Naftal Benet: Tusipoifuta Hamas na kuwapiga islamists terrorists wataipiga mabomu London na New York

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,928
NAFTAL BENET anahojiwa sasahivi kwenye kipindi cha hard talk BBC anasema yeye mwenyewe kama komando alishiriki vita ya 2002 na kuwateketeza magaidi.

Pia anasema waaipoipiga HAMAS sasa na kuvunja vunja magaidi ya kiislamu basi kuna siku yatazilipua LONDON NA NEW YORK.

Na mwisho amemalizia kwa kusema hawatawapa wapalestina ardhi tena kwasababu wameshajifunza mara tatu kwamba ukiwapa ardhi waishi kwa amani kama majirani wao wapalestina wanawageuka na kuanza kuuwa wayahudi kwahiyo hawatarudia tena hilo kosa.

Kwa ushahidi angalia BBC you tube.
 
Screenshot_20231220-213943.png
Screenshot_20231220-213943.png
 
Ila waafrika tunapenda sana ushabiki,kwahiyo watu wote wanaoishi duniani hawana maana ila muhimu ni London na New york!!?
Hiyo ni kauli ys kimkakati, wanawaamsha wakubwa kuwa hata wao hawako salama
 
Back
Top Bottom