mabasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Waandamanaji wachoma moto yard ya magari ya mabasi ya Esther

    Yard ya magari ya Mabasi ya Esther Luxury imechomwa moto na waandamanaji Inasemekana mabasi yote yaliyokuwepo hapo yamechomwa moto
  2. Sababu ya safari za mabasi kusitishwa siku ya kesho Oktoba 29,2025, na vipi kwa mtu aliyekata tiketi ya tarehe hiyo?

    Katika hali isiyo ya kawaida mabasi yaendayo mikoani yamesitisha safari zake kwa siku ya kesho, sababu kubwa ikiwa nikuwapa fursa watu kupiga kura, nawaza watu hao ni akina nani kwa sababu kura sio lazima ipi hatma ya wale waliokata tiketi zao. Ipo hivi serikali ya CCM inahakikisha kwamba...
  3. Kampuni za mabasi zasitisha safari kupisha kimoja kati ya uchaguzi au maandamano. Matajiri hawataki kuweka Mali Hatarini

  4. Unafiki wa media kutoripoti kero za wasafiri wa Mwendokasi, lakini media zote zimeripoti mabasi mapya UDART

    Media zetu Tanzania zinatusaliti au ni waoga? Sikusikia wala kuona vyombo vya habari vilivyosajiliwa wakihabarisha kero za wasafiri wa Mwendokasi. Taarifa nyingi zimetufikia kupitia Social Media na hapa JamiiForums. Lakini baada ya serikali kutoa mabasi mapya ya UDART, tunaona vyombo vikuu vya...
  5. Kwanini mabasi ya private hayaoni fursa ya kusafirisha abiria wanaosumbuka na mwendokasi?

    Kutokana na hizi changamoto ambazo zinazidi kuwa kubwa za usafirishaji wa abiria kwa njia ya mwendokasi, nimewaza ni kwa nini wenye mabasi ya coaster ya private (yale yasiyo na rangi maalumu za ruti), yasichukue hizi fursa za kusafirisha abiria hawa? Maana yangu ni kwamba, chukulia wewe una...
  6. Mabingwa wa Kuharibu: Toka Mabasi 140 hadi 30

    Waziri Mkuu Majaliwa amesema kuwa kampuni ya UDART (mwendokasi) ilianza ikiwa na mabasi 140 lakini hadi kufikia hiyo juzi yalibakia mabasi 30!!! Yaani wameshindwa kutengeneza mabasi zaidi ya 110!! CAG alitakiwa kufanya uchunguzi maalum na TAKUKURU wangekuwa na cha kufanya...yaani wameharibu...
  7. W

    Chalamila: Mtoa huduma wa mabasi ya mwendokasi Kimara tunamsimamisha

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert John Chalamila, leo amefanya ziara katika kituo cha mabasi ya mwendokasi kilichopo Kimara Mwisho na kuzungumza na wananchi kuhusu changamoto ya upungufu wa mabasi. Katika ziara hiyo, Mhe. Chalamila amesema serikali inatambua changamoto hiyo na tayari...
  8. Mabasi yapi yanaenda Harare kutoka Tanzania?

    Naomba nisaidiwe taarifa zifuatazo: 1. Mabasi yanatoa huduma ya usafiri kutoka Tanzania, na makisio ya nauli kama itawezekana. Nikipata namba zao za simu ni ni vizuri zaidi! 2. Safari yangu itaanzia Mwanza. Nitapaswa kwenda kupandia basi Dar Es Salaam au Tunduma? 3. Itachukua muda gani kutoka...
  9. S

    Eneo la mkutano wa kampeni za CCM hapa Dodoma siku ya jana, liligeuka kuwa stand ya Daladala kutokana na wingi wa mabasi ya kusomba watu

    Huo ndio ukweli na yeyeote aliekuwepo atakuwa ushahidi wa hiki nachokisema. Daladala zinazofanya safari zake hapa mjini, tangu asubuhi ya jana zilionekana zikiwa zinasafirisha watu waliovaa sare za CCM na jioni baada ya mkutano kwisha, eneo la mkutano liligeuka stand ya Daladala na ya mabasi...
  10. Je, wakazi wa Mbagala wataweza kutunza mabasi ya mwendokasi yenye viyoyozi na WiFi?

    Mabasi ya sasa. Hali ya usafiri wa mbagala. Mabasi ya mwendo kasi njia ya mbagala yasiopungua 150 yameshaingia mjini. Swali ni je wanambagala watakuwa na ustaarabu wa kuyatunza?
  11. CCM waliponunua mabasi sikuwaelewa, Sasa nawaelewa

    CCM waliponunua mabasi nilishangaa Sana, maana sikuelewa kama wanataka kuanzisha kampuni ya usafirishaji au vipi!? Kumbe wenyewe walijua kuwa wakati wa uchaguzi watahitaji kusomba watu na kuwapeleka kwenye mikutano yao. Kwingine nimeona mpaka treni zimetumika kubeba watu. Sijui ni wangapi...
  12. Biashara ya Mabasi Dar-Mbeya-Tunduma bila uchawi hutoboi

    Hii Njia usipojidhatiti lazima uangukie pua kama wafuatao, 1. Ndenjela 2. Ilasi 3. Sauli 4. Matema 5. Rungwe 6. Scandinavia 7. Hood, 8. Majinjah.
  13. Waziri Mkuu akagua Mabasi, Miundombinu ya mradi wa BRT awamu ya Pili, Agosti 13, 2025

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Agosti 13, 2025 amekagua mabasi mapya kwa ajili ya awamu ya pili mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT-2) pamoja na miundombinu ikiwemo kituo kikuu cha mabasi hayo cha Mbagala Rangi tatu na kituo cha gerezani, jijini Dar es Salaam. Katika ukaguzi huo, Mheshimiwa...
  14. Albert Chalamila: Mabasi 99 yataingia Agosti 15, mengine 250 yataingia Oktoba 1, 2025

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa ifikapo tarehe 15 Agosti 2025, mabasi 99 yataanza rasmi kutoa huduma ya usafiri katika barabara ya Mbagala. Aidha, kufikia tarehe 1 Oktoba 2025, mabasi mengine 250 yanatarajiwa kuanza safari kati ya kituo cha Mbezi Kimara hadi...
  15. Je kampuni ya mabasi ya Katarama itashughulikiwa?

    Dada wa Taifa amepost abiria wakiwa katika basi la Katarama wakiangalia hotuba ya Balozi mstaafu Polepole. Uzi huu umekuja na swali la angalizo, je kupitia video ile, kampuni ya Katarama inaweza kushughulikiwa na mamlaka? Muda ni mwalimu mzuri…
  16. GE2025 Serikali yatoa bilioni 19.99 kujenga Stendi Kuu ya mabasi Babati

    Kilio cha muda mrefu cha wananchi wa Babati kuhusu ujenzi wa stendi kuu ya mabasi sasa kimesikika, baada ya Serikali kutoa shilingi bilioni 19.99 kwa ajili ya kuanza rasmi ujenzi wa stendi hiyo, ambao unatarajiwa kukamilika ndani ya miezi 15. Akizungumza leo, Julai 24, katika hafla ya...
  17. R

    Chalamila: Mwendokasi ina mabasi 60 tu, mara ya kwanza yalikuwa takribani 200"

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amefanya ziara kituo cha mwendokasi Kimara na kukuta changamoto ya uendeshwaji mbovu wa huduma, ikiwa idadi ya mabasi yanayofanya kazi ni 60 kati ya mabasi 200 yaliyoletwa mara ya kwanza.
  18. A

    Kwa sifa hizi; Mabasi ya Shabiby Line Toleo Jipya ndiyo bora zaidi.

    Hivi karibuni, Kampuni ya Mabasi ya Shabiby Line iliingiza nchini mabasi mapya yasiyopungua 50 kwa ajili ya matumizi ya barabara za nchi nzima. Mabasi hayo ni aina ya Yutong D 14 yaliyotengenezwa nchini China yakiwa na Kilomita '0' (zero). Sifa kubwa ya mabasi ya Yutong D14 inaanzia hapa...
  19. Kero mabasi ya mikoani: Wahudumu hawatulii sehemu moja, kila wakati wanajipitisha pitisha

    Nyie mnaojiita wahudumu wa hayo MABASI ya VVIP ,pamoja na baadhi ya abiria wenu mnakosa ustarabu. Inakuaje muhudumu wa basi hutulii sehemu moja, Kila muda unajipitisha pitisha na kuleta migusano isiyo ya lazima kwenye gari ?Tena baadhi yenu mnanuka kienyeji sana, kwanin usitembee ndani ya basi...
  20. M

    Dalilinya ufisadi katika ujenzi wa barabara za mwendokasi mpya: vituo vya mabasi ni vikubwa/virefu mno na viko karibukaribu

    Nimeshangazwa na ujenzi wa barabara za mwendokasi mpya zinazoendelea DSM. Unakuta vituo vya mabasi ni virefu mno, na viko karibukaribu sana. Hii inashangaza kwa sababu katika nchi ambazo zina magari marefu ya abitia hukuti mavituo makubwa na marefu namna hii. Halafu cha ajabu mavituo hayo yapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…