mabadiliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mimi nataka mabadiliko Tanzania ila siungi mkono maandamano au mapinduzi ya kijeshi

    Miezi ya hivi karibuni kuna mtanzania anaishi marekani anaitwa mange kimambi na ameitisha maandamano na mpaka sahivi anayapigia debe kwa njia mbalimbali kupitia mtandao wa instagram Wako watakaopiga kura Wako wanaosupport maandamano Wako wanaopinga Wako ambao hawajajua wako upande upi...
  2. passioner255

    JamiiForums Tanzania Huu ni muda wa mabadiliko

    Nataka niwaambie viongozi kwamba huu ni muda wa mabadiko, watu wanaona nchi ina rasilimali nyingi lakini masikini. Pia kuna, Rushwa, ufisadi, matumizi mabaya ya madaraka n.k, atakayetaka zuia mabadiliko hakika ataishia pabaya kama ambavyo yalivyo mabadiliko duniani kote.
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wana mabadiliko na wapigania haki Wamekosa Godfather au Mastermind ndio maana ushindi unachelewa

    Hamjambo wote! Mapambano kwa sasa ni makali sana. Upande wa watetezi wa haki unapata damage kubwa kwa kupoteza wapiganaji wake kila kukicha. Naona upande wa mabadiliko wamekosa Godfather au mastermind wa kuhakikisha madhara makubwa hayatokei kwa timu yao. Wakati upande wa wanamtandao...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Rais wa CHAD kuongoza kwa kipindi kisichokuwa na ukomo

    Bunge la Chad limepitisha marekebisho ya katiba yatakayomruhusu Rais kuongeza muda wa kukaa madarakani kutoka miaka 5 hadi 7 bila kikomo cha mihula, hatua iliyopigiwa kura na wabunge 171 na sasa inasubiri kuidhinishwa na Seneti. Kwa mujibu wa taarifa ya Radio France Internationale (RFI)...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ni sasa

    mabadiliko ni sasa
  6. E

    JamiiForums Tanzania Vyama vinavyojinadi kuleta mabadiliko ya Katiba baada ya uchaguzi kupitia Ilani

    Madai ya kuwa na katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano yamekuwa ya muda mrefu, tangu wakati wa kurejesha mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, ambapo Tume ya Jaji Francis Nyalali ilipendekeza suala hilo ili katika iliyokuwepo iendane na mfumo huo. Hata hivyo, mabadiliko ya Katiba hayakufanyika wakati...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Kuna maeneo 6 ya msingi hata kesho yakifanyiwa kazi Uchaguzi utakuwa wa haki

    Akizungumza na waandishi wa habari leo Jjijini Dar es Saam rais wa TLS Chama cha Wanasheria (Tanganyika Law Society ) Wakili Mwabukusi amesema kuwa kuna maeneo 7 critical na 6 niya muhimu sana hata kesho yakifanyiwa marekebisho uchaguzi unakuwa wa uhuru na haki tukikaa mezani tuone tatizo liko...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Shindano la uvumbuzi linaloongozwa na China laangazia vijana wa Kiafrika wanaoendesha mabadiliko endelevu

    Lavenda Chepkirui, mwanafunzi mwenye umri wa miaka 25 kutoka Chuo Kikuu cha Kabianga nchini Kenya, alipiga hatua kubwa ya kutimiza maono yake ya kubadilisha kilimo barani Afrika kwa kutumia suluhu rafiki kwa mazingira. Uvumbuzi wake, plastiki ya kwenye udongo inayoweza kuoza ambayo...
  9. Empty container for sale

    JamiiForums Tanzania Kuna siku nimeenda NIDA nilishangaa kuona hawa jamaa wapo na mabadiliko makubwa ya kihuduma .

    Hivi karibu nilihitaji huduma ya kuweka majina ya mdogo wangu vizuri. Mtiririko uliopo ni very advanced Sana mpaka nikasema Kongole.
  10. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Baada ya njia zote ya kistaarabu kufeli, Wapenda Mabadiliko fanyeni haya ili tupate Mabadiliko ya kweli

    Kwa sasa wenye mamlaka wameamua kutumia silaha zote dhidi ya wanaotetea Haki, Utawala Bora na Demokrasia. Wameona kuua, kuteka na kupoteza haitoshi hivyo sasaivi wamevifanya vyombo vyote vilivyotegemewa na Wananchi wa kawaida kuwa dhidi ya Wananchi hao. Kutumika kwa Mahakama kukandamiza Haki...
  11. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Vyovyote vile, yakitokea Mabadiliko nchini, hatuna budi kuziunda upya Taasisi zifuatazo ili kuliokoa Taifa na Watu wake

    Kwa mahali tulipofika Tanzania, haijalishi hili litafanikiwa mwaka gani, ila kwa uozo uliopo kwenye hili Taifa na mifumo yake endapo mabadiliko yakitokea, iwe kwa njia halali au zisizo halali, baada ya kuipatia nchi Katiba Mpya, hatuna budi kuzifanyia mabadiliko na kuziunda upya kabisa Taasisi...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nimemsikia Dkt. Malisa akisema kama hakutakuwa na Mabadiliko anayodai Viongozi wa Dini zote wataongoza maandamano

    Akiongea na Watanzania walioko Diaspora kupitia mtandao wa Sauti ya Watanzania au Clubhouse,Dk Malisa alisema kuwa kama mambo anayodai mahakamani hayatakubaliwa,Viongozi wa Dini zote watawaongoza watanzania kuandamana kudai maboresho ya sheria za uchaguzi. Amesema amekuwa akiwasiliana na...
  13. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko yamefungwa kwenye ubaya

    Kabla sijaja public na kudeclare nia yangu ya kutaka kuwa Rais wa Tanzania ilinibidi kwa jasho na damu nijufunze uongozi ni nini??? unfortunately elimu haifundishi masomo ya uongozi kwa hiyo ilinibidi binafsi nijufunze kwa nguvu zote uongozi ni nini Na moja ya mambo niliyojifunza ni hili...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Hakuna kura ya hapana, wajumbe 99.8% walioshiriki wanataka Maboresho ya Katiba CCM

    Wakuu, Haya ndo yanayojiri uko kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa CCM, wajumbe wanataka Mabadiliko Hao watatu wameharibu kura sijui ni kina nani Soma pia: GE2025 - CCM yafanya marekebisho ya Katiba yanayohusisha maamuzi ya Kamati Kuu
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Akidi ya Wajumbe itapatikanaje na Kura kukubali mabadiliko zitapigwaje

    Tunajua utaratibu wa kubadili katiba unahitaji idadi fulani ya wajumbe lazima ifikiwe aidha nusu au robo tatu na mabadiliko yeyote lazima yaungwe mkono kwa kupigiwa kura. Haya yote yatafanyika vipi mtandaoni, wanachama watashirikishwa vipi kubadili katiba yao ambayo ndio mwongozo mkuu wa chama...
  16. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanachama wa CCM hawana uelewa na mabadiliko

    CCM inaweza kuwa inafanya “legitimization” ya maamuzi ambayo tayari yalishachukuliwa bila kufuata Katiba kikamilifu – sasa wanajaribu kusahihisha kiufundi ili yasiwe kinyume cha taratibu. Pili Kwa chama ambacho ina wanachama wengi vijijini kikao Cha mtandao siyo inclusive kwani bado tuna...
  17. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania CCM wameshindwa kufanya mabadiliko ya katiba ya nchi, Wameamua kubadili katiba ya chama ili kumbeba mgombea aliyepitiahwa kwa njia HARAMU.

    Mimi nampenda sana rais Samia Suluhu Hassan lakini anachotaka kukifanya ni UDIKTETA. Tafadhali sana ndugu Samia elewa kwamba tumekuchoka, nenda ukapumzike tu kizimkazi wakati sisi tunawashughulikia matapeli wa bandarini, KIA na bonde la Ngorongoro.
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Baraza la Wauguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) yatoa ufafanuzi kuhusu hoja za Mdau aliyehoji utendaji wao

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kutoa hoja kadha akieleza kuwa haridhishwi na utendaji wa Baraza la Wauguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) akidai halisimamii vizuri uhuishaji wa leseni na mengine kadhaa, ufafanuzi umetolewa na Baraza hilo... Hoja ya awali ya Mwananchi huyo ipo hapa - Baraza...
  19. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jaji Jacobs amesema Sheria 2 mpya zimeketa mabadiliko. Ila naona bado hazijakaa sawa

    MWENYEKITI wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele, amesema sheria mpya mbili za uchaguzi zimeanzisha mabadiliko muhimu, yakiwemo kuruhusu wapiga kura waliojiandikisha kupiga kura ya Rais nje ya vituo vyao vya kawaida, pamoja na kuweka utaratibu wa uchaguzi...
  20. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko yatakayoiponya nchi

    Ni ukweli kwamba kuna-sintofahama kubwa sana inayoendelea nchini kwa sahivi, Wananchi walio wengi hawana imani na mahakama Wananchi walio wengi hawaamini mchakato wa uchaguzi Wananchi walio wengi hawaamini kwenye bunge Viongozi walio wengi sio wote hawawatumikii wananchi inavyotakiwa NIKIWA...
Back
Top Bottom