mabadiliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wanapinga “No Reform, No Election” kwa sababu mabadiliko ya kweli yanaondoa mazingira wanayoyadhibiti, yanafungua uwanja wa ushindani wa haki

    Kauli ya “No Reform, No Election” ni tamko linalodai uchaguzi usifanyike bila kwanza kufanyika kwa mabadiliko ya msingi ya mfumo wa uchaguzi. Wakati makundi ya upinzani au wanaharakati wanapotoa kauli hiyo, mara nyingi huwa na hoja kwamba mazingira ya sasa ya uchaguzi hayatoi usawa, haki, wala...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kama mitandao ya kijamii haina nguvu na ni upuuzi, mbona Tunisia na Misri walipata mabadiliko kupitia mitandao ya kijamii?

    Dunia imebadilika sana. Dunia ya miaka ya 1960's mpaka 1980's sio kama ya leo. Huko Tunisia walipata mabadiliko kupitia mitandao ya kijamii. Huko Misri nako mitandao ya kijamii ilitumika kumuondoa Hosni Mubarak. Vivyo hivyo hata hapa Tanzania mabadiliko yanaweza kupatikana kupitia mitandao...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wasipopata mabadiliko kutokea ndani, Watayatafuta kutokea nje

    Katika miaka ya 1990's Mwalimu Nyerere alipokuwa akiongea na waandishi wa habari. Aliongea kwa kirefu sana kuhusu watu kujaribu kutumia mataifa ya nje kushinikiza mabadiliko ndani. Akasema tujitahidi mambo yetu tuyamalize humuhumu sisi wenyewe. Akatolea mfano wa baadhi ya marais wa Afrika wa...
  4. Mshuza2

    JamiiForums Tanzania Simba na yanga pamoja na wasanii wanachelewesha mabadiliko nchii hii

    Nimeona Leo niseme ukweli kama Kuna maadui na hawasemwi katika taifa hili basi ni hawa watatu,Simba,yanga na wasanii( muziki na filamu). Wamekua wakitumika kama silaha ya kuhamisha ajenda muhimu za kitaifa..na mbaya zaidi watanzania wengi wameingia kwenye mfumo. Serikali inawatumia Hawa...
  5. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Ukitaka Kuwa Mjanja Maishani, Haya Ndio Mambo 14 Ambayo Watulivu Huwaza Usiku na Kuyafanyia Kazi Wakiamka

    Maisha haya hayana ramani. Hakuna aliyewahi kuyaelewa kwa ukamilifu. Kadri tunavyoishi, ndivyo tunavyogundua kuwa yale tunayoyachukulia kuwa kweli—mara nyingi si kweli kabisa. Ni kana kwamba maisha yana kauli yao ya chinichini: “Utakapodhani umeelewa, ndipo tunapokudanganya.” Katika makala hii...
  6. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 BAWACHA: Tanzania haina demokrasia ya kweli, tupiganie mabadiliko, CHADEMA hatuogopi uchaguzi bali tunadai haki za wananchi

    Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Taifa, Sharifa Suleiman, amewataka wananchi wa Moshi mkoani Kilimanjaro kuungana na harakati za kudai mageuzi ya kweli ya kisiasa na kisheria, akisisitiza kuwa bila marekebisho ya sheria za uchaguzi, hakutakuwa na uchaguzi. Akihutubia wakazi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025, naomba tukubali mabadiliko.

    Ni muhimu sana kwa viongozi wetu kuona hali halisi iliyopo sasa kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025. Hali inaonesha kwamba, Watanzania wanataka mabadiliko. Kwa sababu viongozi ni kwa ajili ya Watanzania wapatao 60,000,000 na si kwa ajili ya viongozi wenyewe ambao pengine wanaweza wasifike...
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya sheria za uteuzi yalipaswa kuongelewa na kina IGP wenywe sio mpaka wasemewe na Gwajima

    closed
  9. Mvinyo mpya

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko makubwa before uchaguzi

    System imeamua. Mabadiliko makubwa before uchaguzi
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Wasimamizi wa uchaguzi wazalendo wanapaswa pia kupiga picha wizi wa kura kwenye uchaguzi kama njia ya kufichua uovu na kuchochea mabadiliko ya haki

    Nitoe wito kwa Wasimamizi wa uchaguzi wazalendo wanapaswa pia kupiga picha wizi wa kura kwenye uchaguzi kama njia ya kufichua uovu na kuchochea mabadiliko ya haki. Lazima tuwe waasi dhidi ya uovu, wizi na ufisadi ili tusonge mbele msifumbie macho suala hili kwa mchango wenu mnaweza kulisaidia...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania JamiiForums imekuwa sehemu ya kukwamisha mabadiliko halisi kwa kuwa kichaka cha waoga?

    Nimeona mbunge mmoja wa Kenya anasema Tanzania mtu akidhulumiwa haki zake au akionewa atakaa kimya au atakimbilia mitandaoni tena kwa ID za kificho kutoa malalamiko yake. Hii kauli inafikirisha ukiangalia jinsi mtandaoni watu kupitia ID za kificho(anonymous) walivyo wengi na wenye moto na...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Japo Katiba ni 'Kakitabu Tu', Kwenye Nchi, Katiba Ndio Kila Kitu, Bila Mabadiliko Madogo ya Katiba Uchaguzi Mkuu Utakuwa ni Null & Void Ab Initio?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu gezeti la Mwananchi. Leo, naendelea na zile makala za Ijue Katiba ya JMT, leo nikijikita kwenye umuhimu wa mabadiliko madogo ya katiba, minimum reforms, kuna Watanzania wengi wamelisikia hili neno minimum reforms, baada ya Chadema kulivalia njuga na kutoa kauli...
  13. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Somo la kihistoria: Tanzania inawahitaji sana diaspora katika kuleta maendeleo

    SEHEMU YA KWANZA: UTANGULIZI Katika kusoma kwangu historia ya dunia, hasahasa ya miaka 300 iliyopita sijawahi kuona popote mabadiliko makubwa yamefanyika ndani ya nchi fulani bila msaada wa Diaspora. Katika miaka 300 iliyopita, mapinduzi makubwa ya kisiasa ambayo ni somo kwa dunia nzima...
  14. bulajunior

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko yafanyike kwa Jamii nzima ya watanzania

    Naomba namimi nichukue nafasi hii kutoa mawazo yangu: Nimekutwa nikiona na kusikia reforms ambazo zinaendeshwa na kuenezwa nchi nzima na chama cha siasa kimoja hapa nchini. Watanzania wenzangu niseme kuwa tunakotaka kufika sio kwa namna hii tutajikuta tumeumizana sana hata hao viongozi nao ni...
  15. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Hotuba hii ya Nyerere, hakika alikuwa mdau aliyependa mabadiliko ya Sheria Mbovu kwenye chaguzi, angekuwepo leo angeihubiri 'No reforms No election'

    Wakuu Hii ni sehemu ya hotuba ya baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere aliyoitoa siku ya wafanyakazi Duniani Mei1, 1995 Mjini Mbeya. Pengine angekuwepo leo angesema 'No reforms No election' === Hoja ya kuruhusu wagombea binafsi Nataka kusema kauli ya mwisho kuhusu sheria ya uchaguzi ilivyo sasa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Mabadiliko Je Zitto alikuwa sahihi kutaka kumng'oa Mbowe?

    Sote tunaona yanayoendelea ndani ya CHADEMA ya leo. Uchaguzi ndani ya chama umezaa kizaazaa baada ya madalali wa kisiasa nchini kupigwa chini. Takriban miaka 12 iliyopita, wakati huo Kijana Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba walipanga mkakati wa kumng'oa Freeman Mbowe, hoja yao kuu...
  17. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Pascal Mayala: Waliohamia CHAUMMA, hakuna aliyewahi kuwa na jimbo, pia pasipokuwa na mabadiliko kuelekea uchaguzi CHADEMA kwisha habari yao

    Akifanya mahojiano na Bongo FM Pascal Mayalla nimekusikia ukisema waliohamia CHAUMMA, hakuna aliyewahi kuwa na jimbo, bila malegend waliowahi kuwa wabunge chama hicho hakitoboi. Pia nimekusikia ukisema pasipokuwa na mabadiliko kuelekea uchaguzi CHADEMA kwisha habari yao, kwamba itakuwa ndiyo...
  18. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maoni ya wananchi, Post ya TBC instagram na Facebook ikihoji 'Una sifa ya kupiga kura?' waapa bila mabadiliko hawapigi kura

    Wakuu Wazee wa mioto kutoka Instagram na Facebook wameruka na post ya TBC iliyouliza Je, una sifa za kupiga kura? Na hizi ndiyo comments zao Na hawa ni wadau wa Facebook wanataka uchaguzi huru na haki
  19. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watu wanasema Rais amechafukwa! Hebu acheni kuleta masihara, anataka tutimize haki zetu kupiga kura afanye mabadiliko ya kiuchaguzi hayupo serious

    Nimesikia watu wanasema Rais amechafukwa hebu acheni kuleta masihara anataka tutimize haki zetu kupiga kura afanye mabadiliko ya kiuchaguzi hakuna haki za mdomo pekee hayuko serious. Hatuwezi kutimiza haki zetu kwa uchaguzi huu unaofanyika vile mtu mmoja anataka ufanyike hivi na sio watanzania...
  20. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko 7 ya Mtazamo Yanayoweza Kubadilisha Maisha Yako

    Mafanikio yako yanategemea sana mtazamo wako. Wazo hili nililipata katika uzoefu wa Richard Yu. Alikimbia China ya Kikomunisti, akaanza maisha upya Marekani (yeye na wazazi wake), na baadaye akajenga biashara kadhaa zenye mafanikio—ikiwemo online school (shule ya kidigitali). Safari yake...
Back
Top Bottom