mabadiliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mabadiliko yatakayoiponya nchi

    Ni ukweli kwamba kuna-sintofahama kubwa sana inayoendelea nchini kwa sahivi, Wananchi walio wengi hawana imani na mahakama Wananchi walio wengi hawaamini mchakato wa uchaguzi Wananchi walio wengi hawaamini kwenye bunge Viongozi walio wengi sio wote hawawatumikii wananchi inavyotakiwa NIKIWA...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa mabadiliko ya matumizi ya ardhi (Variation)

    Mabadiliko ya matumizi yanatokea pale ambapo mmiliki anapobadilisha masharti ya umiliki tofauti na yale aliyopangiwa awali. Mabadiliko haya ni kwa mujibu wa kifungu cha 35 cha Sheria ya Ardhi Na. 4 ya mwaka 1999. Kwa upande mwingine, mabadiliko ya matumizi yanaweza kutokea pale ambapo kuna...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Ukonga wataka mabadiliko Ubunge, wamtaja Msama kuwa ni mpambanaji

    Wakati vuguvugu la uchaguzi mkuu likipamba moto nchini kwa nafasi ya urais, ubunge na udiwani, wapiga kura wa Jimbo la Ukonga wamemtaja Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama kuwa ni mtu sahihi kwa 2025-2030. Kwa mujibu wa wakazi wa eneo hilo wanapoongelea uchaguzi wa mwaka huu, wamekuwa...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Ukweli Fikirishi: Nani Anataka Mabadiliko na Amani ya Kweli kati ya Wanaosema No Reform No Election na Wale Wanaosema Watalinda kura?

    Kuna vitu wala havihitaji kuwa la saba C kuving'amua. Huyu anasema no reform no election akimaanish bila mabadiliko ya kweli hakuna uchaguzi na hawa wanaosema watalinda kura.. Hivi unalindaje kura kwa mfano? Ni njia gani watazitumia? Halafu cha ajabu watu hao ni watz, wanajua context yote. Havana
  5. JamiiForums Tanzania Kwa nini nchi ya Kenya iliyofanya mabadiliko (reforms) kuliko nchi yoyote ukanda huu wananchi wake wanalalamika sana? Je, reforms tu zinatosha?

    Kuna watu wanaaminisha watu kwamba reforms ndio mwarobaini wa kila kitu, reforms ndio masiah. Kama kuna nchi imefanya reforms ya kuanzia katiba ya nchi mpaka ya chama cha kufa na kuzikana cha kule Sugoi, basi ni Kenya. Kwa nini Kenya haijawa paradiso ya Afrika Mashariki na Kati kiuchumi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania CCM na jeshi la Polisi wamejizatiti kukabiliana na mabadiliko wakidhani sisi tunafanana na Wakenya niwaambie tu kuwa mabadiliko yanakuja

    Assalam alaykum Mie nimekuwa nafwatilia mtifuano wa wanaharakati wa mabadiliko haswa Chadema na jeshi la Polisi na vyombo vingine Huwa nashangaa sana CCM wanadhani kuwa mabadiliko yanaletwa na watu kuingia barabarani na kupambana na askari wao Hali hii inawaganya kuwa weka askari...
  7. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia, Nakushauri (Mimi kama Mwana CCM Mwenzako) tuahirishe Uchaguzi ili Tufanye Mabadiliko ya Katiba na Sheria

    Kama uchaguzi utafanyika hiyo Mwezi Oktoba,madhara ya kisiasa,kiuchumi na kidiplomasia yatatokea kama ifuatavyo; 1. Mvurugano ndani ya CCM utakuwa wa wazi na mkubwa sana, 2. Uhasama baina ya vyama vya upinzani na CCM utaongezeka, 3.Uzalishaji wa mali ndani ya nchi utazorota na huduma kwa umma...
  8. JamiiForums Tanzania Nasisitiza umuhimu wa kusali na kufunga kwa ajili ya kuombea haki na amani nchini mwetu, kama ilivyoelekezwa na Baraza la Maaskofu

    Ndugu Watanzania, hususan Wakristo Wakatoliki, salaam za haki, amani, upendo na uadilifu kwenu. Awali ya yote, napenda kusema kuwa sisi Watanzania hatukufunzwa wala kulelewa tangu utotoni kuelewa thamani ya siasa na umuhimu wake katika maisha ya kila siku. Mwelekeo huu umeikosesha jamii yetu...
  9. JamiiForums Tanzania Kizazi cha 1995 , hiki ndo kilikuwa kizazi sahihi ambacho kingewezeshwa kingeleta mabadiliko ndo kizazi pekee kilipiga sana kura mwaka 2015

    Ukipitia Takwimu za Tume ya uchaguzi mwaka 2015. Utaona vijana waliojiandikisha mwaka 2015 walikuwa wengi Sana ni wakiozaliwa 1995. Mwaka 2015 , ukifatilia Sana utagundua kizazi cha 1995 kilikuwa kipo shaped kuleta changes . Ila kizazi hiki kinaenda kupotea vibaya Sana . Ndo amabcho...
  10. JamiiForums Tanzania Hatuwezi kupata mabadiliko iwapo mtesi wetu anakula na kushiba ni lazima afinywe na kukerwa ili akubali kukaa mezani na kujadiliana

    Katika nchi iliyokubali kuwa na vyama vingi vya siasa lakini katiba yake bado ni ya chama kimoja. Ili viongozi wao wawe bora ni lazima wapitishwe kwenye chuo cha Uongozi kilicho mkoa wa Pwani ambacho kinafadhiliwa na Jamhuri ya watu wa China. Chama kina viongozi wanaoamini upinzani ni uahaini...
  11. JamiiForums Tanzania Wanasiasa wanaongea tu na kujiongelesha ila miaka kumi haitoshi kuleta mabadiliko hapa Tanzania.!

    Huwa nikiwasikiliza wanasiasa wa Tanzania na ahadi zao najua kabisa hawa wanababaisha tu. Miaka kumi haitoshi kuleta mabadiliko kwa wananchi . Labda kama mnazungumzia kujenga barabara, matundu ya chooo vyumba Vya madarasa na zahanati. Ila mabadiliko yenyewe ambayo yanaweza kuitoa nchi kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa anaagizwa akalinde heshima ya Spika wa Bunge Mbeya? CDM waliona mbali make vipi wangekuwa ulingoni na haya yakatamkwa?

    Bado kuna wahuni humu wanataka Sugu aende ACT wazalendo na agombee Ubunge?
  13. JamiiForums Tanzania Kuna wakati nilidhania ongezeko la visirani kwa wadada ni kutokana na mabadiliko ya nyakati ila nilikosea. Ni kutokana udhaifu wa vidume wa kisasa

    Vijana wanababaishwa sana na wadada kwa sasa. Hata michepuko sasa eti inapelekesha boya hadi inanunulia malaya gari. Sio baba zao, sio boyfriend zao, sio wame zao kwa hawa wadada wa kileo. Wote chaliiii. Msimamo mkali wa mwanaume tangu enzi na wala ndoa hazikuwahi kuvunjika time and time...
  14. JamiiForums Tanzania Polisi wa Kenya wachezea kipigo na kuzidiwa na wananchi nchini Kenya je matukio haya yanaweza kuwa na matokeo chanya ya mabadiliko ?

    Polisi wa Kenya wachezea kipigo na kuzidiwa na wananchi nchini Kenya je matukio haya yanaweza kuwa na matokeo chanya ya mabadiliko ? Je, matukio haya yanaweza kukomesha uonevu wa mamlaka kwa wananchi ? je, matukio haya yanaweza kukomesha mauwaji ya raia yanayofanywa na polisi ? je, matukio...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa tunaotaka Mabadiliko Nchi hii tunaombea Simba Agome serious asilete Team uwanjani

    Habari Nisikuchoshe sana msomaji ila niseme hivi watanzania tunaotaka Mabadiliko katika hii Nchi tunaombea leo simba asilete Team uwanjani. WHY? Hii itamvuruga Mama yenu wa kilemba itatuma ujumbe mkubwa sana na atapata kiwewe na ukizingatia ni mwaka huu anahitaji Kura nyingi so atakua na...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa tusiwaamini hata kidogo hawako serious na mabadiliko ya haki ya mifumo inayopiganiwa na chadema, ni matumbo yao. Take note of this:

    1. Sheikh Ponda anagombea Ubunge Temeke..........................amekwenda ACT agombee 2. Peter madeleka Tabora........................... amekwenda ACT agombeee 3. "UOZO" wote uliotoka chadema unatafuta majimbo!...........................wanatafuta kugombea 4. Covid-...
  17. JamiiForums Tanzania Haki ya Wananchi Kukosoa, Kudai Mabadiliko na Kukataa Uchaguzi Usio Huru: Tathmini ya Kikatiba na Kisheria kwa Mustakabali wa Taifa

    Leo tunapaswa kujitafakari kwa kina kama taifa. Kuna hali ya kuogopa, kujishusha, na kujiaminisha kuwa sisi wananchi hatuna mamlaka ya kusema lolote kuhusu hatma ya taifa letu. Tumejenga tabia ya kuwaona watawala kama miungu wasiogusika, tukasahau kuwa kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano...
  18. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa siasa washtukiwe, maafa ya mabadiliko ya hali ya hewa hayapaswi kusahaulika Katika Ilani ya chama na kampeni za uchaguzi 2025

    Wakuu, Nimekua nikitafakari sana kuhusu hizi vurugu za wanasiasa pande zote upinzani na CCM, nikisikiliza hoja zao wakijiandaa na uchaguzi mkuu October 2025 Kwa hamu sana nilitamani nisikie wakiongelea Maafa yanayowakumba wananchi kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa hasa mafuriko ila ni...
  19. JamiiForums Tanzania IGP afanya mabadiliko ya baadhi ya Makamanda wa Mikoa leo Juni 17, 2025

  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bwege: CHADEMA wanadai haki, ACT tunaomba haki, CHADEMA wapo sahihi, Sisi ACT wanafiki

    Akihojiwa mambo mbalimbali na kituo cha redio cha East Africa mbunge wa zamani Sulemani Bungara almaafufu Bwege amesema kwamba Chadema ndio chama makini zaidi Tanzania kwani wao wameamua kudai haki za wananchi kwa kuwa duniani kote haki haiombwi bali hudaiwa ila ACT wao wanaomba haki kwahio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…