakaanzisha vita mara Hezbollah. Lebanon ikawa nchi maskini, ikakosa watalii, ikakosa investors.

Wapalestina waliua Waziri Mkuu wa Jordan, wakataka kumuua Mfalme wa Jordan, walihusika kumuua Rais wa Misri. Wakaribishe wazaliane, kaa miaka 20 uone kama utabaki na nchi.

Ni bora uwe na wakimbizi wa Syria ila kwa Wapalestina umejichanganya.
 
I have never come across na haya madini. Thanks alot
 
Acha Israel awashugulikie tu maana hakuna namna nyingine!
Isingekuwa madhara ya kiuchumi, serikali ya Lebanon pamoja na wazalendo wa asili kama conservants na ultra nationalists huwa wanatamani Israel iwapige Hezbollah. Lakini bado kuna wanaoamini Hezbollah ni buffer baina ya Lebanon na Israel, kwamba Israel haiwezi vamia Lebanon kama taifa sababu wapo Hezbollah badala yake Israel inaweza shambulia Hezbollah wao kama wao sio kama nchi.

Hata Jordan ilikuwa inaamini Waisraeli ni wabaya sana kwake, ikaja ikakusanya Wapalestina. Baadae Iraq na Syria zikawa na siasa za kishabiki ile populism, unafeli kwenye mambo ya msingi unapambania jambo lisilo na faida sana ila linalokubalika katika jamii (kama kuruhusu machinga wauze chupi mkononi hata supermarket, wanaolalamika ni wamiliki wa supermarkets wachache, wanaofurahi ni machinga wengi ila kiuchumi ni hasara).

Katika hilo Syria na Iraq kukawepo wanasiasa wanaunga mkono takwa lolote la Wapalestina, wananchi wa hizo nchi wakawakubali hao wanasiasa kwa sababu ya "ndugu zetu katika imani". Sasa bwana si Wapalestina kwenye kambi za wakimbizi karibu na mji mkuu Amman, Jordan wakapigana na jeshi la Jordan, eti Syria ikatuma jeshi kusaidia Wapalestina. Kule Iraq Waziri wa Ulinzi akakataa kutuma jeshi, Saddam Hussein akamuua (baadae akafanya mapinduzi). Kule Syria serikali iliyotuma jeshi ikapinduliwa na Hafez Al Assad aliyekuwa kamanda wa Airforce aliyekataa vikali kuipiga Jordan.

Kwenye uvamizi huo Jordan ikaiomba sana Israel isivamie eneo lake la mpaka (sababu Jordan iliwahi shirikiana na Waarabu kuivamia Israel, hivyo walikuwa wanakaa chonjo wote mipakani mwao) ikamobilize majeshi mengi yaliyokuwa mpakani na Israel ikaenda kupigana na Wapalestina na Waarabu wenzao. Jordan ikaona Waarabu wanafiki wanaitumia kisiasa na Wapalestina hawana shukrani na ni mzigo kiuchumi na kiusalama.
 
subiria south africa naona idadi ya wa iran ikiongezeka na wapalestina kule waje washuudie kama ya mkaburu
 
Ni chama cha siasa cha kishia chenye jeshi lenye nguvu kuliko jeshi la nchi na Kipo kwa ajili ya kutetea Washia.

Lebanon hadi miaka ya 80 ilikuwa ni Kama Taifa la Kikirsto Ila wakimbizi wa Kipalestina na Silaha za Iran zikabadili kabisa demographics yake kabisa.
Hv chimbuko la Lebanon ni wakristo tokea awali kati kati ya waislamu?
 
Lebanon tokea awali, Lebanon hawakuathiriwa na ukuaji wa Kiislam hadi 1948 wakimbizi wa Kipalestina walipoongezeka wengi wao wakiwa Waislam, Wakristo wakawa upande Wa Israel na hao wengine wakawa upande wa pili

Ndio maana Egpty na Jordan wanasita kuwapokea kwa sababu inaweza kubadili sura ya kisiasa kabisa, ukishavuka mipaka ya Israel haurudi
 
Lebanon wanaendelea kupokea adhabu kwa ajili ya Hezbollah...

AFP__20240208__34HU2JH__v2__HighRes__IsraelLebanonPalestinianConflictBorder-640x400.jpg

Three civilians were killed in an Israeli strike on a residential building in the south Lebanon city of Nabatiyeh this evening, a Lebanese security source says.

“Three civilians dead in the Israeli strike, including two women,” a security source tells AFP, requesting anonymity as they are not authorized to speak to the media.

There is no immediate comment from the IDF on the strikes, which came after a rocket attack on Safed killed one and wounded several others.
Fuatiliq vizuri moto wanaopelekewa israel hadi wanaomba cease fire kupitia mgongo wa france na washirika wao
 
Attachments

  • Screenshot_20240213-143339_Chrome.jpg
    Screenshot_20240213-143339_Chrome.jpg
    379.6 KB · Views: 1
Back
Top Bottom