Wasalaam.
Watanzania wenzangu tumechagua viongozi/ kuchaguliwa viongozi bado sisi ndio tunaowafundisha namna ya kutuongoza. Hili ni kosa kubwa mno na ndio maana haya ya tozo, kukamatwa watu huko mwanza n.k yanatokea. Kama ni mtu mwerevu umeshaelewa namna na sifa za watu tulio nao kwenye...