mabaraza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Ridhiwani Kikwete amezindua Kikao kazi cha Mafunzo kwa Wenyeviti wa Mabaraza ya Ardhi

    MHE. RIDHIWANI AZINDUA KIKAO CHA WENYEVITI MABARAZA YA ARDHI NA NYUMBA, ASISITIZA UADILIFU NA KUKEMEA VIKALI RUSHWA. Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete Jana Aprili 05, 2022 amezindua Kikao kazi cha Mafunzo kwa Wenyeviti wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba wa...
  2. Stroke

    JamiiForums Waziri na Naibu Waziri wa Ardhi naomba muangalie uhaba wa wenyeviti mabaraza ya Ardhi

    Kwa sehemu kubwa Wilaya nyingi hapa nchini zina Mabaraza ya Ardhi yanayoshughulikia migogoro ya ardhi. Hivi karibuni yameundwa mabaraza mapya ya Ardhi kwa lengo la kukidhi mahitaji kwa wilaya kadhaa. Lakini tatizo linalojitokeza ni uhaba wa wenyeviti katika mabaraza mapya yaliyoundwa na hata...
  3. R

    JamiiForums Mabaraza ya ardhi na nyumba ya Wilaya ni shida tupu

    Shida zenyewe ni hizi: 1. Yana Mwenyekiti mmoja ambaye anaweza kuwa anahandle kesi za wilaya kama 3 mfano Tanga DLHT kama sikosei (stand to be corrected) ana cater for, Korogwe, Pangani, Kilindi kuna Mwenyekiti mmoja. Backlog ni kubwa kiasi mtu case inapigwa kalenda/tarehe miezi sita!/mitatu...
  4. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania yang'ara uchaguzi wa mabaraza ya Umoja wa Posta Duniani (UPU)

    Abidjan, Ivory Coast, Tarehe 26 Agost,2021. TANZANIA YANG’ARA UCHAGUZI WA MABARAZA YA UMOJA WA POSTA DUNIANI(UPU) Tanzania imefanikiwa kupeperusha vema bendera yake kwenye Mkutano Mkuu wa 27 wa Umoja wa Posta Duniani unaoendelea jijini Abidjan, Ivory Coast, baada ya kuibuka kidedea katika...
Back
Top Bottom