Uajemi na umedi ni Dola kubwa lilotawala ulimwengu miaka mingi kabla ya Kristo
Baada ya hapo ndipo warumi wakatawala Dunia Kwa muda mrefu sana Hadi Leo alama zake tunaziona
Baada ya Rumi kuanguka Marekani kama Pembe mojawapo kati ya mataifa ya ulaya ndo superpower wa dunia ingawa hawezi kuwa...
Wafu kufufuliwa au kutofufuliwa kulingana na maandiko
Katika kitabu cha Ayubu 14:12 tunasoma kuwa wafu hawafufuliwi. Katika kitabu cha 1Wakorintho 15:51 tunaona biblia inasema wafu watafufuliwa. Je, biblia imejichanganya?
Tuelewe kabisa kuwa biblia kamwe haijichanganyi, wala haijawahi...
Mwanzo 2:24
[24]Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.
Therefore shall a man leave his father and his mother, and shall cleave unto his wife: and they shall be one flesh.
Nimeweke na tafsiri ya kiingereza ili ilete maana yenye...
Ndoa au bila ndoa chini ya maandiko matakatifu
Ndoa ni nini
Ndoa ni mkataba unaofungwa katika kanuni timilifu za Mungu, alizozikusudia tangu mwanzo, kati ya nwanamume na mwanamke.
Kifungu cha 1Wakorintho 7:28 cha maandiko
1Wakorintho 7:28: "Lakini, kama ukioa, huna hatia; wala mwanamwali...
Maandiko Yasemavyo Kuhusu Manabii na Mitume wa Kweli na Uongo
Huduma ya mitume na manabii wa uongo na hasa ya kinabii, ilitabiriwa tangu enzi za Agano la Kale, kwamba itakuwepo duniani, na sasa ipo.
Kitabu cha Yeremia 14:14: "NDIPO BWANA AKANIAMBIA, HAO MANABII WANATABIRI UONGO KWA JINA LANGU...
Serikali ya Tanzania lazima ikubali kuwa chanzo cha matatizo yote hadi vurugu za D29 ni ukosefu wa ajira na maisha magumu kunakopelekeanchuki kwa vijana dhidi ya serikali,matajiri na viongozi.
Hivyo basi kama serikali inaweza kujidhamini na kukopa fedha nje ya nchi kwanini isiwadhamini vijana...
Watanzania ifike sehemu Tupunguze unafiki tukiamua kupenda unafiki basi tukomae nao bila kuficha,
Na tukiamua kuacha unafiki Tuache bila kuficha...
Kiwango kikubwa hicho cha unafiki huwenda kikageuzwa na Neema(Grace) kuwa baraka.
Tuelewe kwanza, biblia haifundishi kuwa Dini ndio kigezo cha...
Wana Jamiiforums huyu Member mwenye kuitwa Lucas Mwashambwa amekuwa na maandiko yenye ushabiki usio na hoja, unaokusudia kusifia kwa lugha ya mihemko badala ya kutathmini uhalisia wa utawala wa Rais Samia kwa hoja na takwimu.
Nimetumia muda mwingi kufuatilia maandiko yako ambayo yamenipelekea...
Kuna watu wanaosema kwamba Mungu alishusha Torati, Zaburi na Injili lakini wanadamu wakavichezea na kuvipotosha vitabu hivyo. Kwa sababu hiyo ikabidi Mungu ashushe kitabu kingine baadaye, ili kusahihisha maandiko yaliyovurugwa!
Kama ni hivyo, Covax na wenzako, naomba mnisaidie kujibu maswali...
Mwanajamvi ni nani?,mwanajamvi ni nini?,mwanajamvi yuko wapi?
Kalooist ni nini ni nani?,Kalooist yuko wapi?
Mungu ni nini na nani na yuko wapi?
Dunia ni nini, ni nani na iko wapi?au ndo nini tofauti na bustani(enclosed area) ya Edeni( eneo liletalo furaha) ya watu tangu asili ya...
Kwa mujibu wa Uislamu:
🔹 1. Aliyetunga Muhamad
Waislamu wanaamini kuwa Qur’an ni neno la moja kwa moja kutoka kwa Mwenyezi Mungu (Allah).
Haikuandikwa au kutungwa na mtu yeyote—bali iliteremshwa (wahyi) kwa Mtume Muhammad (SAW) kupitia malaika Jibril (Gabriel). Hii inakija kuonekana...
Waovu hukimbia wasipofuatiwa na mtu; Bali wenye haki ni wajasiri kama simba.
Mithali 28:1
Yeye atailinda miguu ya watakatifu wake; Bali waovu watanyamazishwa gizani, Maana kwa nguvu hakuna atakayeshinda;
1 Samueli 2:9
Basi, iwapo watu waovu wamemwua mtu mwenye haki kitandani mwake, je! Sasa...
Mimi napenda kuuliza maswali ili niweze kujua na kufahamu zaidi ili ikitokea nami nimeuulizwa basi nijibu kwa ufasaha na kwa uzuri.
Bibilia inatukumbusha na kutuamru kushukuru kwa kila jambo yaani liwe zuri baya wewe shukuru tu.
Mtu anapata ajari mbaya sana na kupelekea kupoteza baadhi ya...
KWAKUANZIA KUMBUKA MTOTO HANA DHAMBI YOYOTE YA KUTUBU,HAJAWAHI KUTENDA DHAMBI. WALA TOBA HAKUNA MTU WAKUMSEMEA MWINGINE.
YESU ALIBARIKI WATOTO AKABATIZA WATU WAZIMA KWA WANAFUNZI WAKE. JAMBO LOOTE LIMEPOTOSHWA NA KUGEUZWA.
OK
Warumi 6:4
[4]Basi tulizikwa pamoja naye kwa njia ya ubatizo katika...
Kwa kipindi kirefu na hata mpaka leo hii watu wengi sana wanashangazwa na piramidi za kale za Misri. Kuna mjadala mkubwa sana jinsi zilivyojengwa, ni nani waliozijenga na walipata hiyo teknolojia ya ujenzi. Piramidi ni sehemu ya maajabu saba makubwa zaidi ya dunia.
Jambo la kushangaza ni kwamba...
Dr. Zaik Nakir amwesasili nchini Zanzibar na katika mahojiano aliyoyafanya amesema kuwa mhadhara atakaofanya hauna utata wowote kwani ataongelea vitu vilivyopo katika maandiko ya Biblia na Quran. Amesema kuwa Biblia imemuongelea Muhammad na pia Quran imemuongelea Yesu.
Source...
Nina list ndefu.
Tuanze 2025 na UUNGWANA zaidi katika kuwasilisha mada zetu na kujibu mada za wengine kiungwana bila matusi, dharau and the like.
2025 MOTTO: USICHOPENDA KUTENDEWA USIMTENDEE MWENZAKO. BY THAT PRINCIPLE, KILA MMOJA WETU AKIISHIKA, TUTAKUWA WATU WEMA THROUGHT 2025.
Nawatakia...
Habari marafiki,
Nimepewa ofa ya kupublish tafiti (papers) kwenye Journal ya Energies ya MDPI bure kabisa (free of chaji) katika topic zifuatazo:
1. Natural Gas Resources and Exploration
2. Natural Gas Reservoirs
3. Natural Gas Drilling Technologies
4. Natural Gas Processing and Optimization...
Timoteo 2 mstari 1 na 2
Basi kabla ya mambo yote ninasihi maombi,dua,sala na shukrani zifanyike kwa ajili ya watu wote ,kwa ajili ya wafalme na watu wenye mamlaka,ili tupate kuishi maisha ya utulivu na amani katika uchaji wa Mungu na ustahivu wote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.