Habari wana jukwaa!
Huko mitandaoni nimeona habari kuhusu jamaa wa LBTQ kuwa wameruhusiwa na Kanisa Katoliki kuhiji kwa mara ya kwanza huko Vatican.
Nimeona pia humu kuna uzi mmoja kuhusu habari hiyo. Kuna watetea kuwa Kanisa linapokea wadhambi wote, i.e wezi, majambazi, makahaba n.k...