mabaya

Mabaya is a surname. Notable people with the surname include:

Brice Mabaya (born 1986), Chadian footballer
Jean-Philibert Mabaya (born 1949), Congolese politician

View More On Wikipedia.org
  1. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Matokeo mabaya ya Kidato cha 4 shule ya Jeshi Jitegemee, Mkuu wa Shule Kessy aondolewe arudishwe Massawe haraka

    Shule ya Secondary ya Jeshi Jitegemee Mgulani kipindi cha Kanali Massawe akiwa mkuu wa shule ilikuwa inagombaniwa na watanzania na raia wa nje hasa Kenya ilipendwa sana na ufaulu ulikuwa juu Kosa Serikali ilifanya ni kumtoa Kanali Massawe na kumpa Ukuu wa Mkoa wa Kagera Shule mwaka huu...
  2. Equation x

    JamiiForums Tanzania Swali la kizushi; Kwa nini umtendee mwenzako mabaya?

    Kama miaka 10 iliyopita hivi nilipata safari ya kikazi kwenda huko mbali kwa muda wa miezi sita. Kwa sababu ndoa yangu ilikuwa bado ni changa, nikaona nimtafutie majukumu mazito mama watoto wangu ili nitakapokuwa huko nje, asiweze kushawishika na mabaharia wa mjini. Nikampa kazi ya kwenda...
  3. Kichwa Kichafu

    JamiiForums Tanzania Hivi waamuzi wa Mpira wa Miguu Tanzania wanalipwa vizuri kweli? Tusilete lawama bure tu!

    Habari wanamichezo na wapenda soka wote ndani na nje ya Tanzania. Haya mambo yamekuwa yakijirudia mara kwa mara katika misimu yote ya ligi kuu ya Tanzania kwa sasa 'NBC Premier League' kuhusu lawama kwa Kunguru wetu hawa wa mpira. (Referees) Tutafute hoja za msingi na mambo yanayoleta yote...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Watu huchochea watu wengine watende mambo mabaya

    Unaweza kua mtu mwema, unafanya mambo yako vizuri, unafurahia maisha lakini mtu ama watu wakasababisha ukafikiria kufanya kitu ambacho hujawahi kukifikiria. Watu wanaweza kusababisha mtu ufikirie kutenda mambo mabaya sana kwenye maisha yao. Kuna mtu nilifanya nae kazi, nikamfanyia kazi yake...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Kwa minajili ya haki Mbivu na Mbichi zote zianikwe

    Kesi ndogo ya Mohammed Ling'wenya iwe nafasi ya kuzianika mbivu na mbichi zote hadharani. Iliyodhaniwa nia njema (ya kusaka haki tu) kuwapo japo kidogo, imeshadhihirika kuwa haipo. Si jaji si mashtaka haonekani anayewaelewa. Kwa maana hiyo hapa sasa inabidi kieleweke. Kumwangalia nyani...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ndoto inanitabiria mabaya

    Habari wanajamvi, naimani mko poa, Moja kwa moja kwenye mada, Kuna kipindi niliota ndoto ya namna hiii, ndoto yenyewe ni ya shule yaani niliota Niko shuleni Advance, sikuwa na imani mbaya na ile ndoto mpaka ilipokuwa inajirudia. Hapo ipinishtua nakuanza kuulizia maana yake ni ipi, majibu...
  7. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Wimbo Huu unasafisha Na kupandisha nyota haraka Sana . Unatoa Na kufukuza mapepo yote. Unavunja Kila maagano mabaya Na kuharibu Kila madhabahu ovu

    HII Ni kwa waamini tu. Kuna watu ( wakristo kwa waislamu) huwa wanafikiria kwamba ili kuondokana Na Shari Za Ibilisi Ni lazima wapige Dua nzito, visomo vizito vizito, maombi mazito nakadhalika. Ni Kweli WaPo sahihi Dua,visomo, maombi vinasaidia Sana katika kupambana Na Shari Za Ibilisi but...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Tusiangalie uchezeaji na matumizi mabaya ya noti kwa jicho la kuvunja sheria peke yake

    Hivi karibuni Waziri wetu wa sheria pamoja na Gavana wa benki kuu wamejitokeza na kutukumbusha kuwa ni kuvunja sheria kuchezea au kuziharibu Noti zetu pamoja na sarafu. Ni vizuri kwao kutuelimisha juu ya kuwepo sheria hizo ili wananchi wasije kutwa na hatia mara watakapo tiwa mbaroni kwa...
  9. Lole Gwakisa

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Chato inayotaka kuwa Mkoa yawa kinara matumizi mabaya ya fedha za umma

    Pamoja na malalamiko mengi mitandaoni, ya miradi isiyo na tija kwa Taifa huko Chato, ukweli umeanza kudhihiri. Wilaya ya Chato sasa ni rasmi, ni moja ya wilaya zinazoongoza kwa matumizi mabaya ya fedha za umma. CAG ameamrishwa na Waziri wa Fedha Dk Nchemba kufanya uchunguzi wa kina kwa...
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania SoC01 Watoto wasio na uzoefu wa kushika Pesa huwa na matumizi mabaya ya fedha ukubwani hasa kwa BOOM

    Elimu ya kutunza pesa wengi wetu imetushinda. Hakuna umasikini mbaya kama kujutia maisha yaliyopita, kama ungetumia pesa vizuri ungefika mbali. Hii elimu ni muhimu kuwafundisha watoto. Wakipata pesa wasihamaki. Ni kama vike unavyokunywa chai kila siku, hata ukiwa mkubwa chai unakua umeizoea...
  11. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Mambo mabaya kwenye utamaduni wa Wasukuma

    Tuwe macho na hii kitu ya uchifu. Uchifu kwa makabila mengi uliambatana na mamlaka juu ya ardhi na mara nyingi uliambatana na umwinyi. Tuliondoa uchifu ili kuweze kuthibiti fulsa ziweze kupatikana kwa wote na kuimarisha demokrasia. Uchifu pia uliambatana na baadhi ya mila mbaya za kunyanyasa...
  12. Victoire

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

    Rais Samia huku unatuletea matozo. Imagine hao wote unaosafiri nao kwenda Zambia kwa kodi za Watanzania.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Taja Mambo Mazuri na Mabaya ambayo Tanzania inaongoza

    Tanzania kama nchi inayo mambo mengi inaongoza. Yapo mazuri na mabaya. Taja mambo ambayo unaona ama unajua kuwa Tanzania inaongoza Afrika Mashariki, Afrika na duniani kwa ujumla. Kwa kuanza.. 1. Tanzania ndiyo nchi yenye wazungumzaji wengi wa lugha ya Kiswahili duniani. Ikifuatiwa na Kenya..
  14. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anapaswa kuchukua mazuri yote katika hotuba ya Mbowe ya Mwanza

    Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania akila kiapo cha kuilinda katiba ya Tanzania Hapo awali nimefupisha hotuba ya Mbowe kama ilivyotolewa kwa waandishi wa habari pale Mwanza jana. Sasa niko tayari kuifanyia uchambuzi kulingana na taarifa za ziada nilizozikusanya kutokana na wadatishaji wangu...
  15. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Tatizo ni matumizi mabaya ya kodi zetu. Kama zingetumika vizuri hakuna mtanzania angelalamika.

    Kodi ni mchango wa lazima kwa ajili ya serikali. Pamoja na kuwa ni mchango wa lazima lazima itumiwe vizuri. Lazima sisi tunaolipa kodi kwa kulipa Direct tax or indirect lazima tuone matokeo chanya namna kodi inavyotumika. Kama mpaka sasa hivi baada ya miaka 60 bado baaadhi miji na vijiji...
  16. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania Je, wamjua Binadamu anayeongoza kufanya mema na binadamu anayeongoza kufanya mabaya duniani?

    Binadamu tumeumbiwa mapungufu na kila mmoja ana yake. Ila tumezidiana kwa kiwango fulani.. Kuna mwingine anapenda kula chakula kingi...ila hapendi kuona mtu kavimbiwa. Kuna mwingine anapenda muziki mzuri ila hawapendi wanamuziki. Kuna mwingne anapenda dini sana lakini hapendi kushiriki...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Matumizi mabaya ya Media kwa Viongozi Wateule Serikalini

    Ndani ya miezi miwili tumeshuhudia viongozi wakubwa wawili toka enzi za awamu ya mwendazake wakikutana na madhila makubwa tu kutokana na tabia yao ya kujikomba/kujipendekeza/kujiparata kwa kiongozi anayehusika na teuzi na mamlaka ya kinidhamu dhidi yao. Hawa ni wafuatao: 1. Lengai ole Sabaya -...
  18. justin mwanshinga

    JamiiForums Tanzania Kama ulikuwa mpinzani 2015 -2021, wewe ni mwamba na umeyashinda mabaya mengi

    Kuanzia 2015 mwishoni Hadi 2021 Tulipokuwa tunawaambia TIME WILL TELL mlijua tunajifunza kingereza, we tumwa ukaue, tesa watu, dhulumu watu, shadadia watesi, zarau watu, tukana watu na wafanyie mabaya yote lakini kaa ukijua hiyo nayo ni mbegu ambayo itaota tu, mvua inyeshe au jua liwake itaota...
Back
Top Bottom