maandishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Abby Uladu

    JamiiForums Tanzania Tafakuri juu ya Hawa(EVA) kusingiziwa kuwa alimshawishi Adam Kula tunda na msimamo katika maandishi ya dini kwa mwanamke.(Part 1)

    Dini zote mashuhuri duniani hasa Ukristo ,Uyahudi na Uislam zinakubaliana ya kuwa binaadam ameumbwa na Mungu,ambaye ni muumba wa ulimwengu mzima.Licha ya hivyo utofauti unakuja mara baada ya kuumbwa mwanaume wa Kwanza(Adam).zipo tafakuri na dhana za kiitikadi mbalimbali katika dini tofauti juu...
  2. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Michoro ya X na maandishi ya bomoa bomoa barabara ya Chamazi Mbande ni uhalibifu wa pesa za walipa Kodi

    Meneja wa TAN ROADS uliwatuma watu wakachole bomoa bomoa katika majumba yote yanayosemekana yapo barabarani na Nina uhakika hi kazi wale walioifanya hakufanya Bure ila walilipwa pesa nyingi tu Hivi Sasa watu wamegundua kuwa ule ulikuwa usanii na watu wameanza kujenga Kwa Kasi katika hayo hayo...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Bilionea Mbowe, amewekeza Bei Gani sisizo na maandishi CHADEMA?

    Hellow! Nimewahi kumsikiza Mh Mbowe akisema kuwa amewekeza pesa nyingi ndani ya chama, Nimesoma pia utetezi wa Yeriko Nyerere kumhusu Mkt Mbowe kuwa bila utajiri wa Mbowe na msimamo wake, CHADEMA ingeshajifia chini ya utawala wa Magu. Swali: Ikiwa tunataka mrithi wa Mbowe Kwa nafasi ya Mkt...
  4. At Calvary

    JamiiForums Tanzania Tatizo la maandishi kujirudia kwenye display, Masada natatua vipi?

    Jambo wapendwa wa jamii forum. Ni matumaini yangu mko poa wote, kwa wenye changamoto nawaombeeni kwa Mungu awafanyie wepesi. Moja kwa moja kwenye mara. Karibuni nimekuwa nikipata uzoefu mbaya katika utumiaji wa simu yangu. Iko hivi mara kwa mara nikiwasha simu kama ilikuwa imelala imekuwa...
  5. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Jezi za Yanga na maandishi makalioni

    Kwa muda mrefu kuna watu walikuwa wameshupalia maandishi ya Mo Dewji Foundation yaliyo nyuma ya jezi ya Simba. Kejeli zikawa nyingi pamoja na kwamba maandishi hayo yapo kiunoni na si makalioni. Cha ajabu, jezi mpya za Yanga zina maandishi makalioni kabisa pale mstari wa makalio unapoanzia ila...
  6. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Naomba majibu rasmi ya maandishi kutoka BOT juu ya wao kupokea pesa haramu zilizopitwa na wakati, BOT inafanya biashara na maharamia?

    Benki kuu ya Tanzania (BOT) wanawajibu wa kutoa ufafanuzi juu ya kwanini wanapokea pesa haramu kutoka kwa maharamia? Nafafanua ni kwanini nasema hivi… Pesa ya zamani ikitaka kufutwa na kuletwa pesa mpya kwenye mzunguko, BOT hutoa tangazo rasmi juu ya muda wa kuanza kupokea pesa za zamani pamoja...
  7. ragin

    JamiiForums Tanzania Haya maandishi yalikuwa yana maana gani?

    Tuliosoma shule za kayumba hatukuwa na muda wa kusoma na kungamua maandishi hivi sasa ndio nimeelewa waliandika hivi na je walikuwa wana.maana gani? Walikosa neno lingine au basi kuna jambo? DIETZ alimaanisha watumiaji wote tutafia Tanzania hatutatoboa kwenda nje ya nchi au😂
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania TLS pamoja na Mwabukusi waziombe radhi Simba na Yanga hadharani kwa kuzitolea kauli za hovyo

    Nimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi Hii ni dharau kubwa kwa klabu hizo ambazo zimejijenga kwa miaka...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Maandishi ukutani

    Maandishi Ukutani 1 Mfalme Belshaza alifanya karamu kubwa kwa ajili ya maelfu ya wakuu wake na akanywa mvinyo pamoja nao. 2 Wakati Belshaza alipokuwa akinywa mvinyo wake, aliamuru viletwe vile vikombe vya dhahabu na fedha ambavyo Nebukadneza baba yake alikuwa amevichukua kutoka hekaluni huko...
  10. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kipi cha kufanya unapohisi Kuna kitu kibaya kinaenda kukutokea?

    Unapokuwa na wasiwasi wa kutekwa, kuuliwa, kukamatwa na watu wasiojulikana unapaswa kufanya nini? 1. Kuripoti polisi. Swali ni unaripoti kwa muktadha upi ukiulizwa kipi kinakufanya uwe na mashaka ya kutokewa na kitu kibaya utawaambia Nini kama ushahidi? je nikiwaambia hisia zangu zinaniambia...
  11. Intricate

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gharama za kusajili cheti cha ndoa RITA ili kupata nakala ya maandishi katika daftari la ndoa

    Habari, Kwa mwenye kujua gharama za kusajili cheti cha ndoa RITA tafadhali pamoja na process zake. Natanguliza shukran za awali.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli maandishi yote kwenye Bibilia yaliandikwa kwanza kwenye nawe na iliwezekana?

    Mimi kama Mkristo, moja ya simulizi ni kuwa maandiko katika kitabi cha Bibilia yalianza kwa kuandikwa kwenye ngozi, mawe na mfano ni amrii kumi za Mungu kupitia Nabii Mussa. Tunaambiwa Mungu alishusha hizo amrita kwa Mussa na baadae zikaandikwa kwenye mawe na ndio hizi tunazisoma katika...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kupitia ilani ya Uchaguzi, CCM iliahidi kwa maneno na maandishi; Hivi sasa inatekeleza na kutimiza ahadi zake kwa vitendo

    Mungu atupe nini tena Watanzania, zaidi ya kumuomba katika umoja wetu, airejeshe madarakani tena na tena, Serikali sikivu sana ya CCM? Ndugu Wananchi, Maelezo mafupi sana mnayoyaona katika mabango pembezoni mwa barabara, kwenye kuta za fensi maeneo mbalimbali, kwenye magari binafsi, bodi za...
  14. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Program gani ya AI inatafsiri sauti kupeleka kwenye maandishi?

    Wakuu wa AI Ni App gani naweza kutumia kugenerate maandishi kutoka kwa sauti kufanya yawe maandishi?
  15. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Napata maandishi haya nikiiwasha hii laptop leo

    Wakubwa shida itakua ni nini humu kwenye hii laptop angali hii picha
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania NACTVET: Malalamiko kuhusu vyeti yanatakiwa kuwasilishwa kwetu kwa maandishi

    Baada ya malalamiko kutolewe na member kwenye Jukwaa la Habari na Hoja ndani ya JamiiForums.com kuhusu Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) kuwazungusha baadhi ya watu ambao wanafanya mabadiliko ya taarifa za vyeti vyao vya elimu, mamlaka husika imetoa maelezo...
  17. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kwa nini karatasi zenye taarifa za Onyo kwenye Bidhaa hasa za Madawa huwa na Maandishi madogo sana?

    Hello hello, Tusaidiane kujibu hilo swali tafadhari nimewiwa kujua sababu au umakusudi nyuma ya pazia na. Je, hayo maneno ya onyo hujumuishwa kwenye matangazo ya hizo bidhaa kabla ya kumfikia mteja? Nawasilisha. Shukrani kwa mwitikio wako. Wadiz.
  18. D

    JamiiForums Tanzania TRA wapo sahihi kabisa kupuuza maagizo hewa ya wanasiasa! Serikali inafanya kazi kwa maandishi

    Ni aibu kubwa sana ukiisikiliza speech ya waziri mkuu! Ni kweli viongozi wakuu waheshimiwe lakini kauli tupu pasipo maandishi ni usanii mtupu! Wahenga waliwahi kusema "government work on paper " Maagizo bubu ya midomo kama hayo tuliyasikia kwenye shirika la umeme kwamba Nguzo za umeme ni...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nabii Musa hajawahi kumtaja Shetani mahali popote katika maandishi yake; Uasi ni uamuzi wa MTU na sio Shetani

    NABII MUSA HAJAWAHI KUMTAJA SHETANI MAHALI POPOTE KATIKA MAANDISHI YAKE; UASI NI UAMUZI WA MTU NA SIO SHETANI. Anaandika, Robert Heriel Kuhani Mhusika Shetani amekuwa zaidi maarufu katika vitabu vya Injili kuliko vitabu vya Torati, Zaburi na vitabu vya manabii wadogo kama kina Daniel, Yona...
  20. Equation x

    JamiiForums Tanzania Warembo kuvaa nguo zenye maandishi ya kusisimua, uko ni kutegana.

    Nikikuona dada mrembo umevaa nguo yenye maandishi ya kunishawishi au kusisimua, nitachukulia yale maandishi ndicho wewe unacho maanisha. Kwa hiyo mimi nikitekeleza kwa kufuata yale maandishi yanavyotaka mimi nifanye, usinione mi mbaya. Shauri yenu warembo, endeleeni kuvaa nguo zilizoandikwa...
Back
Top Bottom