maandishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mojtaba Khamenei atoa msimamo mkali kuhusu vita kwa njia ya maandishi

    Hotuba yake imesomwa kwenye vyombo vya habari na haya ndiyo yaliyojiri:- Kiongozi Mkuu mpya wa Iran amezungumza sasa hivi, na ni mbaya zaidi kuliko nilivyotarajia. Kauli kuu: 1.“Vituo vyote vya Marekani vinapaswa kufungwa mara moja katika eneo hilo, vituo hivyo vitashambuliwa” 2.“Tutapata...
  2. Tunaweza tusiwepo ila maandishi yanabaki Nina maono

    Yawezekana mbeleni wale wanaojificha kuukwepa mkono wa sheria za mabavu ya Serikali iliyoko madarakani ndo baadae wakashika madaraka ! Yawezekana hapo baadae tunaowa abudu madarakani itatokea siku wakapanda haya haya magari ya kuelekea keko na segerea au basi gereza jingine! Yawezekana kabla...
  3. Wengi wetu humu JF tunaunga unga sana ni basi tu maandishi yanatufanya tuonekane wamoto na sio kitu kibaya maana tunakuja kupunguza stress humu

    Kuna wakati nilijua kila mwana JF anaendesha crown na harrier. Mkate wananua mlimani mall tu Pia nilijua kila demu ni slay queen na matipwa tipwa, Nilijuaga members wote humu wamesoma zile shule za "dont touch me" maana majina yao karibia wote ni ya lugha ya malkia elizabeth. Nilijihisi niko...
  4. M

    Je, Kuna kabila lolote Tanzania lililowahi kubuni mfumo wake wa maandishi

    Katika makabila zaidi ya 120 Tanzania, lipo hata moja lililowahi kupata akili ya kugundua maanishi yanaweza kutumika kama njia mbadala ya kuongea maneno kwa mdomo ? Ni lugha ya maandishi, Sio kuchora au kuchonga vinyago
  5. Kuna umuhimu wa kutunza kumbukumbu za Kifamilia na kuziweka katika maandishi kuwa documented n.k

    Wakati nasoma historia ya ukoo wetu kuanzia mwaka 1890s mpaka 2025. Nimepata mambo yafuatayo Kila MTU aliyejaribu kuvuta Bangi alichanganikiwa na kupoteza mwelekeo. Hii ni historia ambayo nimeifanyia research . Nimeandaa Family Tree kwa kuangalia mambo mengi kuhusu Changamoto za ukoo Kama...
  6. Hii picha imenifikirisha sana

    Huyu wa kushoto amekaribishwa na huyu wa kulia katika nchi yake bila shurti ya maelekezo ya kufuata utamaduni wake na itikadi yake na baada ya muda atafanya maandamano kushinikiza tamaduni yake ifatwe ingawa yupo ugenini na kwa bahati yake nzuri atasikilizwa. ILA, Huyu wa kulia akienda kwenye...
  7. U

    Je upo ushahidi Nyerere aliwasaliti Waislamu, Je yapo makubaliano yeyote ya maandishi waliyoingia baina yao kabla ya uhuru

    Wenye ilimu karibuni
  8. Nafasi za Kazi ya Kusikiliza Audio na Kuhariri Maandishi

    🚨 NAFASI ZIMEJAZWA TAYARI 📝 Tangazo kutoka Bright and Genius Editors Bright and Genius Editors inatangaza nafasi za kazi kwa watu wenye uwezo wa kusikiliza sauti na kuhariri maandishi yaliyopatikana kutoka kwenye audio kwa usahihi na ufasaha. 🔊 Kazi: Kusikiliza Audio na Kuhariri Maandishi 💻...
  9. Maandishi yananitesa kuandika

    Habari zenu wapendwa wanajukwaa. Nawasilisha, kama wewe ni mwanafunzi, mwalimu, au mtafiti anayekumbana na changamoto za kuandaa maandishi bora, basi usiwe na wasiwasi! Nimekuwa nikitoa msaada kwa watu mbalimbali katika kazi za maandishi, na niko tayari kusaidia hapa pia. Naweza kukusaidia...
  10. Unahitaji huduma za maandishi, tafsiri au uhariri?

    Habari Wana Jamiiforums! Kama wewe ni mwanafunzi, mfanyabiashara, blogger, YouTuber, au mtu yeyote wa kawaida anayehitaji msaada wa haraka na bora katika kazi za maandishi na content. Usihangaike tena! NATOA HUDUMA ZIFUATAZO: Kuandika Articles & Blogposts kwa tovuti, mitandao ya kijamii au...
  11. Maandishi ukutani:-Enyi muombolezao, jiandaeni kububujikwa na machozi ya furaha. Haki huinua taifa

    Mungu amesikia kilio chenu enyi muombolezao. Tazama zaja siku SI nyingi mtalia kilio Cha furaha kabla mwaka haujatimiza miezi kumi.
  12. DRC yaombwa kuiomba maongezi M23 kwa maandishi

    Hata hivyo, upande wa M23 kwa sasa haujamtambua Felix kama rais wa nchi, bali kama Mr. tu. Hili lina maana yake huko mbele.
  13. Ushauri wa Maboresho kwa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA, maandishi yote yaandikwe kwa kuchomwa au kwa kutumia (Permanent Ink for Plastic)

    Ushauri wa Maboresho kwa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA, maandishi yote yaandikwe kwa kuchomwa au kwa kutumia Permanent Ink for plastic ili yasifutike kwa haraka Ili kuboresha vitambulisho vya Taifa vidumu kwa muda mrefu zaidi kuna haja ya maandishi kuandikwa na Mashine zenye uwezo wa...
  14. Msaada jinsi ya kuandika maandishi mahali na kuyahifadhi ili baadae kuyachapisha au kuyahamishia mahali pengine

    Msaada wakuu, nawezaje kuandika maandishi mengi na kuyahifadhi kwenye simu yangu (nje ya mtandao) ili baadae nikitaka kuyahamishia mahali kama hapa jf, facebook na sehemu nyingine yoyote. Kwa mfano nataka kuandika hadithi ila nataka niwe naiandika kidogo kidogo ili mwezi mmoja mbele niipost...
  15. Tafakuri juu ya Hawa(EVA) kusingiziwa kuwa alimshawishi Adam Kula tunda na msimamo katika maandishi ya dini kwa mwanamke.(Part 1)

    Dini zote mashuhuri duniani hasa Ukristo ,Uyahudi na Uislam zinakubaliana ya kuwa binaadam ameumbwa na Mungu,ambaye ni muumba wa ulimwengu mzima.Licha ya hivyo utofauti unakuja mara baada ya kuumbwa mwanaume wa Kwanza(Adam).zipo tafakuri na dhana za kiitikadi mbalimbali katika dini tofauti juu...
  16. Michoro ya X na maandishi ya bomoa bomoa barabara ya Chamazi Mbande ni uhalibifu wa pesa za walipa Kodi

    Meneja wa TAN ROADS uliwatuma watu wakachole bomoa bomoa katika majumba yote yanayosemekana yapo barabarani na Nina uhakika hi kazi wale walioifanya hakufanya Bure ila walilipwa pesa nyingi tu Hivi Sasa watu wamegundua kuwa ule ulikuwa usanii na watu wameanza kujenga Kwa Kasi katika hayo hayo...
  17. R

    Bilionea Mbowe, amewekeza Bei Gani sisizo na maandishi CHADEMA?

    Hellow! Nimewahi kumsikiza Mh Mbowe akisema kuwa amewekeza pesa nyingi ndani ya chama, Nimesoma pia utetezi wa Yeriko Nyerere kumhusu Mkt Mbowe kuwa bila utajiri wa Mbowe na msimamo wake, CHADEMA ingeshajifia chini ya utawala wa Magu. Swali: Ikiwa tunataka mrithi wa Mbowe Kwa nafasi ya Mkt...
  18. Tatizo la maandishi kujirudia kwenye display, Masada natatua vipi?

    Jambo wapendwa wa jamii forum. Ni matumaini yangu mko poa wote, kwa wenye changamoto nawaombeeni kwa Mungu awafanyie wepesi. Moja kwa moja kwenye mara. Karibuni nimekuwa nikipata uzoefu mbaya katika utumiaji wa simu yangu. Iko hivi mara kwa mara nikiwasha simu kama ilikuwa imelala imekuwa...
  19. Jezi za Yanga na maandishi makalioni

    Kwa muda mrefu kuna watu walikuwa wameshupalia maandishi ya Mo Dewji Foundation yaliyo nyuma ya jezi ya Simba. Kejeli zikawa nyingi pamoja na kwamba maandishi hayo yapo kiunoni na si makalioni. Cha ajabu, jezi mpya za Yanga zina maandishi makalioni kabisa pale mstari wa makalio unapoanzia ila...
  20. Naomba majibu rasmi ya maandishi kutoka BOT juu ya wao kupokea pesa haramu zilizopitwa na wakati, BOT inafanya biashara na maharamia?

    Benki kuu ya Tanzania (BOT) wanawajibu wa kutoa ufafanuzi juu ya kwanini wanapokea pesa haramu kutoka kwa maharamia? Nafafanua ni kwanini nasema hivi… Pesa ya zamani ikitaka kufutwa na kuletwa pesa mpya kwenye mzunguko, BOT hutoa tangazo rasmi juu ya muda wa kuanza kupokea pesa za zamani pamoja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…