mabasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Vibaka kituo Kikuu cha Mabasi Dodoma

    Naandika thread hii kwa huzuni Sana. Leo Alfajiri nimeamka katika Mji wa Dodoma. Nilipofika kituo Kikuu cha Mabasi kabla sijaingia getini nimeshuhudia kundi la Vijana wakivamia abiria wanaotembea kwa miguu au abiria wanaoshuka Kwenye daladala na kuingia kituoni kwa miguu. Mamlaka za usimamizi...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ndege na mali nyingine za Trump tunaziona, hapa kwetu Marais hawatuoneshi hata bajaji zao. Kwanini wanaficha?

    Nini kinawafanya marais wetu waliostaafu na waliopo madarakani kushindwa ama kuogopa kuonesha mali zao ikiwemo vitu wanavyomiliki? Je, ni wizi? Kwamba mali walizo nazo walozipata kwa wizi? Je, ni wivu? Kwamba wanaogopa kuonewa wivu na kundi kubwa la watu wanaowazunguka na kuwafahamu? Kwanini...
  3. JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo: Bunge liwaoneshe Mlango wa Kutokea wote waliotajwa kwenye Ripoti ya CAG

    Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Aprili 4, 2023 kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 1. MABASI KUTEMBEA KWA SAA 24 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson ameishauri Wizara ya Mambo ya Ndani kuangalia upya amri inayokataza mabasi ya abiria kutembea barabarani...
  4. JamiiForums Tanzania Kampuni ya mabasi Esther Express yaingiza mabasi mapya 19 nchini

    Ndugu zangu naomba nitoea pongezi kwa kampuni ya mabasi Ester Express kwa kusikia kilio cha wasafiri hapa nchini. Kampuni hii imeingiza mabasi mapya ili kurahisisha usafiri hasa mikoani. Hongereni sana.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa aagiza Stendi Kuu Bariadi kutumika kwa mabasi makubwa na madogo

    26 Machi, 2023 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI MKUU AAGIZA STENDI KUU BARIADI ITUMIKE KWA MABASI MAKUBWA NA MADOGO WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza stendi kuu ya mabasi katika mji wa Bariadi mkoani Simiyu ianze kutumika kwa mabasi makubwa na madogo ili kuondoa usumbufu kwa abiria...
  6. JamiiForums Tanzania Sheria za Nchi zinasemaje kuhusu Wanawake wanaotukatia Viuno Madirishani katika Mabasi waliyokodi kwenda Shughulini?

    Nilikuwa ndani ya DalaDala naelekea Mjini kwa Mambo yangu ila baada ya Kupishana na Gari Moja limewabeba Wanawake wanakata Viuno Madirishani (tena Makusudi na kwa Kuturingjshia) huku ndani wakiwa na Madela ndani bila Chupi kiukweli Hamu ya Ngono nami imenipanda na nimeamua Kugeuza na kwenda nami...
  7. JamiiForums Tanzania Kampuni ya mabasi DRC kuonesha Filamu ya The Royal Tour kwa Lugha ya Kifaransa

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax (Mb) akibofya batani ili kucheza Filamu ya The Royal Tour kwenye Basi la abiria la Kampuni ya Classic ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa kampuni hiyo kuonesha filamu hiyo kwa abiria wanaotumia mabasi yake. Waziri wa...
  8. JamiiForums Tanzania Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

    Hii ndiyo hali ilivyo katika Stendi ya Mabasi Chato, Je, tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je, nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha Wananchi?
  9. JamiiForums Tanzania Mabasi yamegeuka kuwa mabanda ya machinjio

    Haya mabasi yamegeuka kuwa mabanda ya machinjio na kuwapa abiria ulemavu wa maisha. Hawa madereva ni sikio la kufa daima na sio mambo ya kusadikika, wenyewe tunayaona huko road wanavyoyafyatua mabasi. Mfano: ~ Ukiwa na kagari kadogo utaletewa basi hapo nyuma honi zote, taa kali, kama muoga...
  10. JamiiForums Tanzania Kampuni ya mabasi ya sauli wapo juu ya sheria?

    Kwa route ya Mbeya - Dar ni hakika Sauli hana mpinzani mpaka sasa.. Nadhani hii ni kwa sababu ya kuwahi kufika... WAtu wa Mbeya huwaambii kitu na Sauli yao. Soma hapa Leo Nmelazimika kuahirisha safari baada ya kuachwa na bus lao. Safari ya Dar - Mbeya. Ilikuwa hivi.. Saa kumi na moja kamili...
  11. JamiiForums Tanzania LATRA yafungia Mabasi ya KATARAMA

    Mamlaka ya udhibiti wa vyombo vya usafirishaji nchi kavu umezifungia leseni za kutoa huduma ya usafiri kati ya Dar na Mwanza mabasi ambayo yametokea kupendwa sana na abiria. Hizi zitakuwa tu ni janja janja za Ally's maana Katarama imetookea kupendwa sana, inajaza mapema sana.
  12. JamiiForums Tanzania DOKEZO Arusha: Kituo kikuu cha Mabasi ya kwenda mikoani chawa kero kwa watumiaji wake, hakilingani na hadhi ya jiji

    Kituo kikuu cha mabasi ya kwenda mikoani kilichopo jijini Arusha kimekuwa kero kwa watumiaji wake kutokana na adha mbalimbali zinazowakabili abiria pamoja na wanaowasindikiza. Kituo hicho kikuu cha mabasi kipo hapo tangu uhuru hadi na sasa kitu ambacho hakiendani na hadhi ya leo hii kutokana...
  13. JamiiForums Tanzania Naiomba serikali ipokee ushauri wetu kuhusu kuboresha huduma ya mabasi ya mwendokasi

    Lengo la serikali kuwekeza katika mkundombinu iliyotuletea huduma ya mabasi ya mwendokasi ni kupunguza usumbufu utokanao.na foleni kubwa za magari wakati wa kuingia na kutoka mijini. Hasa nyakati za ahsubuhi na jioni. Mimi na baadhi ya wadau tunaamini kuwa huduma hii inapaswa kurahisisha...
  14. JamiiForums Tanzania LATRA mtoe adhabu inayomhusu mhusika, mabasi mliyoyafungia hayana makosa, igeni wafanyavyo trafiki

    Trafiki hawawezi kulifungia gari kwa kosa la kutowasha taa usiku, watamuadhibu dereva. Mabasi mliyoyafungia hayana hitilafu yoyote tatizo ni madereva walizima ving'amuzi, hivyo madereva wangeadhibiwa. LATRA hayo mabasi yapo barabarani kwa mikopo benki na wamiliki wanatakiwa wailipe hiyo mikopo...
  15. JamiiForums Tanzania Agizo la Waziri kuruhusu Mabasi kutoingia stendi ni kuwanyima Halmashauri vyanzo vya mapato

    Ninaangalia hapa kitindi cha Chetu ni Chetu kupitia ITV, naona malalamiko ya wafanyabiashara wadogo ndani ya stendi ya Igunga wakilalamikia agizo la Waziri wa Uchukuzi kuruhusu mabasi yanayosafirisha abiria kutotumia stendi za Halmashauri zilizojengwa kwa fedha ya kodi zetu. Athari zake pamoja...
  16. JamiiForums Tanzania LATRA yasitisha Leseni za baadhi ya mabasi ya Dar Express, Kidia One, Luwinzo, Super Feo

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini LATRA imesitisha leseni za usafirishaji kwa mabasi 22 kwa kipindi cha mwezi Januari hadi Februari,2023 Hatua hii ni kutokana na vitendo vya kuingilia Mfumo wa Kufuatilia Mwenendo wa Magari (VTS) na kusababisha mfumo kutotuma taarifa ama kutuma taarifa kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali ina chakujifunza kutoka sekta Binafsi

    Wote tunajua kuwa Serikali haina fedha na ndio sababu Mama Yetu mpendwa anajitahidi Kwenda huko nje kukopa ILA cha kushangaza kila mwaka unasikia Mabilioni yameibiwa…. Na kingine cha kushangaza, nikupata hizo taarifa za wizi ulifanyika baada ya miezi kadhaa napengine miaka kadhaa. Hii...
  18. JamiiForums Tanzania Mamlaka ziinglie kati Uendeshwaji wa Mradi wa (BRT) Mabasi Mwendokasi

    Ukiangalia the way huu mradi unavyoenda hasa kwenye kutoa huduma utagundua kuwa waafrica bila kusimamiwa na wazungu ni ngumu sana kujisimamia wenyewe. Nimetoka hapo kituo cha kivukoni now, abiria ni wengi sana, folen imezunguka kama mara tatu au 4. Ila cha ajabu hakuna magari yanayopakia, na...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya Ester Luxury coach yadaiwa kusafirisha milungi

    Kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Kilimanjaro imemweka kiti moto mmiliki wa mabasi ya Ester Luxury Coach baaada ya mabasi yake kudaiwa kukubuhu katika biashara ya usafrishaji madawa ya kulevya aina ya milungi. Mmiliki huyo alifika mbele ya kamati hiyo hivi karibuni iliyoketi chini ya...
  20. JamiiForums Tanzania Senegal: Mabasi yagongana, Watu 40 wafariki, 87 wajeruhiwa

    Ajali hiyo imehusisha mabasi mawili ambayo yamegongana katika Mji wa Kaffrine, ambapo Rais Macky Sall ametangaza siku tatu za maombolezo. Uchunguzi wa awali umebaini kuwa chanzo cha ajali ni kupasuka kwa tairi kulikosababisha basi moja kuacha njia na kwenda kugongana na lingine uso kwa uso...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…